Mfanyakazi wa graphics na video production anahitaji

Manala An Academician

Senior Member
Oct 10, 2016
118
54
Utangulizi
Glaness graphics and design inamilikiwa na Flydream Company Limited. Inahusika na huduma mbalimbali mfano kutengeneza flyers, banners, video editing, video shooting, T-shirt printing n.k

Tunatafuta mtu aliye tayari na uzoefu katika maeneo haya:

Sifa
1. Uwezo wa kutumia computer, hasa program zinazohusiana na kuandaa matangazo
2. Ubunifu ni sifa za ziada na utazingatiwa katika kazi hii
3. Mwenye uzoefu wa kufanya business branding na kufanya masoko atapewa kipaumbele
4. Mshahara utakuwa ni 300,000 kutegemea na uwezo wake wa kutimiza malengo kadri itakavyopangwa

Mwenye sifa hapo juu naomba atume CV yake kupitia WhatsApp namba 0765374146 na kupitia email manager@flydream.co.tz

NB: Mwisho ni tarehe 07/05/2022
 
download.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom