Video: Sikiliza huu wimbo kutoka malawi uliorekodiwa live na mwanamziki mzee wa miaka 93 akimshirisha kijana . Lazima utaupenda tu.

Hahahaa Minjingu mwendo mpera mpera mchibuyu!! kwasasa nipo mbioni kutengeneza mkaa wa kisasa,najifunza funza kwa wadau!
Hataree sana jombaa. Ila pia minjingu kuna watoto wakalii Sana wakimang'ati. Dah mademu wa kiafrika ndo mademu wazur duniani
 
Hataree sana jombaa. Ila pia minjingu kuna watoto wakati Sana wakimang'ati. Dah mademu wa kiafrika ndo mademu wazur duniani

The best women all reside in Africa, and that's real - Hata Ludacris Mnyamwezi Alikiri kwenye Pimpin Around The WOrld.
 
Kiinggg Nimechoka na haya mazungu hapa. Narudi Homu kusaka demu wa kuoa aisee tena kutoka kijijini ila tatizo ukiwaleta hulu wanabadilikaga Sana

Hapana mkuu ,rudi ukamate demu wa kibongo ,hawezi kubadilika kama anakupenda kwa dhati na mnaishi vizuri...Demu anabadilika endapo m.me akiwa haeleweki.
 
Kiinggg Nimechoka na haya mazungu hapa. Narudi Homu kusaka demu wa kuoa aisee tena kutoka kijijini ila tatizo ukiwaleta hulu wanabadilikaga Sana
Unamleta halafu uwe mkali usimruhusu mazoea na wanawake wa huko yaani wewe mkeep busy na majukumu ya familia tu. Asifanye kazi maana huko ndio wanaharibikia. Na wenzake wakiona anaishi kimaadili watamtia sumu balaa ili akubadilikie watamtafutia hata mwanaume.

Ukitaka awe salama awe na urafiki na wale wanawake wa kilatino, wakihindi au wakiarabu wale waislam washika dini. Ila wazungu na black Americans sio wanawake wa kuwazoea....

Wana akili mbovu sana za kujifanya wao maisha yao wanaamua wanachotaka.

Ndo maana mengi yao yanafika miaka 50+ hayana mtu unasikia umri huo ndo anaanza kudate.
 
Mzuka wanajamvi!

Wimbo unaitwa Linny Hoo, umeimbwa na Giddes Chalamanda akimshirikisha kijana Namandingo Bonge la songi linavuta Hisia Sana.

Love Malawi!

Huyo mzee si ndio alikuwa analalamika kwamba Bob Marley na kundi lake la The Wailes wamemuibia wimbo wa "Buffalo Soldier"
 
Unamleta halafu uwe mkali usimruhusu mazoea na wanawake wa huko yaani wewe mkeep busy na majukumu ya familia tu. Asifanye kazi maana huko ndio wanaharibikia. Na wenzake wakiona anaishi kimaadili watamtia sumu balaa ili akubadilikie watamtafutia hata mwanaume.

Ukitaka awe salama awe na urafiki na wale wanawake wa kilatino, wakihindi au wakiarabu wale waislam washika dini. Ila wazungu na black Americans sio wanawake wa kuwazoea....

Wana akili mbovu sana za kujifanya wao maisha yao wanaamua wanachotaka.

Ndo maana mengi yao yanafika miaka 50+ hayana mtu unasikia umri huo ndo anaanza kudate.

Huyo mzee si ndio alikuwa analalamika kwamba Bob Marley na kundi lake la The Wailes wamemuibia wimbo wa "Buffalo Soldier"
Interesting, funguka zaid mkuu. Ngoja ni Google.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom