vifaa

  1. GUSSIE

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Maabara Kuu ya kupima sampuli za COVID-19 yaonyesha mafenesi, mapapai na mbuzi yana uambukizi

    Wanabodi, Kwa mujibu wa Rais Magufuli wametuma sample za mimea na wanyama kwa kuzipa majina ya binadamu kwenye maabara kuu ya Taifa Dar es Salaam kwa siri bila wapimaji kufahamu baada ya kupimwa zimetest positive yaani zina corona Hapa ndipo Magufuli ameprove uwana-science wake. Je? Tatizo ni...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Biashara ya vifaa vya ushonaji...

    Wandugu salaam! Kwa wenye ufahamu mzuri kuhusu biashara ya vifaa vya ushonaji, naomba maelekezo hasa kama bado ina wahitaji kwenye jamii. Maana kuna mtu ananiambia nguo za mitumba na zile special zimeharibu hii biashara. Nawasilisha.
  3. Victoire

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, aagiza kusimamishwa kazi kwa Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii na Meneja udhibiti na ubora

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo kuwasimamisha kazi Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii, Dr. Nyambura Moremi na Jacob Lusekelo Meneja uthibiti na ubora ili kupisha uchunguzi. Sasa wameanza kushughulika na wataalam badala ya kudeal na Corona Dr...
  4. Camilo_Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania Mgao wa vifaa vya kinga ya COVID 19 unafikirisha

    Nimesoma recent tweet ya Kigogo "mgao wa vifaa vya kinga ya corona". Nimeshindwa kuelewa kwanini mkoa mmoja mdogo anapotoka bwana mkubwa umepewa upendeleo? Tunarudi nyuma sana. Tafuta recent tweet ya Kigogo uone mwenyewe.
  5. Influenza

    JamiiForums Tanzania Serikali: Tayari tumetoa Tsh. Bilioni 15.49 kwa ajili ya CoronaVirus na tumesamehe kodi kwa baadhi ya vifaa vya kujikinga

    Waziri wa Fedha, Philip Mpango amesema Serikali iliunda timu ya Kitaalamu inayochambua jambo hili kiumakini, na kipaumbele cha Serikali ni kukinga watohuduma za afya na Wananchi Amesema kwa makadirio ya awali katika kipindi cha Machi hadi Septemba mwaka huu zinahitajika Tsh. Bilioni 382.5 kwa...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Vifaa Vya stationery vinauzwa bei nafuu mno

    Habari wakuu, Tunabadili matumizi ya ofisi na kuuza vifaa vya ofisi vifuatavyo 1. Meza mbili za plastic - zote 140,000 (@ 70,000) 2.Viti 3 vya plastic -vyote -30,000 3.laptop ya hp - 300,000 4. Min laptop bytespeed (haikai na chaji,utabadili battery) - 120,000 5.Printer - 60,000 6...
  7. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania India yakataa vifaa vya kupima virusi kutoka China

    Vifaa hivyo vilitarajiwa kugundua antobody katika damu ya wagonjwa wa virusi vya corona India imesitisha uagizaji wa karibu vifaa nusu milioni vya kupimia virusi vya corona kutoka China baada ya kubainika kuwa vifaa hivyo ''Vina dosari''. Mji wa Delhi pia umeondoa vifaa ambavyo tayari vilikuwa...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Jumuiya ya Mabohora Tanzania wamkabidhi RC Makonda vifaa vya kujikinga na Corona

    Jumuiya ya Dawoodi Bohora Tanzania leo imekabidhi vifaa mbalimbali vya kujikinga na corona vyenye thamani ya Shilingi Milioni 27 kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda kwa lengo la kuwakinga wananchi wa Mkoa huo. Akipokea Vifaa hivyo kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa, Mganga Mkuu wa Mkoa...
  9. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania MAT wakanusha taarifa za kuridhishwa na upatikanaji wa vifaa-kinga

    Gazeti kada la Habari Leo lilitoa propaganda kuwa madaktari wameridhishwa na utolewaji wa vifaa-kinga kwa wahudumu wa afya. Propaganda hiyo imekanushwa na rais wa MAT Dr. Elisha. Tunaisisitiza serikali na wadau kuelekeza nguvu kwa wahudumu maana wameanza kukimbia wagonjwa. Wahudumu wanahitaji...
  10. beth

    JamiiForums Tanzania Wanandoa waliokamatwa kwa kuongea uongo kuhusu Corona wafikishwa mahakamani, waachiwa kwa dhamana

