vijana

  1. Tripo9

    JamiiForums Tanzania Biashara yangu changa. Naomba kuelekezwa jinsi ya kuwapata, kuwatumia na kuwalipa vijana wa kusambaza bidhaa

    Habari wakuu. Naombeni uzoefu kwa wale wenye experience hasa wajasiriamali wadogo wadogo Biashara ni ya kusaga na kupack na kuuza viungo vya vyakula. Ndio inaanza anza lakini nafikiria nipate vijana wanisambazie kwa kuanzia Dar es salaam na maeneo yake. Wazoefu nijibuni baadhi ya dukuduku...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania TACAIDS: Unyanyapaa unasababisha vijana waogope kupima UKIMWI

    Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (Tacaids) imesema unyanyapaa dhidi ya watu wanaoishi na maambukizi ya virusi vya Ukimwi umezidi kuwa kikwazo katika kukabiliana na maambukizi mapya ya ugonjwa huo. Pamoja na changamoto hiyo unyanyapaa umechangia kwa kiwango kikubwa wenye maambukizi kutokuwa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM imechokwa na Watanzania tuache utani kabisa

    Kama siyo mbinu ya JPM Kupiga Marufuku mikutano ya kisiasa tangu Alipoingia Madarakani, sasa hivi tungekuwa tunaongea mengine kabisa, Nina Imani hata kitendo cha kuvunja katiba ya Nchi makusudi ni baada ya Kuona CCM ilivyozidiwa ktk Kampeni za Uraisi, 2015. Binafsi Mimi siyo mfuasi wa Chama...
  4. Econometrician

    JamiiForums Tanzania Serikali hii "force account" mnaua ajira za vijana wetu wahandisi, badilisheni huu mfumo

    Ndugu zangu! Sote tunafahamu kazi kubwa ya wandisi wanaohitimu katika vyuo vyetu ajira zao nyingi zilikuwa zinapatikana kupitua kampuni za ujenzi. Kumbukeni miradi mingi katika nchi ni ile ya serikali, kama zahanati, barabara za vijijini, majengo ya madarasa, mabweni, na shughuli nyingine...
  5. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Kitanzania wa Zamani; Umri Chini ya Miaka 55

    Wote wameshatangulia mbele ya haki; kwenye picha hiyo ni Nyerere tu aliyekuwa na umri zaidi ya 60, wengine wote walikuwa chini ya 55 L-R: (1) Halahala, (2) Sozigwa, (3) Nyerere, (4) Mbita, (5) Mkapa
  6. Nyanswe Nsame

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa mamilioni kwa vijana, wanawake na walemavu bila riba kujikwamua kiuchumi

    Serikali yatoa mamilioni kwa vijana, wanawake na walemavu bila riba kujikwamua kiuchumi SERIKALI wilayani Bunda mkoani Mara imetoa mikopo kwa vikundi vya wajasiliamali kiasi cha zaidi ya Tsh. milioni 600 zinazotokana na fedha za makusanyo ya mapato ya halmashauri na Serikali kuu. Serikali...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Vijana wa sasa tufikiri kuhusu haya

    Vijana sisi ni watu wenye nguvu sana katika Historia mambo mengi makubwa yalifanywa na watu wakiwa katika umri wao wa ujana mfano hao kina Malcom X, Marcus, Martin Luther, Mandela, Nyerere na wengineo Historia inawazungumzia mpaka leo kwasababu ya waliyoyafanya wakiwa vijana at their 20's and...
  8. technically

    JamiiForums Tanzania Bomu la Ajira litamlipukia Rais Magufuli

    Rais Jakaya Kikwete Pamoja na mapungufu yake mengi ya corrupt system aliyokuwa ameijenga lakini alifanikiwa kutoa Ajira kwa watanzania kila mwaka,kupandishwa madaraja kwa wafanyakazi kila mwaka,kupeleka wafanyakazi kusoma kila mwaka na mengine mengi. Tanzania watu wanaingia kwenye soko Ajira...
  9. F

    JamiiForums Tanzania GE2020 PICHA: Tofauti ya umati wa watu kati ya CHADEMA na CCM

    Mambo yanazidi kuwaendea kombo CCM, CHADEMA wanakuja kwa kasi ya ajabu na kuwafunika CCM kila uchao. Mikutano ya CHADEMA imejaa vijana ambao huenda peke yao kwa mapenzi yao kwa chama tofauti na mikutano ya CCM ambayo amri hutolewa kutoka juu kwa njia ya barua kuwataka wafanyakazi kuhudhuria. CCM...
  10. S

    JamiiForums Tanzania CCM itaondolewa madarakani na vijana

    Kila nikiangalia mapokezi makubwa ya wanasiasa wa upinzani na mikutano yao,asilimia kubwa ya wanaojitokeza huku wakiwa wamehamasilka ni vijana hali inayooshiria wataikataa vibaya CCM kwenye Sandusky la kura kuanzia kwenye udiwani, ubunge na hata kwenye uraisi. CCM mko hatarini na kikombe niki...
  11. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Propaganda za vijana wa CCM za picha za idadi ya watu kwenye mikutano ya Lissu

