Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,036
- 20,337
AV1 ni format ambayo imekubaliwa kutumiwa na makampuni makubwa kama vile Amazon, Facebook, Google, Amazon, IBM, Intel, Microsoft, Mozilla, na Netflix.
YouTube TV iliweka format hiyo tangu mwaka jana katika TV zinazokubali 8K na Netflix mwaka jana ilianza kuweka format hiyo kwa watumiaji wa simu za Android.
Wiki hii TV na vifaa ambavyo vinaweza kupata update hii ni:
➤ Smart TV kubwa zote za Samsung zilizotoka kuanzia 2020 (UHD Smart TV, UHD QLED Smart TV, 8K QLED Smart TV, The Frame, The Serif, The Terrace)
➤ TV yoyote na PS4 Pro (kwa kutumia official app ya Netflix ya PS) na TV. Unaweza kutumia katika TV yoyote hata ambazo sio supported.