johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,944
- 141,920
Jambo kubwa kabisa alilolifanya Rais Magufuli ni kuwashughulikia mafisadi wala rushwa na wapiga dili waliokuwa wanalihujumu taifa letu.
Wananchi zaidi ya 95% wanataka Kazi Iendelee kwamba sasa yakang'olewe mazalia na mabakibaki ya mafisadi popote yalikobakia na wanataka jukumu hilo likamilishwe na aliyelianzisha Rais Magufuli.
Ndipo nauliza yule mgombea wa chama kikuu cha upinzani Mh Tundu Lissu ana historia yoyote chanya ya mapambano dhidi ya ufisadi au ni ile inayofahamika na wengi ya kumtuhumu na baadae kumsagisha Mzee Lowassa?
Maendeleo hayana vyama!