Hakika Kutoa ni moyo tu na wala si utajiri. Wakati Wabunge wengi wa CHADEMA wakijitokeza wazi wazi kusaidia wananchi, wabunge wa chama kimoja wameanza kulogana na kubambikiana kesi wakigombea majimbo akiwemo mmoja ambaye jimbo la DSM limemshinda na kukimbilia Mkoa wa Mara ambako hata hivyo hana...
Poleni na harakati za kukabiliana na Covid19
Kusema ukweli hali ya maisha mitaani hasa huku niliko,i mean mkoani hakuna tahadhari yoyote ya maana watu wanachukua,mikusanyiko iko palepale na shughuli zinaenda kana kwamba hakuna hatari yoyote.
Vifaa vya kusafisha mikono vimewekwa na watu ili...
Habari za majukumu ni muda sasa nimekuwa nikijihusisha na maswala ya ufundi simu ila upande wa software pekee sasa nahitaji kuingia rasmi kwenye maswala ya hardware nahitaji kujua ni vifaa vipi napaswa kuwa navyo na vinapatikana wapi na kwa bei zipi kuna baadhi nimepewa majina yake ila sijajua...
Taifa teule la Israel laendeleza mapambano dhidi ya corona huku likiwa limerikodi visa zaidi ya 10,800 na vifo 103.
Hata hivyo maabara za nchi hiyo zimekumbwa na uhaba wa vifaa vya kupimia corona, na hivyo kupunguza upimaji wa watu wenye kuonesha dalali za ugonjwa huo. Mamlaka yatarajia kuanza...
Ninampango wa kufungua mgahawa maeneo ya msimbazi Dar Es Salaam, kwa sasa ninashida ya vyombo na vifaa kwa anayeweza kuniuzia kwa bei nafuu
Kwa atakayekuwa navyo naomba tuwasiliane kwa 0765374146
Twiga Minerals Corporation, a joint venture between Barrick Gold Corporation (NYSE:GOLD) (TSX:ABX) and the Tanzanian government, has announced a support program to assist the country in combating and containing the Covid-19 pandemic.
Barrick's chief operating officer for its Africa and Middle...
Rais wa Marekani Donald Trump ameagiza makampuni ya marekani kusitisha uuzaji na kutaifisha vifaa vyote vinavyotumika kupambana na ugonjwa wa virusi vya korona hata vile ambavyo vilishauzwa.
Bw. Trump alisema anatumia sheria ya Uzalishaji kwa ajili ya ulinzi (Defence Production Act) kuyataka...
Ethiopia waligoma kuzuia safari China, Kuna cases 104 mwafrica 1 amekufa, Congo pia.
Marekani wameshazuia, sisi haya mambo ya urafiki tuacheni, naiomba serikali nipo chini ya miguu yake wazuie safari zote, huu ugonjwa Ni mbaya.
Corona ikija kutuua au kuua ndugu zetu CCM haitapona, nasema...
Habari wakuu. Vifuatavyo vinauzwa:
Laptop mpya lenovo, 320gb, 4 gb ram, 4 hours battery -295,000
Min laptop , ya kuunganisha na umeme direct - 150,000
viti vya plastic 2 pc - 20,000
Printer hp 2130...
Mh Joseph Mbilinyi leo amekabidhi vifaa vya kisasa vya michezo kwa timu za soka jimboni kwake
Kwa awamu ya kwanza timu zilizonufaika ni pamoja na:
1. Airport Rangers (Kata ya Iyela)
2. Stone fire (Maaga)
3. Iganzo fema club (Iganzo)
4. Iwambi FC (Iwambi)
5. Iyunga boys (Iyunga)
6. Itende FC...
Wakuu habari za muda huu,
Kuna kaofisi nategemea kuanzisha hivi karibuni ambapo nategemea kuajiri vijana nitakaoweza kuwalipa cash kwa mwezi, sasa ninapokwama ni kwamba hiyo ofisi itakuwa na mashine za kazi ambazo hao vijana watakuwa wanatumia kuingia nazo mtaani kufanya mauzo na kisha jioni...
Serikali ya Marekani inayoongozwa na Rais Donald Trump imefurahishwa na utendaji wa serikali ya awamu ya 5 na imetoa msaada wa vifaa mbalimbali vya kijeshi.
Miongoni mwa vifaa hivyo ni pamoja na magari ya kisasa ya kijeshi.
Sherehe ya makabidhiano imefanyika katika viwanja vya kambi ya jeshi...
Katibu mkuu wa wizara ya elimu, sayansi na teknolojia , dk Leonard Akwilapo leo tarehe 27 January 2020, amefungua programu ya mafunzo ya matumizi ya tehama na vifaa saidizi kwa wakufunzi.
Wa vyuo vya ualimu na waalimu wa sekondari wenye mahitaji maalum dar es salaam
Wakufunzi hao wapatao 140...
Hapo nyuma nilikuwa na mazoea ya kwenda saloon fulani ambayo nilikuwa nimeizoea kama ilivyo kwa watu wengi. Mara zote nilipokuwa nanyolewa mashine ya kunyolea ilikuwa ikitolewa kwenye sterilizer ambayo huwa wakati wote kitaa cha ON (Chekundu) kinaonesha kuwa ipo ON na kwa hiyo ina maanisha...
Hivi inawezekana vipi makombora dhaifu ya Muiran yaweze kupenya mifumo imara ya ulinzi wa anga ya Marekani bila kukumbana na kizuizi chochote.
Kama hili limewezekana basi siku za taifa teule hapo mashariki ya kati zitakuwa zinahesabika.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.