uwekezaji

  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mjadala kuhusu Jukwaa la Kodi na Uwekezaji 2024, Ukumbi wa JNICC Jijini Dar es Salaam, Februari 28, 2024:

    Mjadala unaofanyika kwenye Jukwaa la Kodi na Uwekezaji 2024, Ukumbi wa JNICC Jijini Dar es Salaam, Februari 28, 2024: https://www.youtube.com/watch?v=flJ-sm9Ke0A MDAU: KUNA UTAMADUNI WA TRA KUTOA BENKI FEDHA ZA WATEJA WAO WENYE MIGOGORO YA KIKODI BILA USHIRIKISHWAJI Mdau ameshauri mamlaka ya...
  2. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Ungepewa milioni 12 uwekeze, ungefanya uwekezaji gani? Wafanyabishara waheshimiwe, ajira ni bora zaidi ya biashara

    Wafanyabishara wote, na wapambanaji wote walioweza kutoka chini, bila kitu na wakafanikiwa kuona Mwanga, aisee ukimpita mtu wa hivyo jaribu kumheshimu sana maana hustling zake sio za kitoto. Nimeelewa kwanini Baba yangu alikuwa ananikazania nisome, biashara sio kwa ajili ya watu dhaifu, ila...
  3. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Mpira ni uwekezaji na sio propaganda, Yanga endeleeni kuwaziba midomo wanafiki, mnawajibu kwa vitendo hongereni!

    Walianza na propaganda za Yanga kushiriki kombe la looser (shirikisho), wakatoka hapo yanga ikagonga mpaka fainali uku timu zikichapwa ipasavyo wakasema wamekutana na timu dhaifu, lakini wale wale waliwai kucheza ilo ilo kombe la looser wakaishia kuchoma uwanja wa watu na kutupwa nje ya michuano...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi amteua Shariff Ali Shariff kuwa Waziri wa Uchumi na Uwekezaji Zanzibar

    RAIS wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amemteua Shariff Ali Shariff, kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Kazi, Uchumi na Uwekezaji visiwani humo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. Uteuzi huo umetangazwa na Katibu Mkuu Kiongozi Zanzibar, Mhandisi Zena Said Kwa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Biashara na uwekezaji

    Nina ela yangu kama laki tano ila sijui nifanye biashara gani au investment gani ili niweze kupata faida kwa mwaka ya milioni 30
  6. Pfizer

    JamiiForums Tanzania DCEA: Zaidi ya kilo Milioni za Dawa za Kulevya zilikamatwa Tanzania mwaka 2023

    Na Mwandishi wetu Dodoma Serikali kupitia Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya imesema imepata mafanikio makubwa katika mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya ambapo kuanzia mwezi Januari hadi Disemba 2023 kilogramu zaidi ya milioni moja za aina mbalimbali za dawa za kulevya...
  7. mkarimani feki

    JamiiForums Tanzania Tupeane mbinu: Ni uwekezaji gani wa zao la kudumu ambalo nikilima linaweza kunipa kipato toshelezi?

    Wadau hali ya kiuchumi ya watanzania inajulikana , wengi wetu vipato vinasua sua sio kwa jobless ama employee iwe public ama private entity. Wakuu nimekuja hapa tupeane updates ni mkoa gani ama wapi hapa nchini kwetu unaweza wekeza kwenye zao la kudumu likakupa pesa kwa kipindi kirefu. N.B...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Fursa ya uwekezaji Reli na barabara kwenda Zambia baada ya hili

    https://www.cnbc.com/2024/02/05/bill-gates-backed-miner-discovers-large-scale-copper-deposit-in-zambia.html
  9. R

    JamiiForums Tanzania Ziara za viongozi CCM, zigusie uwekezaji wa DP World unaendeleaje

    Salaam, Shalom, Itakumbukwa kuwa, uteuzi wa Katibu Mwenezi wa CCM, ulifanyika siku ya utiaji Saini kati ya Serikali na Kampuni ya DP World, hatujasahau Bado!!! Hivi sasa tunaona ziara na misururu mirefu ya magari yakiambatana maeneo mbalimbali nchini, viongozi wa chama,akiwamo Katibu Mwenezi...
  10. snochet

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Massey Ferguson 135 na Massey Ferguson 158 Zinauzwa

    Habari, Ninauza hizi tractor mbili. Zote ni 2WD. Mtumba kutoka Uholanzi bila jembe/trailer. MF135-46Horsepower MF158-63 Horsepower Zimesajiliwa na kila kitu kinafanya kazi vizuri kabisa(Engine za Mbuni-Diff Kubwa, PTO, drawbar na zina connection za hydraulics). Hazijatumika Tanzania. Bei MF135...
  11. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kwa aina hii ya uwekezaji kamwe Afrika haitasonga mbele

    Leo mtandaoni nimeona kumepostiwa picha za jengo jipya la kimataifa la kuabudia (International worship centre) huko jimbo la Ikwa Ibom, Nigeria. Ni jengo linalotajwa kugharimu zaidi ya naira bilioni 20. Kwangu mimi huu ni uwendawazimu. Afrika inahitaji viwanda, vyuo vya ufundi, hospitali na...
  12. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Jinsi Ya Kufokasi Katika Uwekezaji Wa Viwanja/Mashamba/Majengo

    Kufokasi ni msingi mojawapo muhimu sana sana kwenye uwekezaji wa ardhi na majengo. Bila kufokasi kwenye maeneo nitakayoainisha hivi punde haiwezekani kujenga himaya ya utajiri kwa wakati muafaka. Fokasi ni kuchagua njia/mbinu moja ya kuwekeza kwenye ardhi na majengo mpaka kupata mafanikio ya...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANAPA yawasili visiwani Zanzibar kunadi vivutio na fursa za uwekezaji

    Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) wamewasili Visiwani Zanzibar kushiriki kwa mara ya kwanza Maonesho ya Biashara ya Kimataifa yaliyofunguliwa tarehe 10.01.2024 na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussen Ali Mwinyi eneo la Dimani - Fumba Zanzibar ili kunadi...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Huu ni mwaka wa uwekezaji-TIC

    Kituo cha Uwekezaji Tanzania,TIC kimezindua kampeni yake maalum ya kuhamasisha uwekezaji nchini. Kampeni hiyo imezinduliwa leo katika mkoa wa Mwanza na Mtendaji Mkuu wa Kituo hicho Bw. Gilead Teri na inalenga kufikia mikoa 15 nchini. Akizungumza katika mahojiano maalum na kituo cha Clouds Tv...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji Mahiri Katika Maeneo ya Kimkakati ya TAWA Kuiingizia Serikali Zaidi ya Dola za Marekani Milioni 314

    UWEKEZAJI MAHIRI KATIKA MAENEO YA KIMKAKATI YA TAWA KUIINGIZIA SERIKALI ZAIDI YA DOLA ZA KIMAREKANI MILIONI 314 Na Beatus Maganja, Dar es Salaam Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amesema Serikali inatarajia kupata mapato yanayokadiriwa kufikia dola za Kimarekani milioni...
  16. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Njia 8 Za Uhakika Za Kupata Wazo Linalolipa Kupitia Uwekezaji Wa Viwanja/Mashamba/Majengo

    Mwanaidi alipata wazo la kutafuta wateja wa kukodi shamba lake la ekari 10 baada ya kumiliki eneo hilo kwa muda mrefu bila kuingiza kiasi chochote. Eneo lake (Mwanaidi) lina uwezo wa kuingiza 500,000 kwa msimu wa kilimo. Ikiwa ataweza kupata wafugaji wa ng'ombe au mbuzi au samaki, kipato...
  17. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania Biashara Kuu za Mtu Mweusi

    Kusema "Africa ni bara lenye giza" ninaweza kueleweka vibaya na kuonekana kama siyo sahihi. Lakini ukweli uliopo naona Africa ni bara lenye giza totoro, lililokosa watu welevu, ingawa natambua uwepo wa utajiri katika bara la Afrika, tamaduni zake pamoja na mandhari mbalimbali. • Ndio, kuna...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Kama Waziri wa Mipango na Uwekezaji anafuata mashirika yasiyokuwa na tija, kwanini haifuti TANESCO?

    Hivi hili shirika lina tija kwa Tanzania na watanzania? Miaka nenda rudi sarakasi za TANESCO haziishi. Ahadi za watendaji na wanasiasa kuhusu TANESCO zinatolewa kila mwaka. Lkn hakuna jipya. Swali la msingi ni kwann halifutwi shirika hili?
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Katavi: DC Jamila asitisha zoezi la uwekezaji mpaka taratibu ziwekwe wazi

    Wananchi wa Kijiji cha Mtisi, Kata ya Sitalike Halmashauri ya Nsimbo Mkoani Katavi wamemgomea mwekezaji anayetaka kuwekeza katika maeneo ambayo yapo karibu na mto ambapo maeneo hayo ndio tegemeo la kuhifadhi chanzo cha maji ya mto huo. Bosco Chamtepa, Mwajuma Bashiri na Abel Mazuke wamesema...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji huku kila mwenye mamlaka ana sharubu

    Mhe Chongolo aliongoza msururu wa mikutano ya kutetea uwekezaji Bandarini. Kwenye vikao hivyo waziri mwenye dhamana alirudia kutoka Iringa hadi Tanga - Mwekezaji akikosea tutamfurusha /tutamfukuza mchana kweupe. Wafuasi wa chama walishangiliaje. Huko nyuma na hivi karibuni hali ni ile ile...
Back
Top Bottom