    Inafahamika kuwa Viajana wa CCM ndio vijana wenye upeo mdogo Sana wa kufikiri katika mambo muhimu yanayohusu nchi na Dunia. Vijana Hawa Ni tofauti na vijana wa nchi nyingine Hapa Afrika na Duniani. Wakati vijana wa vyama vya Upinzani na wa nchi nyingine huwa wanauchungu wa kweli wa nchi zao...
  12. Mocumentary

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, namuombea msamaha Paul Makonda. Msamehe

    Mhe Rais wetu, na viongozi wote wa serikali yako, sisi kama vijana tunayemtazama. Paul Makonda kama chachu ya uongozi katika mioyo ya vijana, tunakuja mbele yako kwa unyeyekevu mkubwa kuomba msamaha wa yale yote aliyoyafanya kinyume na matakwa yako na serikali yako kwa ujumla. Tunaamini yapo...
  13. jmushi1

    JamiiForums Tanzania Watakaokubalika na vijana watashinda uchaguzi mkuu! Wazee wenye miaka 61 na kuendelea, ni asilimia 3 tu ya watanzania wote!

    Wanajamvi, Kwa wale ambao wamefuatialia “Tanzania demographics”, watakubaliana na mimi. Lakini pia kama upo Tanzania utaelewa ninachosema. Lakini kuna mabandiko mengi ambayo nilikwishazungumzia kuhusu “Tanzania Demographics”, haswa kwenye thread za kuhusiana na “COVID-19”. Ambapo niliweka...
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Viongozi vijana waonywa ujuaji

    Serikali imewataka viongozi vijana kuacha tabia ya kujiona kila kitu wanakijua katika ofisi, hivyo kuharibu taasisi. Hayo yalisemwa jana jijini Dar es Salaam na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma), Dk. Laurean Ndumbaro, wakati wa uzinduzi wa mafunzo ya uongozi ngazi ya...
  15. Jimbi

    JamiiForums Tanzania Fursa kwa Vijana: Promoting Civic Space through Advocacy and Strategic Action in Tanzania -Deadline September 15

    Promoting Civic Space through Advocacy and Strategic Action in Tanzania -Deadline September 15 Background The International Center for Not-for-Profit Law (ICNL) is an international not-forprofit organization that promotes an enabling legal environment for civil society, freedom of association...
  16. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Bashiru aliwahi kusema CCM haitatumia tena wasanii. TOT na Vijana Jazz wanatosha. Je, amebadili gia angani? CCM wametishwa na "Ni-Yeye"?

    Nini kimeifanya CCM iachane na idea ya Dr.Bashiru ya kutokutumia wasanii? Tena alidai ujumbe katika nyimbo za kina Diamond, Harmonize, Ali Kiba, Zuchu, Dula Makabila, etc haziwachomi MABEBERU. Hebu msikilizeni alichokisema hapa.
  17. Kakke

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu aahidi neema kwa Madaktari, Walimu na Vyombo vya Dola

    Mgombea wa Urais wa JMT kwa tiketi cha CHADEMA, Tundu Lissu aahidi neema kwa watu Watumishi wa Umma ikiwemo Madaktari, Malimu na Vyombo vya Dola kwa kulipwa mara mbili ya mshahara wa sasa. Katika mazungumzo yake na viongozi wake wa ngazi za juu ameeleza kipaumbele chake kikubwa ni kuongeza...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Nahisi hii ni moja ya sababu ya sisi vijana kulalamika kuhusu ugumu wa maisha humu mtandaoni

    Nina imani wengi wetu humu JamiiForums tumetoka kwenye familia za kawaida, nikimaanisha kuwa tumeishi na wazazi wetu kwenye nyumba za tofali hata kama zilikua za kupanga, tumekua tukiwa na uhakika wa Milo mitatu kwa siku, kila siku, na ada ya shule haikusumbua sana wazazi. Vijana wengi tumeishi...
  19. Clever505

    JamiiForums Tanzania GE2020 Upinzani kwenye kampeni wazunguke na vijijini, vinginevyo Urais watausikia na kuhisi wanaibiwa kura

    Mimi ni Mwananchi niishie Dodoma katika walaya ya Mpwapwa, nakaa kijijini naweza kupaita porini kabisa. Tumeishi miaka yote bila huduma muhimu kama maji na umeme ambapo maji tumekuwa tukiyapata mbali visimani. Tangu aingie madarakani JPM ameweza kusimamia vizuri ambapo umeme pamoja na maji vipo...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Vijana wafukua sarafu za dhahabu za miaka 1,100 Israel za enzi ya Abbasid

    Sarafu za dhahabu zilizozikwa katika chungu chenye uzito wa gramu 845 Vijana waliojitolea kuchimba katika hazina ya kiakiolojia ya Israel wamebaini sarafu 425 ambazo zilikuwa zimezikwa kwenye chungu cha udongo kwa miaka 1,100. Pesa nyingi zilizopatikana ni za wakati wa kipindi cha awali cha...
Back
Top Bottom