Habari za usiku huu.
Ni hivi video ya wimbo wa Rayvanny na Zuchu inayoitwa I miss you iliandaliwa kwa million 80 hadi kukamilika kwake.
watu wanawekeza jaman.
Cheo kinapopewa kwa mtu ambae sio muadilifu huwa ni janga kwa wananchi.
Baadhi (sio wote) ya ma askari hutumia cheo hiki kunyanyasa raia, mfano anaweza kukupora mali yako, anaweza kukataa kukurudishia ulichomkopa, anaweza kukupiga, n.k.
Ukijaribu kujitetea kwa askar ambae sio muadilifu kitendo...
Salaam Wakuu,
Kuna picha zinazoonesha Wananchi wa Tanzania Jamii ya Wamasai wakiwa na majeraha. Haijajulikana picha zimepigwa wapi saa ngapi.
Naamini Vyombo vya Usalama vitatolea ufafanuzi ili kuondoa taharuki katika Jamii.
MY TAKE:
Damu ya Mtu haiendi bure.
Pia soma:
Wamasai Ngorongoro...
See the video at Niamini ft. Alikiba - Hamadai - Lyrics & Music Video
"Hamadai" - Song Lyrics
eyyoooo
oh beby mwezi hauishi takuvisha pete
niaamiiini
vicheche sina mpango nao nimeacha mapepe
niaamiiini
takutunza takupamba umeremete
niaamiini
me kwako sina ujanja ah mpechempeche
niaamiini
CHORUS...
Leo, viongozi wa BAVICHA, John Pambalu na ujumbe wake wamekamatwa na jeshi la Polisi Babati wakiwa kijiweni, wakijadili na vijana wenzao masuala ya nchi yao.
Polisi Babati wanasema hili ni kusanyiko lisilokuwa na kibali, hivyo John Pambalu (mwenyekiti wa BAVICHA) na wenzake 7 wamekamatwa kwa...
Kama ni kweli anayoyasema Mh. Freeman A. Mbowe kwenye video hii wakati wa kikao cha Baraza Kuu kuhusu Halima Mdee na wenzake maarufu kama COVID-19 ni kweli, basi huyu mtu IS REALLY A TRUE and A GOOD LEADER of this millenium in Tanzania..!!
Mimi kwa 99% naweza kuamini kuwa ni kweli maana hata...
Video mpya imesambaa ikionesha hakukuwa na mashambuliano yoyoye wakati mwandishi wa habari Abu Akleh anauawa kwa risasi, kama ilivyoelezwa awali kuwa aliuawa wakati wa mashambulizi baina ya pande mbili
Video hiyo inamuonesha mwanahabari huyo wa Al Jazeera akiwa katika hali ya utulivu na wenzake...
Russia imesema wanajeshi wa Ukraine mia tisa na hamsini na tisa (959) waliokuwa wamejificha kwenye kiwanda cha chuma huko Azovstal, Mariupol wamesalimu amri hadi kufikia jana (juma nne). Kati ya hao 959, wnajeshi 80 walikuwa wamejeruhiwa na kati yao 51 walipelekwa hospitali iliyo chini ya...
Kijana wa Kikenya amelitia Taifa hilo katika aibu baada ya kukwapua simu mbili za watasha waliokuwa wakipiga stori sogozi kwenye mgahawa. Kijana huyo aliyeingia ndani ya eneo hilo akiwa anaongea na simu na kwenda kukaa karibu na watasha hao lakini ghafla alikwapua simu hizo na kufanikiwa kukimbia.
Kazi na dawa, mabingwa watarajiwa wa kombe la klabu bingwa afrika mwaka huu ambalo litawapa tiketi ya kwenda kuwakilisha bara hili la giza kwenye FIFA club world cup , Yanga sc walikula bata la kutosha na bendi ya malaika music band huko kigoma kabla ya mechi yao na Ruvu shooting iliyoisha kwa...
Habari marafiki.
Hii ni post yangu ya kwanza hapa.
Ninatuma hii kwa suala na kivinjari changu cha Firefox. Kwanza kabisa, ningependa kueleza kuwa mimi ni mwanafunzi wa usimamizi wa biashara ambaye hutumia muda wake mwingi kusoma mtandaoni. Kama matokeo, itabidi nitazame mafunzo ya youtube...
Mshambuliaji anayeshika nafasi ya pili kwa ubora kwa sasa barani Afrika nyuma ya Peter Shalulile, the greatest Fiston Mayele ambaye takwimu zinaonyesha ni mshambuliaji hatari kuwahi kutokea katika ligi ya Tanzania alikumbana na mauzauza ya ajabu huko kigoma
Mayele kama ilivyo kwa team nzima ya...
Pale Manchester United kuna mchezaji ambaye amekua akishutumiwa na kupewa lawama nyingi kutokana na ufanisi wake uwanjani Harry Maguire hivyo hivyo kwa Waziri January Makamba ambaye wizara yake iimepoa mithili ya mchuzi wa juzi usiokua na nyama.
Kuna huyu Mzungu yupo huko you tube huwa anafanya documentary kuhusu misosi na utamaduni ndani ya nchi mbalimbali duniani na channel yake Ina nguvu sana. Inaitwa best ever food review show, Sasa huyu mtu ana subscription za you tube mil8.4 zaidi ya diamond platnumz, huyu mtu ameitangaza nchi ya...
Baadhi ya wananchi wamewatuhumu wanaodhaniwa kuwa ni askari wa wanyamapori katika Hifadhi ya Serengeti kwa kuteka wananchi huku ikidaiwa kuna baadhi ya watu wanapotea kusikojulikana katika mazingira ya kutatanisha.
Gumzo kubwa kwa sasa ni kupotea kwa Nyamuhanga Mnanka (40) mkazi wa Mtaa wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.