Tumetangaziwa kwamba Tundu Lissu ameitwa kujieleza kwa nini anasema wataingia barabarani. Suala hili linachiambuliwa kisheria namna hii.
Katiba yetu inasema katika ugombea urais Tume ikishamtangaza mtu mshindi basi haiwezi kuhojiwa na chombo chochote duniani.
Hata kama Tundu Lissu atapata kura 100% na Magufuli akapata 0%, ikimtangaza Magufuli kashinda haitahojiwa na chombo chochote. Hivi ndivyo ilivyo katiba yetu.
Kutafuta haki ni maumbile ya ubinadamu ambayo hakuna duniani anayeweza kuyaondoa. Binadamu ni kiumbe kinachoweza kutenda au kutotenda haki na haki. Binadamu asitemtendea haki mwenzake hiyo ni dhuluma na kama hakuna sheria ya kuondoa dhuluma hiyo basi aliyedhlumiwa ana mamlaka ya kufanya lolote kupata haki yake.
Narudia, ukishadhulumiwa unakuwa na sovereignty ya kurudisha haki yako na hakuna duniani wa kukuzuia.
Tume wanaweza kutenda haki na inapotenda haki inastahili kulinwa na kila mmoja. Lakini Tume isipotenda haki kuna mengi ya kusema lakini nitasema machache.
Ingawa wapenzi wa Tundu Lissu wame panic wanatakwa kufurahi Tundu Lissu kuitwa. Maana kesi hii tunatarajia Tume iulizwe kwamba isipotenda haki aliyeporwa haki afanyeje au afanyweje.
Tuliwauliza hivi ni kwamba hakuna Mtanzania mwenye jibu la swali hili. Uchaguzi haina uwezo wa kutuambia kuwa isipotenda haki aliyeporwa haki afanya nini. Hivyo kama haina majibu haiwezi kuwachaguliwa waporwa haki jinsi ya kuirudisha haki yao.
Maadam tume haitakuwa na majibu hata polisi hawatakuwa na majibu. Polisi hawawezi kuwakamata watakaoandamana kwa sababu ni kweli wameporwa haki.
Maadam Tume hawatakuwa na majibu basi kesi haina msingi na hakutatokea chochote.