vifaa

  1. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Set mpya ya vifaa vya kupambia cake

    Offer ya kuanzia mwaka Set nzima ya kupambia cake kwa bei ya 125,000 tu Inakuja na vitu vingi sana vya kisasa Ina nozzle piece 48, turnable table, visu vya kupambia, mifuko, slicer na vitu vengine vingi Ukiwa dar utaletewa free pia mikoani tunatuma. Call/WhatsApp 0784302225
  2. H

    JamiiForums Tanzania kampuni ya xiomi inayotengeneza vifaa vya kielekroniki yawekwa blaclist na marekani

    With six days left in office, the Trump administration has decided to put one more Chinese electronics giant in its sights: Xiaomi, the world’s number three phone manufacturer. The US Department of Defense is now designating Xiaomi as a “Chinese Communist military company,” meaning it’s now...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Watumishi 23 MOI wachunguzwa madai ya wizi wa Dawa na Vifaa Tiba

    Watumishi 23 wa Idara ya Famasia katika Taasisi ya Mifupa (Moi) wanachunguzwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kwa madai ya wizi wa dawa na vifaa tiba vyenye thamani ya Tsh1.2 bilioni. Hayo yameelezwa leo Jumatano Januari 13, 2021 na mkurugenzi mkuu wa Takukuru...
  4. J

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Vifaa vya Maabara ya Binadamu

    Umofia wana JF-GT, Heri ya mwaka mpya,, Nauza vifaa vya maabara ya binadamu hivi vinawafaa wanaopenda kuwekeza kwenye biashara ya Maabara (Diagnosis health center) Vifaa ni vipya kabisa na havijawahi tumika kabisa. Vifaa vilivyopo 1. Haemoglobin Tester 2. Microscope 3. Urine analyzer Machine...
  5. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Amana: Daktari abainika kutumia Vifaa Tiba vya Serikali kutibu Wagonjwa na kujilipa binafsi

    Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima ameagiza Daktari aliyejimilikisha hospitali ya Amana kwa lengo la kujitajirisha achukuliwe hatua kali Daktari huyo mwenye jina kapuni amebainika kutumia Vifaa vya Hospitali hiyo ambavyo vinamilikiwa na Serikali ili...
  6. mgt software

    JamiiForums Tanzania Nikusaidie Waziri Faustin Ndugulile kudhibiti TCRA, TRA na TBS juu ya vifaa vya telecom feki

    Jf oyee Kwako Dkt. Ndugulile, vyombo hivyo Hapo juu vimekuwa vikilalamikiwa kwa kutokuwa makini, kweli vyombo hivi vinatumia gharama Kubwa kuwepo huku ufanisi Wa kazi upo chini sana. Nikianza na TRA, hawa wanaruhusu kuingia kwa vifaa ambavyo havina certificate of compliance. Hi yo kuruhusu...
  7. Chukwu emeka

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naweza kupata wapi vifaa vya mazoezi kwa mtu aliyekuwa amepalarise kwa DSM

    Habari Jf Doctor, Nina Baba yangu wa hiyari,alipata stroke ya upande wa kulia kwa bahati nzuri alitibiwa pale Moi na kurudisha fahamu vizuri kabisa na hatimaye kuruhusiwa kutoka hospital. Alikuwa akifanya mazoezi kwa siku 3 per week hapo njia panda ya kwa mzee wa Upako kuna kidispensary cha...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta msichana wa kuuza duka la vifaa vya kompyuta

    Habari natafuta mtu wa kuuza duka la vifaa vya kompyuta ambapo vile vile dukani hapo inatolewa huduma za kiufundi. Vigezo Awe mkazi wa Arusha Mjini. Awe anajua kufanya troubleshooting za kompyuta. Awe anajua vizuri spea za laptop na desktop na jinsi ya kubadilisha. Awe anajua kutoa kauli nzuri...
  9. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Marketing manager kweny kampuni ya kuunda vifaa vya electronics Xiomi

    https://www.linkedin.com/jobs/view/2315558137/ Fuateni hiyo link linkedin Summary The Marketing Manager will be responsible for all marketing initiatives that would grow our customer base in all our focus countries throughout the region. Their goal is to build Xiaomi into a mainstream consumer...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kukodi vifaa hivi kwa siku moja tu: Friza, Juisi dispensa na jiko la kuchomea nyama

    Habari wanajamvi. Nahitaji kukodi Friza, Juisi dispensa na jiko la kuchomea nyama kwa siku moja tu ya tarehe 12/12/2020. Nipo Dar na nitavihitaji kwa ajili ya shughuli Dar. Tafadhali mwenye navyo tuwasiliane DM. Shukrani
  11. Billgates wa bongo