    Wanandoa wakazi wa Tabata Kimanga, jijini Dar es Salaam wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na shtaka la kutoa lugha hatarishi kwa lengo kupotosha jamii kuhusu ugonjwa wa Corona. Akisoma hati ya mashtaka Wakili wa Serikali Mwandamizi, Mkunde Mshanga akisaidiana na...
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Mlimba, Suzan Kiwanga amwaga misaada ya mamilioni jimboni. Vimo vifaa vya kuzuia Virusi vya Corona

    Hakika Kutoa ni moyo tu na wala si utajiri. Wakati Wabunge wengi wa CHADEMA wakijitokeza wazi wazi kusaidia wananchi, wabunge wa chama kimoja wameanza kulogana na kubambikiana kesi wakigombea majimbo akiwemo mmoja ambaye jimbo la DSM limemshinda na kukimbilia Mkoa wa Mara ambako hata hivyo hana...
  12. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Tahadhari ya COVID--19,Mtaani watu hawachukui tahadhari yoyote huku vifaa vya kunawia vimewekwa ili kuhadaa mamlaka

    Poleni na harakati za kukabiliana na Covid19 Kusema ukweli hali ya maisha mitaani hasa huku niliko,i mean mkoani hakuna tahadhari yoyote ya maana watu wanachukua,mikusanyiko iko palepale na shughuli zinaenda kana kwamba hakuna hatari yoyote. Vifaa vya kusafisha mikono vimewekwa na watu ili...
  13. Sangoma

    JamiiForums Tanzania Msaada wa vifaa vya ufundi simu upande wa hardware

    Habari za majukumu ni muda sasa nimekuwa nikijihusisha na maswala ya ufundi simu ila upande wa software pekee sasa nahitaji kuingia rasmi kwenye maswala ya hardware nahitaji kujua ni vifaa vipi napaswa kuwa navyo na vinapatikana wapi na kwa bei zipi kuna baadhi nimepewa majina yake ila sijajua...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Israel: Visa vya corona vyafikia zaidi ya 10,800, vifo zaidi ya 100; Uhaba wa vifaa vya kupimia watawala

    Taifa teule la Israel laendeleza mapambano dhidi ya corona huku likiwa limerikodi visa zaidi ya 10,800 na vifo 103. Hata hivyo maabara za nchi hiyo zimekumbwa na uhaba wa vifaa vya kupimia corona, na hivyo kupunguza upimaji wa watu wenye kuonesha dalali za ugonjwa huo. Mamlaka yatarajia kuanza...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu anayeuza vifaa na vyombo vilivyotumika kidogo kwa ajili ya mgahawa

    Ninampango wa kufungua mgahawa maeneo ya msimbazi Dar Es Salaam, kwa sasa ninashida ya vyombo na vifaa kwa anayeweza kuniuzia kwa bei nafuu Kwa atakayekuwa navyo naomba tuwasiliane kwa 0765374146
  16. Wacha1

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa China Tanzania na Barrick (Kampuni ya Twiga) zatoa misaada kwa Serikali kusaidia kupambana na Corona

    Twiga Minerals Corporation, a joint venture between Barrick Gold Corporation (NYSE:GOLD) (TSX:ABX) and the Tanzanian government, has announced a support program to assist the country in combating and containing the Covid-19 pandemic. Barrick's chief operating officer for its Africa and Middle...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Trump aagiza utaifishaji wa vifaa vya kupambana na Korona

    Rais wa Marekani Donald Trump ameagiza makampuni ya marekani kusitisha uuzaji na kutaifisha vifaa vyote vinavyotumika kupambana na ugonjwa wa virusi vya korona hata vile ambavyo vilishauzwa. Bw. Trump alisema anatumia sheria ya Uzalishaji kwa ajili ya ulinzi (Defence Production Act) kuyataka...
  18. Zilipa

    JamiiForums Tanzania Vifaa vinauzwa vya keki

    Vyote 300000 Mawasiliano 0782524405
  19. hp4510

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufahamishwa maduka ya vifaa vya ujenzi Kariakoo

    Mwenye kujua maduka ya Vifaa Vya Ujenzi ambayo bei zake ni rafiki Sana Kariakoo anipe direction
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Tarime: Mbunge aamua kupambana na Corona kwa vitendo, asambaza Sanitizer na vifaa vya kunawia Jimbo zima

    Huu ndio uongozi , Tukisubiri vya ALIBABA tutakwama
Back
Top Bottom