vifaa

  1. beth

    JamiiForums Tanzania Afghanistan: Shirika la Afya lakabiliwa na upungufu wa vifaa kutokana na vizuizi

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema lina vifaa vya kudumu wiki moja pekee Nchini humo baada ya vifaa vya matibabu kutoka nje kuzuiwa kutokana na vizuizi katika Uwanja wa Ndege wa Kabul. Pia limeeleza wasiwasi wake kuhusu hali ya sasa kushinikiza maambukizo ya COVID19. Imeelezwa, upimaji...
  2. NYAMOZEHOKO

    JamiiForums Tanzania VIFAA VYA UMEME VINAHITAJIKA

    Wakuu habari ja jioni! Natumaini wote humu ndani my wazima kabisa. Nahitaji vifaa vya umeme vifuatavyo. 1.Continuity tester (tester phone ) ex tronic 2.Battery - Energizer 9vRL 3.Battery charger( Energizer 9V) 4. Ganish hole-6mmx200mm. Mwenye kufAhamu wapi nawza kuvipata au hata anipe Bei Vin...
  3. F9T

    JamiiForums Tanzania Bei ya vifaa vya maabara ya physics

    Salaam wakuu . nilikua naomba msaada wa kutajiwa bei ya vifaa vifuatavyo . 1. Voltmeter,galvanometer, ameter, resistors (rheostat) 2. Calorimeter. 3. Spiral springs. 4. Laboratory beam balance . 5. Stopwatches . Nahitaji kufungua home laboratory kwa ajili ya kuwapga msasa vijana hasa somo la...
  4. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa CCM Mpya Ullisha au mliishiwa Vifaa vya Ujenzi?

    Dah, nimekaa zangu hapa home nafurahia kalikizo kangu kafupi haka nikakumbuka watani zangu hawa kuwa waliwahi kuimba wimbo wa UJENZI WA CCM MPYA. Mimi siasa chafu sizipendi sasa nawauliza jamaa zangu hawa, ule ujenzi uliisha? Mmefikia wapi kwenye ujenzi au umesimama kidogo? Au Mkandarasi...
  5. Dr. Wansegamila

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa wilaya ya Mlimba, Morogoro wachoma magari na vifaa vya wapima ardhi

    Wananchi wenye hasira wamewashambulia watumishi wa Ardhi kutoka wilaya ya Mlimba na kuchoma magari, pikipiki pamoja na vifaa vyao vingine wakati wakiendelea na zoezi la uhakiki wa mipaka ya mashamba yanayogambaniwa na muwekezaji na wananchi wilaya ya Mlimba, Morogoro. Watumishi wa ardhi...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Katika kuendeleza ustaarabu ukiwa na shunguli unaweka hivi vifaa kwenye vyumba vya nje.

  7. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kipanya apewe tenda ya kuchora matumizi sahihi ya vifaa hivi

    Nimezaliwa Kwamtogole, choo cha passport size. Leo nikienda Uwanja wa Taifa na Mloganzila ninakutana na makitu haya.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Polisi wafika nyumbani kwa Mbowe kwa upekuzi

    Mama na CCM wamebaki chama dola kwa asilimia 100.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Kuanzisha Duka la vifaa vya umeme na Plumbing

    Habari za Mchana wadau. Msaada wenu, nina milioni15 niko Dar es salaam nataka kuanzisha duka la kuuza vifaa vya umeme pamoja na plumbing naomba kujua vifaa gani vinatoka sana pamoja na changamoto za hii biashara.
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania WHO: Vifo vya Covid19 vimeongezeka kwa 43% kutokana na uhaba wa vifaa tiba Afrika

    Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani(WHO) kanda ya Afrika, Matshidiso Moeti amesema wagonjwa wa #COVID19 wamekuwa wengi, nchi 10 zina uhaba mkubwa wa vitanda na oksijeni Kutokana na uhaba wa vifaa tiba ndani ya wiki moja vifo vimeongezeka kwa 43%. Huku 83% ya vifo vikirekodiwa zambia, Uganda...
  11. Tindo

    JamiiForums Tanzania SoC01 Ajira kupitia kukusanya vifaa vibovu vya wateja na kuvipeleka kwenye matengenezo

    Kuna eneo linaweza kutoa ajira, japo litahitaji mtaji mkubwa kidogo. Wangalau 50m itawezesha kuendesha huduma hii. Inafahamika kuna watu wengi wanaobanwa na kazi siku nzima kiasi kukosa muda, na wengine hawana ufahamu wa kutosha sehemu ya kuweza kupata huduma mbalimbali. Makundi tajwa hapo yote...
  12. Ruyama

    JamiiForums Tanzania Vifaa vya Ujenzi havijashuka bei

    Cement bado elfu 16 mfuko mmoja nondo bado elfu 21. Waziri wa Fedha alisema material ya ujenzi yanayo zalishwa ndani yatashuka bei tarehe 1/7 lakini bado bei iko vile vile. Kwa namna hii ujenzi utakuwa mgumu[emoji134]
  13. E

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Vifaa vya karakana na Kiwandani vinauzwa

    Tunauza na kurekebisha vifaa vya kufanyia kazi kwenye karakana na kiwandani. Kwa wamiliki wa karakana, kiwanda kidogo na kikubwa ,Sasa unaweza kupata vifaa vinavyodumu kwa bei rafiki kutoka kampuni ya Total Tools ya nchini China. Kwa shughuri zako zote mfano: fabrication modification forging...
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Geita: Moto wateketeza vifaa vya wanafunzi

    Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Wilaya ya Geita kwa kushirikiana na askari wa GGM wamedhibiti moto uliowaka kwenye moja ya darasa la Shule ya sekondari Geita iliyopo mjini Geita. Moto huo ambao chanzo chake hakijajulikana umeanza kuwaka saa 3 usiku na kuteketeza magodoro na masanduku ya wanafunzi...
  15. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Serikali kufunga vifaa vya kielektroniki kufuatilia nyendo za vyombo vyote vya usafiri

    Serikali ya Uganda imeingia mkataba na Kampuni ya Teknolojia ya Global Systems LLC ili kuweka vifaa vya kielektroniki (tracking devices) kwenye vyombo vyote vya usafiri nchini humo. Waziri wa Usalama wa nchi hiyo, Meja Jenerali Mstaafu Jim Muhwezi amethibitisha jana kuwa wamesaini mkataba wa...
  16. May Day

    JamiiForums Tanzania Serikali ishugulikie kushamiri kwa uuzwaji wa vifaa vya nyumbani ambavyo vimekwishatumika

    Ninaliona hili kwa hapa Arusha na sijajua kama Serikali inaufuatiliaji wa kujiridhisha uhalali wa kila kinachouzwa kwenye hizi yadi. Kumekuwa na masoko yanayoibuka yaliyosheheni vifaa/vyombo mbalimbali kama Majiko, Meza, Vitanda, Magodoro, TV, Feni n.k. Ningetamani kama inawezekana kuanzishwe...
  17. RUSHAMBYA

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, tunaomba uliangalie upya suala la vifaa vya ujenzi

    Mh. Rais mama Samia Suluhu Hassan tunaomba uliangalie upya suala la vifaa vya ujenzi kwani gharama zake ziko juu sana kiasi mtu wa kipato cha kawaida hasa wa kijijini hawezi kumudu gharama hizo hata kidogo. Kama bati futi 10 la gauge 32 ni limefikia Tsh. 20,000/- tutaweza kujenga kweli...
  18. kj75

    JamiiForums Tanzania Biashara ya gym, vifaa vyake na changamoto zake

    Habari wanaJF. Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wote na mnaendelea vizuri na shughuli zenu za kila siku naomba kupata wenye uzoefu na hii biashara ya gym iko je, nataka nifungue sehemu fulani hivi. Jamani msaada wenu asante.
  19. luangalila

    JamiiForums Tanzania Waziri Jumaa Aweso, unajua kero hii huduma ya kuunganishiwa maji?

    Habari za Asubuhi waungwana, Kama kichwa cha habari kisemavyo. Serikali imekuwa ikijipambanua kuongeza kasi ya upatikaji wa maji kwa wananchi wake. Lakini mpaka leo kuna changamoto ya upatikanaji wa huduma hiyo katika maeneo kadhaa ya mjin kwa kisingizio cha uhaba wa vifaa vya...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Waziri gani alimdhulumu Rais mstaafu Mwinyi vifaa vyake vya ujenzi?

    Katika Kitabu cha kuelezea maisha yake Mstaafu Mwinyi anasema alipojiuzulu Uwaziri wa Mambo ya Ndani Waziri aliyechukua nafasi yake alimtaka ahamishe haraka mizigo yake ili yeye ahamie kwenye nyumba ya Serikali aliyokuwa anakaa Mzee Mwinyi. Mzee Mwinyi alishindwa kuhamisha vifaa vyake vya...
Back
Top Bottom