    JamiiForums Tanzania Kiboko ya majanga ya moto na vifaa vya usalama Tanzania

    KUTOKANA NA ONGEZEKO LA MATUKIO YA MOTO MAENEO MBAKIMBALI YAKIWEMO MAOFISINI, MAJUMBANI, MASOKONI,MASHULENI NA KWINGINEKO KUTEKETEA KWA MOTO NA KUTOA HASARA KUBWA. Ashe Creation Company Limited ni kampuni iliyosajiliwa kisheria na brella na kufuata taratibu zote za sheria ya usajili wa...
  12. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mfano wa vifaa vya kilimo vinavyoweza kutukomboa

    Jembe la kuchimba mashimo Mashine ya kuvunia http://www.youtube.com/shorts/gVkhovwIV-g
  13. R

    JamiiForums Tanzania Ufundi wa hali ya juu wa Electronics

    Ndugu, ni ufundi upi kwenye mambo ya vifaa vya electronics ambao unahitaji ujuzi wa hali ya juu na soko lake ni zuri, kuanzia computers, simu, smart tvs, printers & office machinery na kadhalika.
  14. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Tanzania mbioni kuwakabidhi mgodi Waaustralia wachimbe madini yanayounda vifaa vya computer na simu. Huku watanzania wakiwa hawana ujuzi wowote

    Tanzania is in the final stages of approving a permit for the country’s first rare earths mine to Australian company Peak Resources Ltd. as the government seeks a bigger share of revenue from natural resources. The state is also finalizing a gold-mining license for another Australian company...
  15. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nadhani Afrika Kusini inawajibika kututhibitishia kwamba karatasi na vifaa vya kura vimezalishwa na kampuni ya nchi hiyo! Wasije kuonekana wanashiriki

    Nchi nyingi Duniani utangaza nakuweka wazi kampuni yakuzalisha vifaa na karatasi za kura na jamaa ni kampuni ya nje ya nchi husika vasi siku vifaa vinaingizwa nchini utangazwa na media uruhusiwa kuona mapokez kama tunavyopokea watalii au ndege zinaponunuliwa. Pili mkataba wa tenda hiyo uwekwa...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Halima Mdee apelekwa kupekuliwa nyumbani kwake na Jeshi la Polisi baada ya kwenda kuripoti matukio ya kutishiwa amani

    Jeshi la Polisi limemkamata mgombea ubunge wa jimbo la Kawe Dada Halima Mdee na sasa wanakwenda naye kumpekua nyumbani kwake Mbweni. Halima Mdee alikwenda kuripoti Polisi juu ya Matukio ya kutishiwa Amani lakini cha kushangaza alipofika amewekwa chini ya Ulinzi. ===== Mdee ahojiwa kwa tuhuma...
  17. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kangi Lugola alikuwa sahihi kuagiza vifaa kazi vya kisasa vya kuzimia moto, lakini akatumbuliwa kwa sababu zisizo na msingi

    Tukichukulia tukio moja tu la moto uliotikisa au unaotikisa hifadhi ya Mlima Kilimanjaro tunapata jibu moja kwa moja kuwa ni vyema Jeshi la Zimamoto na Uokoaji likawa na magari na ndege za kisasa za kuzimia moto. Tanzania tuna hifadhi nyingi, hivyo lolote linaweza kutokea kwenye hizi hifadhi...
  18. Singo Batan

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ushauri wa bure kwa John Mnyika kuhusu mzabuni wa NEC

    Nimefuatilia Press ya Katibu Mkuu wa CHADEMA Bw. John John Mnyika, akiitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuhusisha vyama vya siasa juu ya manunuzi ya vifaa vyote vya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020. Mnyika anakiri kwamba Tume imeitisha zabuni ya manunuzi ya vifaa vya Uchaguzi zikiwemo Karatasi za...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Daraja La Muda Kwa Ajili Ya Kupitishia Vifaa Mbalimbali Vya Ujenzi Wa Daraja La Kudumu La Kigongo - Busisi

    Ujenzi huu ni maalumu na wa kimkakati ili kurahisisha Ujenzi wa Daraja la Kudumu la Kigongo - Busisi lenye urefu wa Kilometa 3.2 Matumî sahihi ya Rasilimali huleta Matokeo Mazuri Kwetu Sote
  20. MchunguZI

    JamiiForums Tanzania Ni uzembe kuendelea kuipamba Dar kwa flyovers wakati shuleni na hospitalini hakuna nyumba na vifaa vya kutosha

    Nimeona clip ya Polepole akimsifu Magufuli wakati akisoma kitabu ambacho nadhani ni ilani ya chama. Anachokitaja ni idadi ya flyovers zinazopangwa kujengwa; Moroko, Tazara, Magomeni, Mwenge, Chang’ombe na uhasibu, fire, Kinondoni, etc. Huu ni uhuni na ushenzi wa matumizi ya pesa ya taifa hili...
Back
Top Bottom