Nimeona kwenye taarifa ya habari ya ITV Leo tarehe 30.11.2021 sh. Mil. 20 zimetengwa kwa ajili ya kuninulia vifaa vya Michezo ya wabunge ili Hali shule nyingi asa za msingi watoto hawana madawati wanakaa chini. Huo ndo uzalendo wa viongozi wetu au wanafanya hivyo kisa watoto wao hawasomi...
• Ni mashindano ya Mabunge ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.
• Timu 8 kupewa vifaa ili kushiriki.
Jumanne,November 30. Kampuni ya michezo Na burudani SportPesa leo imetoa vifaa vya michezo vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 20 kwa timu ya Bunge ambayo inatarajia...
Tumeshuhudia hivi karibuni ongezeko kubwa sana la gharama kwenye vifaa vya ujenzi na bidhaa nyingine za vyakula mfano sehemu nilipo nondo imetoka Tzs 18000/= mpaka 27000/=. Huo ni mfano tu. Mawaziri msaidieni Rais kupanda kwa vifaa kuna muathiri kila mtanzania pamoja na mnyonge.
Nimeshangaa na sijaelewa sera ya Serikali kwa kina Mama Wajawazito, tuliambiwa Mama mjamzito kujifungua ni bure ana hudumiwa, sasa Hospitali ya Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro, Mama mjamzito anaambiwa akanunue Pamba ile kubwa, Gloves na akanunue Vidonge vya kuongeza damu na dawa zingine eti wao...
Wasaalm wanabodi
Kama kichwa cha habari kilivyo, Kijana wenu usiku wa leo nimeibiwa nyaya na vifaa vya wiring ya nyumba. Nomba msaada mtaalam wa kuweza kufanikisha vikarudi au mwizi kupatikana.
Niko Morogoro mjini.
Mnakaribishwa PM
Picha
Update*
November 8, 2021
Wakuu nashkuru sana kwa...
Wadau, Mafundi na wenye uzoefu wa biashara ya vifaa vya umeme wa majumbini naomba mnitajie orodha ya vifaa vinavyohitajika na vinavyotoka haraka kibiashara zaidi.
Nimepata fremu ndogo ya biashara, kwa mazingira ya mtaa huo hakuna duka la vifaa vya umeme kwa maeneo ya karibu, hivyo nimeona...
Mbaroni kwa kosa la kukutwa na vifaa tiba vya Sh milioni 122
Jeshi la Polisi mkoani Kagera linamshikilia, Anicetha Johannes (24) mkazi wa Omukigusha kata ya Bilele muuzaji wa vyuma chakavu kwa kosa la kukutwa na vifaa tiba vyenye thamani zaidi ya Sh milioni 122.
Kamanda wa polisi Mkoa wa...
Kuna Halmashauri nyingi hapa nchini zimetoa maelekezo kwamba vifaa vya ujenzi watanunua wao wakati huo pesa imeingizwa kwenye accounts za shule, TAMISEMI kama mmetoa maelekezo haya basi wekeni utaratibu mzuri kabisa ili wasije wakazidisha bei ya vifaa maana halmashaur zetu huko kuna shida sana...
Menejimenti ya Hifadhi ya Taifa ya Nyerere katika mikoa ya Morogoro na Pwani imelazimika kuuhifadhi mti wa asili jamii ya Marula uliokuwa ukitumiwa na watu mbalimbali wa zamani kufanya matambiko ya asili kuwa kama sehemu ya kivutio ndani ya hifadhi hiyo baada ya kushindwa kukatika kwa zana na...
Ummy Mwalimu umegawa kila chumba Cha darasa 20m, kwasasa ni ngumu kwa bajeti hio, vifaa vya Ujenzi juu Sana, naomba mutoe special offers yaani tax exemptions kwa Ujenzi juu wa madarasa vinginevyo mtatumbua, au mjenge kwa matofali ya udongo then plasta tu ndo cement, halaf nondo moja tu Tena...
Husika na kichwa cha habari hapo juu,
Namshukuru Mungu ni mzima hata sasa, Jumapili nilinusurika ajali mbaya san, Kikubwa Uzima.
tuende kwenye Mada
Kama unajua/unauza vifaa hivi vya nisaan dualis niuzie upate pesa chap chap
1. Engine Cover, hii ndio ninayohitaji.
2. Inner fender(madgad)...
Marekani ya kabidhi misaada kwa serikali ya Tanzania TZS 497,559,000 kwa ajili ya huduma za afya katika Jeshi la Polisi Tanzania na Jeshi la Magereza Tanzania pamoja na vituo vya afya vilivyo chini ya majeshi hayo vitoavyo huduma kwa majeshi hayo na jamii inayoishi jirani na majeshi hayo...
Wakuu nahijitaji vifaa vya stationery kwa Bei ya jumla Kama ifuatavyo.
1.Realm paper
2 flat files
3.printer ink HP laser jet 83A na 85A
4. Endorsing ink
5.blue pen and red pen
6.Box files
7.rubber band
8.steppler
9.punch
Etc.
Najua k/koo nikienda kutafuta nitaipata lkn Kama Kuna mdau huku...
Kwanini plastic welding?
1. Ni shughuli ya mtaji mdogo
2. Watu wengi hawaijui, hivyo utakuwa unique
3. Watu wengi wamekuwa wakitoa vyombo vyao vya plastics vilivyoharibika kwa watu wa screppers kwa bei ya chini sana maana hawajui watavitengeneza vipi.
4. Ni shughuli yenye kipato cha haraka na...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema lina vifaa vya kudumu wiki moja pekee Nchini humo baada ya vifaa vya matibabu kutoka nje kuzuiwa kutokana na vizuizi katika Uwanja wa Ndege wa Kabul.
Pia limeeleza wasiwasi wake kuhusu hali ya sasa kushinikiza maambukizo ya COVID19. Imeelezwa, upimaji...
Wakuu habari ja jioni! Natumaini wote humu ndani my wazima kabisa.
Nahitaji vifaa vya umeme vifuatavyo.
1.Continuity tester (tester phone ) ex tronic
2.Battery - Energizer 9vRL
3.Battery charger( Energizer 9V)
4. Ganish hole-6mmx200mm.
Mwenye kufAhamu wapi nawza kuvipata au hata anipe Bei Vin...
Dah, nimekaa zangu hapa home nafurahia kalikizo kangu kafupi haka nikakumbuka watani zangu hawa kuwa waliwahi kuimba wimbo wa UJENZI WA CCM MPYA.
Mimi siasa chafu sizipendi sasa nawauliza jamaa zangu hawa, ule ujenzi uliisha? Mmefikia wapi kwenye ujenzi au umesimama kidogo? Au Mkandarasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.