vijana

  1. Latrice

    JamiiForums Tanzania Ugumu wa maisha usababisha vijana tufanye jinai

    Habarini ny'ote. Nawaletea salam changamfu kabisa kutoka Monroe. Ukiwa huna hela unaweza kufanya chochote, sehemu yoyote na kwa wakati wowote ili tu uipate. Kuna kipindi nilikosa hata mia ya kununulia bange na kuomba siwezi, kwa kuwa tuliwahi kuishi Geita nikapawaza GGM huu ni mgodi nikaenda...
  2. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Mama wa miaka 58, adaiwa kubakwa na vijana wawili

    Polisi wilayani Serengeti mkoani Mara wamemkamata Kumari Mongita (23) mmoja kati ya wawili wanaodaiwa kumbaka mama mwenye miaka 58, mkazi wa Miseke ambaye amelazwa hospitali Teule ya Nyerere kwa ajili ya matibabu. Tukio hilo linadaiwa kutokea Aprili 6 usiku katika kitongoji cha Senta wakati...
  3. marco polo jr

    JamiiForums Tanzania Serikali ifungie tovuti zote za pichani za ngono ili kuokoa vijana wetu

    Wakuu. Nimependa leo tujadili suala hili, mitandao ya ngono inaharibu vijana wetu pamoja na utamaduni wetu kama waafrika. Ilikuwa siyo kawaida kuona picha za faragha kwani ilifahamika ni jambo la aibu kuona na pia kulikuwa na hofu fulani. Zamani kidogo kuona picha hizi ilikuwa lazima ulipie...
  4. Empty containers Tanzania

    JamiiForums Tanzania Sasa ni zamu ya Vijana kushika nafasi za kisiasa

    Kwenye mada yangu Baada yakufanya tathmini nimegundua, safari hii wabunge na madiwani watakuwa ni vijana kwa 90%. Hii imetokana na ukweli kwamba Tanzania watu wamezichoka siasa za kibaguzi.... zakulishana sumu. Nipende kuwaambia wazee wote, kuwa watuache sasa hivi ni wakati wa vijana . Hii...
  5. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Kuleta utofauti kuwe shabaha kwa vijana

    Mafanikio au maendeleo mazuri sio yale yanayo mgusa mtu mmoja au kundi la watu wachache bali ni yale yanayo wagusa watu wengi na yanaleta utofauti kwenye jamii na Dunia nzima, Mapambano yawe katika kuleta utofauti.
  6. Nyendo

    JamiiForums Tanzania 'Likes na comments' kwenye mitandao ya kijamii imekuwa ni chanzo cha furaha au mfadhaiko kwa vijana wengi. Je, unalizungumziaje hili?

    Mitandao ya kijamii kwa sasa imekuwa sehemu ya maisha ya watu. Baadhi yao watumiaji hao wamepata uraibu wa hali ya juu kiasi ambacho bora akose chakula lakini awe na bando la kuingia kwenye mitandao ya kijamii (hawa ndio wazee wa stress sasa). Mitandao ya kijamii watu wamekuwa wakitumia...
  7. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Tume ya Ushindani yaonya wanaoficha, kupandisha bei vifaa vya kujikinga na corona

    Tume ya Ushindani nchini (FCC), imewaonya waingizaji, wazalishaji, wasambazaji na wauzaji wa jumla na rejareja wa bidhaa za kujikinga na vizrusi vya corona vikiwamo barakoa (mask), vitakasa mikono (sanitizer) na vizuia mikono (gloves) wanaoficha bidhaa hizo kwa lengo la kupandisha bei. Aidha...
  8. Influenza

    JamiiForums Tanzania Abdul Nondo ashinda nafasi ya Uenyekiti Ngome ya Vijana wa Chama cha ACT-Wazalendo

    UCHAGUZI WA CHAMA CHA ACT-WAZALENDO MWENYEKITI Mgombea aliyeshinda nafasi ya Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ACT Wazalendo Taifa ni Abdul Omar Nondo. Mnamo mwaka 2018 Nondo, aliyekuwa Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi nchini Tanzania wakati akiwa Mwanafunzi wa Chuo Kikuu Dar es Salaam kwa...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Video: BAVICHA yawaapisha vijana wa Sumbawanga kiapo cha utayari

    Kiapo kiliongozwa na Twaha Mwaipaya , kijana ambaye nyota yake ya uhamasishaji kwa muda mfupi aliopewa madaraka inatisha mno !
  10. Gily Gru

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kuhusu mama chui na watoto wake

    Mama Chui akizaa watoto wake anawalea wakishakua anawaacha anaenda porini anakaa kama juma hivi akirudi anawatisha watoto wake. Yale watoto walioshtuka wakakimbia hawawi chui tena ila wale watoto waliomtambua mama yao wanabaki na mama yao na wanakuwa chui (katika uhalisia wake). Kwa sisi wachaga...
  11. Superbug

    JamiiForums Tanzania Ole Sabaya anawafundisha vijana wengine nchini kwamba siasa bora ni siasa za kimafia

    Mh Rais magufuli mfano mbaya anaoutoa SABAYA kwa vijana wengine nchini huku ukiangalia bila kumchukulia hatua ni Jambo baya Sana. SABAYA anatenda Mambo ya kihuni hachukuliwi hatua siku vijana wengine WAKIMWELEWA itakuwa balaa kubwa Sana. Wakati nyerere aliwa groom wanasiasa Bora na kuliachia...
  12. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Vijana 11 wakamatwa kwa utapeli wa 'ile pesa tuma kwenye namba hii'

    JESHI la Polisi mkoani Mbeya, linawashikilia vijana 11 wenye umri wa kati ya miaka 20 na 25 kwa tuhuma za kuwatapeli wananchi kupitia Mtandao wa Facebook kwa kutumia majina ya viongozi wa Serikali na wasanii maarufu. Aidha vijana hao wanadaiwa kuwa walikuwa wanashirikiana na mawakala wa...
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Video: Vijana wa CCM Wakitwangana kugombea posho

    Hii ndio sababu kubwa ya vijana hawa kutokwa povu hapa jf hata kwa mambo yasiyo na mashiko, jionee mwenyewe.
  14. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Vijana wengi wako kwenye hatari ya kupata ajali za barabarani zinazochangiwa na uendeshaji wa bodaboda na bajaj

    Kwa mujibu wa takwimu za Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO), watoto kuanzia miaka mitano hadi 29, wako katika hatari zaidi kutokana na vijana kujikita katika uendeshaji wa bodaboda na bajaji. Pia takwimu za WHO zinaonyesha chanzo cha vifo namba nane duniani kinatokana na ajali za barabarani...
  15. beth

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa tahadhari ya Virusi Corona, yasema hakuna mgonjwa Tanzania

    Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto imetoa tahadhari ya mlipuko wa ugonjwa wa homa ya mafua makali unaosababishwa na kirusi aina ya Corona, uliozikumba nchi za China, Thailand, Japan, Korea Kusini na Marekani. Wizara imesema kuanzia Desemba mwanzo mwaka jana wamekuwa...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Polisi wakihakikisha Usalama wa katibu Mkuu wa CCM Taifa Bashiru Ally akiwa ziarani Mkoani Mtwara

    Polisi wakihakikisha Usalama wa Katibu Mkuu wa CCM Taifa Bashiru Ally akiwa ziarani Mkoani Mtwara mapema leo hii. Je, inawezekana kwa Katibu Mkuu wa chama cha upinzani mathalani CHADEMA, John Mnyika kusindikizwa hivi?
  17. Martin Kemosabe

    JamiiForums Tanzania Vijana wenzangu tusimuige Dokta Mwaka tutakuja kusababisha mauaji ya Kimbari

    Yani pesa bwana acheni iitwe pesa,dokta mwaka ana wake wa 3 Halafu hiyo haitoshi ila hawa wake watatu wanapendana kiasi kwamba mke mdogo anaweza msuka nywele mke mkubwa,Dokta anaweza lala nao wote kitanda kimoja. Haya mabalaa ya namna hii ndgu zangu vijana tusije mfanya dokta kama rolu modo...
  18. Superjet ndenji

    JamiiForums Tanzania Siasa ilivyoathiri ubongo wa vijana wa nchi yangu

    Ni hivi tangu suala la siasa growth basi hata vijana tumepata athari ndani ya ubongo wetu leo, hii baadhi ya vijana na ni wimbi kubwa wa nchini kwetu hatuwezi kukaa na kufikiria au kuchukua hatua juu ya ''mutakabali'' wa maisha yetu hususani kwenye kufanya maendeleo tulichokiweka mbele ni siasa...
  19. mjusilizard

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Bure kwa Vijana

    Vijana tafuteni hela MTUNZE familia zenu, acheni kuelekeza nguvu kuipinga serikali na kujihusisha na SIASA MAJITAKA, kazana kutafuta ugali, ya serikali iachie serikali
  20. J

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa husema " Vijana mjiajiri" wakati wao wameajiriwa na Wachungaji husema " Jiwekeeni Hazina mbinguni" ilhali wao ni mabilionea!

    Mzee Kikwete aliwahi kusema " zilongwa mbali zitendwa mbali" Binafsi huwa siwaelewi kabisa wanasiasa wanaowahubiria vijana kuwa ajira hakuna hivyo wanapaswa kujiajiri. Chukulia mfano mzee Lyatonga Mrema anaishi kwa uteuzi hadi leo. Kadhalika kuna wale wachungaji wanaohubiri utoaji wa sadaka...
Back
Top Bottom