Uchaguzi 2020 Kampeni za CCM zimefana sana wagombea wa ubunge wanaonyesha uwezo mkubwa tutapata mawaziri bora!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,957
141,948
Kiukweli nafuatilia kwa makini kampeni za chama tawala CCM mgombea urais na wagombea ubunge wameonyesha umahiri mkubwa.

Ni dhahiri mwezi November tunaweza kupata Baraza la Mawaziri jipya kabisa kwani hili ingizo jipya siyo mchezo.

Ngoja tuone.

Maendeleo hayana vyama!
 
Kiukweli nafuatilia kwa makini kampeni za chama tawala CCM mgombea urais na wagombea ubunge wameonyesha umahiri mkubwa.

Ni dhahiri mwezi November tunaweza kupata baraza la mawaziri jipya kabisa kwani hili ingizo jipya siyo mchezo.

Ngoja tuone.

Maendeleo hayana vyama!
Umesema neno hapa Jimbo la sengerema mwanza namuona Hamis Tambasamu wa darasa la 7 na jirani yake wa Geita vijiji naye darasa la 7. Tutapata mawaziri wazuri Sana.
 
Hata mkitangaza kuongeza mishahara wakati wowote kuanzia sasa pasipo Bunge kupitisha,tutawapiga chini tu.
Maoni ya mdau wa jf
 
Back
Top Bottom