Katika Kitabu cha kuelezea maisha yake Mstaafu Mwinyi anasema alipojiuzulu Uwaziri wa Mambo ya Ndani Waziri aliyechukua nafasi yake alimtaka ahamishe haraka mizigo yake ili yeye ahamie kwenye nyumba ya Serikali aliyokuwa anakaa Mzee Mwinyi.
Mzee Mwinyi alishindwa kuhamisha vifaa vyake vya...
Kampuni ya AAR Healthcare (T) Ltd imetangaza kuuza vifaa vyote vilivyopo kwenye kliniki zake saba nchini vilivyokuwa vikitumika kutoa huduma za afya.
Hatua hiyo imekuja siku chache baada ya kampuni hiyo kutangaza kufunga kliniki zake zote zilizokuwa zinatoa huduma kwa wagonjwa wa nje kote...
Nafasi ya kazi kuuza duka la vifaa vya TEHAMA:
Kituo cha kazi: Arusha mjini
Mwisho wa kupokea maombi: 14 May 2021
Taarifa kuhusu kazi:
Anahitajika mfanyakazi wa kuuza duka la vifaa vya TEHAMA (Computer networking accessories).
Kazi za kufanya:
• Kuuza vifaa vya data kwa wateja watakaofika...
Printer hp 7500 a wide format------laki 3
Tt560 speed lite neewer------------laki na nusu
Sigma lense 170-500----------------laki 4
Studio light na background yake laki 4
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa 0717 040 837 au 0767 267
664
Wakati wananchi wanalalamika ukosefu wa dawa kwenye hospitali na zahanati, yasemekana kwenye Bohari Kuu ya Madawa (MSD) kuna dawa zilizo expaya za thamani ya zaidi Tsh Bilion 20. Nimepitia ripoti ya CAG ya mwaka 2019/20 kwa haraka haraka sijaona hoja ya ukaguzi kuhusu dawa zilizo expaya.
Je...
Sisi ghorofa zetu tunajenga kwa miliono 120-200 na zinapendeza na kukalika kwa kuji nafasi. Hawa viongozi hizi ghorofa zao huwa wananunulia vifaa wapi au gharama zinatokana na nini?
===
Mamilioni kujenga nyumba za wakuu wa wilaya na mikoa. Milioni 838 kumalizia nyumba ya mkuu wa mkoa Kagera...
Ninampango wa kuuza bidhaa mbali za electronics kama vile simu za mikononi, laptop, flash disk, camera n.k. Ili niweze kufanikisha hilo ninaombeni msaada wenu kwa yeyote mwenye ufahamu juu ya soko la bidhaa za electronics hasa zile za IT ambazo zinafanya vizuri katika soko la Tanzania na...
Habari wana JF
Kuna wizi mpya wa vifaa vya magari naona umekithiri sana huko maeneo ya Goba, Mbezi, Temeke watu wanaibiwa sana vifaa naomba Ma RC , POLISI N.K walishugulikie hili swala wezi wanajulikana n wanaonunua hivo vifaa vya wizi wanajulikanaa...
Wauzaji wa vifaa vya umemekwa jumla na rejereja naomba kufahamu bei ya vitu hivi nataka niviongeze dukani kwangu.
1-Majiko ya umeme.
2-Pasi
3-Hita
4-Blenda zakusagia juisi.
Mwenye kuuza hivi vitu kwabei ya jmla naomba anipe mawasiliano na bei zake.
Wafanyabiashara watatu wamefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka nane yakiwemo ya kuingiza na kusimika vifaa vya mawasiliano bila kuwa na kibali kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA) pamoja na kuisababisha Serikali hasara ya Sh69 milioni.
Washtakiwa...
Ukisikiliza mjadala huu utagundua kuwa kumbe vijembe na kushambulia watu kunakofanywa na "darasa la saba" hawa yaani Mbunge Lusinde wa Mvumi na Msukuma wa Geita kuna baraka za Spika Ndugai na ni mkakati wake anaotumia (kwa vile wana uwezo wa kubwabwaja lakini hawajitambui) kuzima kile...
POWERTILER ni aina ya trekta ya tairi mbili, kina uwezo wa kulima eneo kubwa kwa muda mfupi.
Ni kifaa cha kulimia kilirichorahisishwa zaidi kusaidia Mkulima wa chini na kati.
Ni kilimishi kilichokuja kufanya mapinduzi ya kilimo hasa Mpunga ingawa kinatumika kulima mashamba ya Mahindi, Maharage...
Ndugu Amani na iwe kenu.
Kwa wazoefu wa kuuza/ kununua, waashi na wahandisi wa majengo, naomba kujuzwa bei elekekezi kwa vifaa tajwa hapo chini
1. Mfuko wa Cement
2. Nondo (12Mm)
3. Nondo (16 Mm)
4. Tofali za kuanzia msingi (Ngumu)
5. Tofali za ukuta
6. Tipa la mchanga
7. Tipa la Mawe
8. Tipa...
KUELEKEA SIKU YA WANAWAKE UCSAF YATOA MSAADA KWA YATIMA
Na: Celina Mwakabwale
Katika kuelekea kilele cha maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani Machi 8, 2021, Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote ( UCSAF) umetoa msaada wa vifaa mbalimbali kwa kituo cha kulelea watoto yatima cha Nyumba ya Matumaini...
Vifaa vilivyotumiwa na majasusi wa Umoja wa Kisovieti katika vita baridi hivi karibuni vyanadiwa.
Kikundi cha urithi wa vita baridi ikiwemo silaha za siri za Umoja wa Kisovieti hivi karibuni kimenadiwa kwa paundi laki 3.65 za kiingereza.
Vitu hivi mia nne vilihifadhiwa na mkusanyaji kutoka...
Timu ya ukaguzi maalumu kutoka Wizara ya Afya imegundundua ubadhirifu huo wa dawa na vifaa tiba kutoka hospitali hizo za rufaa za mikoa kwa kipindi cha miezi 18 kuanzia Kula 2019 hadi Desemba 2020. Hayo yametangazwa leo na Waziri wa Afya Dr Dorothy Gwajima wakati akitoa taarifa ya uchuguzi huo...
Natafuta vifaa vya watoto vya kuchezea mazingira ya nnje kama shule ni.
Mfano bembea, mterezo, baiskeli za chuma zilizounganishwa na chuma mithili ya bembea n.k.
Utumapo bei ambatanisha na picha mbalimbali nichague.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.