FT: Simba SC 3 - 0 Red Arrows kombe la shirikisho barani Afrika

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Sep 6, 2014
6,170
7,661
Ni Jumapili Tulivu, Jumapili Yenye Kimvua Fulani Maeneo Ya Mjini Dasilamu, Litako pigwa Pira Real Madrid, Wakati Timu zingine Zikiwa Mikoani kuendelea kusaka Point, Kama mkoa wa mbeya Na Vitongoji vyake, SIMBA SC atakuwa analiwakilisha taifa kwenye michezo Ya Kimataifa.

Ni Simba Vs Red Arrows kombe Shirikisho Barani Africa.

Sina Historia Yoyote kama Hizi Timu zimewahi kukutana, Ila Leo Saa 10 jioni Ya Leo zinaenda Kukutana Pale KWA MCHINA ESTADIO BENJAMINI MKAPA.

Simba Wanahitaji Ushindi Wa Lazima kwa Tahadhari ya Kuto kuruhusu Goli Hata moja Ili kazi ikawe Nyepesi Ugenini.

Pablo Kuja na Kikosi Gani?

Mtanange ni Saa 10 Gioni ya Leo.
 
Huu uzi umeukimbilia kuwahi kuufungua ili wasije wakaku-time akina BOBAN SUNZU?. Hiyo Gioni umeirudia rudia inamaanisha nini?. Au ndio kiswahili kipya huko mikiani?
 
Ikumbuke tu kwamba red arrow anashika nafasi ya saba kwenye msimamo wa ligi kuu Zambia
 
Back
Top Bottom