video

  1. MK254

    JamiiForums Tanzania Video: Kifaru cha Urusi chadondosha wanajeshi na kugonga mti kwenye harakati za kuikimbia Ukraine

    Hadi aibu na huruma, wanajeshi walioparamia kwenye kifaru wadondoka kama gunia kisha kikaishia kugonga mti, jameni Putin aliingiza nchi yake kwenye aibu gani hii, Warusi nyumbani wanapotazama video kama hizi wanahisi vipi labda..... The video, which was posted on the Calibre Obscura Twitter...
  2. MK254

    JamiiForums Tanzania Ukraine wapost video, ngoma ya Kharkiv wameifikisha mpakani na Urusi

    Jamaa wamefukuzia hadi mpakani, wamewehuka, nchi wanaikomboa, wanajitoa mhanga wa kufa afe wa kubaki aendeleze kizazi. Supapawa aliingia cha kike kwenye huu ugomvi maana wanajeshi wake wanapoteana hadi raha. ================= Avideo of a Ukrainian soldier bragging about how close Ukrainian...
  3. MK254

    JamiiForums Tanzania Video: Dah! Wananchi wajipanga barabarani kulaki jeshi lao la Ukraine, walikua utumwani yaani

    Baada ya wanajeshi wa Urusi kuteka mji wa Kherson, wazalendo wa Ukraine wamepambana kwa kujitoa mhanga na kukomboa mji, jameni hamna raha kama hii vijana mnalakiwa na wazee wenu wakishangilia ujio wenu wa kishujaa, mnatamba barabarani kibabe kwenye ardhi yenu, bendera yenu, taifa lenu.....hii...
  4. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ogingas Stand on Communism

    I came across this video between oginga odinga and the british journalist. communism may be the reason why he was denied a chance to be a president
  5. MK254

    JamiiForums Tanzania Video: kwa huu mkumbatio wa meza, maskini Putin anatia huruma, anateseka jamaa

    Kuna video inasambaa ikionyesha Putin anavyopata mrejesho wa vita kutoka kwa jenerali, huku amekumbatia meza kwa huzuni, huyu mwana kaanzisha shughuli ambayo inamtesa sana kwa kweli.....
  6. dinongo

    JamiiForums Tanzania Hi video clip imenihuzinisha, tunakoendea ni hatari!

    Mod, msichanganye aka kauzi, Hivi serikali inafurahia wananchi wake wateseke kwanini? Nimemsikia mmiliki mmoja wa mabasi akisema kuwa kuna watu wakubwa wana logde zao wanazimiliki karibu na stendi kuu ya mabasi.kwahiyo kitendo Cha wao kuwapeleka abiria maeneo karibu na makwao inafanya wasipate...
  7. Taifa Digital Forum

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Wanachi walio wengi Tanzania wamekubaliana na Serikali kukata tozo - TWAWEZA

  8. JamiiForums

    JamiiForums Tanzania Ulinzi wa Taarifa Binafsi na Faragha: Usimpige Picha wala kumchukua Video karani wa Sensa bila ridhaa yake

    Wakati zoezi la Sensa ya Watu na Makazi likiendelea, ni vema kukumbushana kuwa Faragha ya Mtanzania yeyote, akiwemo Karani wa Sensa, ni kitu muhimu sana katika nyakati hizi Picha na Video za Makarani zimekuwa zikisambazwa mitandaoni hivyo, tungependa kuukumbusha umma kuwa suala la faragha na...
  9. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Video: Changamoto za makadirio ya kodi na Tozo na upigaji tra

  10. Econometrician

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano Mkubwa Mahakama Kuu ikafuta ushindi wa Ruto-, Angalia makosa ya Kimahesabu yaliyofanywa na IEBC katika Video hii

    Ukisoma maoni ya Wakenya katika video hiyo sio team Kenya Kwanza wala team Azimio wote wamesikitika.Vilevile,ukifuatilia mijadala mingi ya watubalimbali huko Kenya inaonekana kuna shida kwenye Tume ya Uchaguzi.
  11. mack255

    JamiiForums Tanzania Ruto Alikuwa Ni Mchungaji VIDEO | PICHA

    Picha za zamani za Ruto akiwa katika kazi ya kutangazwa Injili
  12. ryan riz

    JamiiForums Tanzania Hawa Wabrazil wa Singida Big Starz si wa kitoto

    Hapa nawacheck naona ligi kuwa ngumu sana kule top 4. Wana nguvu speed, wepesi, control na namna ya ukokotaji wa mpira na zile press ni hatari.
  13. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Video: Jana nilivyolia mbele ya kamera sikutegemea

    Kweli Mimi ni wa kulizwa kweli kisa ushabiki? Watoto wangu watanionaje huko mbeleni? Nimepigiwa simu kutoka pande za dunia wakinipa pole. Kwelii man utd na simba mmefikia huko? Kweli simba hile ni timu ambayo inajinasibu kufika Mbali CCL Kweli? Simba ambayo sasa haina sauti kwa yanga yani sisi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Angalia hii video Uhuru alivyo mnafiki

  15. R

    JamiiForums Tanzania Sikiliza video hii, uthibitisho kuwa Rais anapitia JF

    Kuna thread humu ilisema Mh Rais misafara yake haina watu huko kusini, leo amewajibu
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: 14 watuhumiwa kuwabaka wadada wanamitindo wakati wakirekodi video ya muziki

    Wanaume 14 wamefunguliwa mashtaka ya kuwabaka wanawake wanane baada ya kuwavamia wakati wakirekodi video ya muziki katika mgodi uliotelekezwa Johannesburg Nchini Afrika Kusini Mtuhumiwa mdogo zaidi katika kundi la wahalifu ana umri wa miaka 16 ambapo amepelekwa kituo cha watoto kuhukumiwa...
  17. mgt software

    JamiiForums Tanzania Kupanda kwa bando kuathiri kilimo na ufugaji. Video call zilipunguza sana udanganyifu. TCRA msilichukulie poa

    Wana Jf. Wakati serikali ikijitahidi sana kuingiza fedha nyingi kwenye kilimo, makampuni ya simu yapo mstari wa mbele kuumiza matumiaji wa Internet kwa kuongeza gharama lukuki kila mwezi. Uwezi kumaliza mwezi kabla ya vodacom na airtel hazijapunguza vifurushi vya bando. Hii ni kudidimiza juhudi...
  18. N

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Chupa zikirushwa baada mzee wa "Bugaa", kuingia mitini

    Naama kijana mwenye maringo ya kutosha Kizz daniel anaendeleza zile tabia zake na saafari hii kafanya yake jijini dsm We unaambiwa warembo ndiyo walikuwa warusha chupa wakubwa.
  19. N

    JamiiForums Tanzania Video: Kuna utambulisho wa Mchezaji Simba leo saa 9:00 alasiri

    Please please naomba iwe ni Manzoki kwa kweli naomba iwe hivyo ,huyo mzungu hata kama ni mkali itamchukua muda sana kuendana na ujinga wetu wa ki afrika please naomba iwe manzokiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ila kila...
  20. Taifa Digital Forum

    JamiiForums Tanzania Huruma foleni ya mafuta London, tazama video hii ujionee.

    Licha ya baadhi ya Mataifa ya Afrika kukumbwa na changamoto ya Mafuta ya Nishati hususani Petroli, Diesel na Mafuta ya taa, hali imegeuka kuwa tete katikati ya Jiji la London kama inavyoonekana katika Video hii. a
Back
Top Bottom