vifaa

  1. Walter karoli joseph

    JamiiForums Tanzania Ni wapi naweza kupata vifaa vya kutengenezea mvinyo?

    Wana JF family naomba msaada sehemu ambayo naweza kupata vifaa vya kutengezea mvinyo kama vile air lock, champagne yeast, fermentation bucket, wine preservative, siphon tube na yeast nutrient. Please naomba msaada wenu kwa duka lolote lililopo hapa Dar es Salaam.
  2. state agent

    JamiiForums Tanzania Mashine za NIDA zote wilaya ya Arusha zaibwa

    Mkuu wa Wilaya ya Arusha Jery Muro ameiambia ITV muda mfupi kuwa mashine za kutengeneza vitambulisho vya utaifa wilayani humo zote imeibiwa usiku wa kuamkia leo. Taarifa hiyo imekuja muda mfupi baada ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo kutoa ratiba ya kuandikisha na kusajili vitamburisho...
  3. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Daktari mbaroni kwa kuiba dawa na vifaa vya hospitali

    Jeshi la Polisi mkoani Katavi, linamshikilia mganga mfawidhi wa kituo cha Afya Inyonga wilayani mpanda, Calvin Mnaso (37) kwa tuhuma za kuiba dawa za binadamu pamoja na vifaa tiba katika kituo hicho. Kamanda wa polisi mkoa wa Katavi, Benjamin Kuzaga ametoa taarifa jana kuwa mtuhumiwa huyo...
  4. Equation x

    JamiiForums Tanzania Jamani, tukiwa tunachepuka tutafute vifaa vikali, tusiangalie utelezi tu

    Kuna siku nikiwa na rafiki yangu mmoja (mlevi mwenzangu) tukaingia maeneo ya chuo kikuu kimoja kwa ajili ya kuosha macho hapa na pale. Ghafla kikatokea kifaa kikali upande wangu wa kushoto, nikamshtua yule rafiki yangu na kumuuliza: "Umeona mtambo?" Jamaa akasema, " Hawa huwa siwaangaikii kwa...
  5. mabuladaud

    JamiiForums Tanzania Mwenye Vifaa Hivi Tuwasiliane

    Natafutasimu aina ya nokia 3310 3g,4g, nokia 8110 4g iliyotumika au hata kama ni mpya nna shida nayo sana, na kuhusu mahali ulipo haina shida ili mradi upo Tanzania nitakupata tuu. Na kma maduka ya simu ipo mahali unaweza ukanisaidia kunipa mawasiliano maana nmeangalia maduka ya Mbeya na Mwanza...
  6. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Nzega: Rais Magufuli asema Demokrasia imeimarika sana nchini ndio maana wengine walijitoa kwenye uchaguzi, wengine wakashinda na kushindwa

    Aman iwe juu yenu wakuu, Rais Magufuli akiwa njiani Wilaya ya Nzega kuelekea Shinyanga amewahutubia wananchi wa Wilaya ya Nzega na kuwapongeza viongozi wote walioshinda katika Uchaguzi wa Serikari za Mitaa. Aidha, katika hotuba hiyo Raisi Magufuli akigusia kuhusu Uchaguzi wa Serikali za mitaa...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Vifaa vya saloon ya kike vinauzwa bado vipya 650,000/= vyote

    Vifaa vya saloon ya kike vinauzwa, vipo kwenye hali nzuri kabisa,vimetumika miezi 6 tuu bei ni laki sita na nusu vyote,kwa maelezo zaidi piga 0713540769 /0789206617
  8. L

    JamiiForums Tanzania Vifaa vya mazoezi (gym) vinauzwa

    Vifaa vifuatavyo vya mazoezi vinauzwa: Everlast Solitude Treadmill – TZS 2,400,000.00 Trojan Stamina Treadmill – TZS 1,152,000.00 Trojan Pace Exercise Bike – TZS 640,000.00 Vinapatikana Oysterbay, Dar es Salaam
  9. mkiluvya

    JamiiForums Tanzania TAZARA kusafirisha mizigo na vifaa vya ujenzi mradi wa umeme rufiji

    Shirika la Reli la Tanzania na Zambia (TAZARA) limekamilisha ujenzi na ukarabati wa Stesheni ya Treni Fuga uliohusisha Stendi kubwa ya kupokea mizigo na vifaa vya ujenzi wa bwawa la kufua Umeme Mto Rufuji. Akizungumza katika ziara ya kutembelea ujenzi wa huo, Meneja wa Shirika hilo nchini...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Kuonesha Mpira wa Miguu (Kibanda-umiza): Fahamu Kiasi cha Mtaji, Vifaa na Mbinu za Uendeshaji

    Wanandugu, naombeni msaada tafadhali. Mimi ni kijana mwenzenu nimebahatika kuchanga pesa zangu na nimefanikiwa kupata milioni moja na nusu; nataka kufungua biashara ya kuonesha mpira kwa jijini Dar (hasa mpira wa Ligi Kuu ya Uingereza). Je, vipi ni biashara nzuri kufanya au niachane nayo...
Back
Top Bottom