Mpira ni uwekezaji na sio propaganda, Yanga endeleeni kuwaziba midomo wanafiki, mnawajibu kwa vitendo hongereni!

Majok majok

JF-Expert Member
Aug 3, 2023
609
1,563
Walianza na propaganda za Yanga kushiriki kombe la looser (shirikisho), wakatoka hapo yanga ikagonga mpaka fainali uku timu zikichapwa ipasavyo wakasema wamekutana na timu dhaifu, lakini wale wale waliwai kucheza ilo ilo kombe la looser wakaishia kuchoma uwanja wa watu na kutupwa nje ya michuano wakaishia robo fainali!

Wakatoka hapo wakaamia klabu bingwa wakabwata Tena oooh yanga atoboi kwenye hii ligi ya wanaume uku akuna kina malumo Wala Rivers united, Aya wamepangiwa magiant wawili waarabu wagumu mabingwa wa Misri, mabingwa wa Algeria, na mabingwa wa Ghana, katika kundi ilo katoboa, katoa SARE mbili, kashinda 2, na kafungwa 1 mpaka Sasa kafuzu robo fainali akiwa na mechi moja mkononi!
Kafuzu kwa mpira mkubwa na WA kitabuni na sio wa kubahatisha na kushikilia roho, kaubonda mwingi sana!
Sasa siwezi Kuona ajabu wakitinga nusu fainali ya klabu bingwa na kuandika historia ya kipekee kwakuwa uwezo wanao, Nia wanayo na kikosi Bora wanacho Cha kufanya hivyo na sio unga unga mwana Kama wazee wa propaganda!

Watu walikuwa wanajiandaa na mechi ya Belouzdad wengine walikuwa wamebaki kujadili bleach za wakina pacome, wakasahau walikuwa na mechi kule Ivory coast!

Ubora wa kikosi cha yanga utaendelea KUWAZIBA MIDOMO wengi awaendi kwa kubahatisha Bali kwa mipango mathubuti ya usajili Bora na uongozi imara!

Kongole sana Eng.Hersi, kongole kamati tendaji, kongole mashabiki na wanachama wa yanga kwa kuwa na mshikamano ulioleta matunda na Sasa ni "OPERATION NUSU FAINALI INAWEZEKANA"
 
Sasa yanga kuna uwekezaji gani yaani kufika knockouts stage mara moja mshaanza kelele kweli yanga wenye akili ni wawili.
 
Sasa yanga kuna uwekezaji gani yaani kufika knockouts stage mara moja mshaanza kelele kweli yanga wenye akili ni wawili.
Wewe kolo maumivu ni makali pita hivi, unaingia knockout stage ukiwa kwenye group dume Hawa sio wakina jwaneng Wala whydad, Hawa ni mabingwa wa nchi zao usifikiri ni washindi wa pili Hawa kuwa na heshima!
 
Naam, kituo kinachofuata ni nusu fainali. Kwenye mijadala ya kitoto hatupo tena.

Ndio maaana Watu kama nyinyi huwatunawaouuuzia tuuu hatuna muda wa kubishana na nyinyi tuna muda wa kutafuta mafanikio wewe endelea kushikiria historia
 
YANGA NDIO BINGWA WA CAF CL MSIMU HUU, UWEKEZAJI UMELIPA TUAMINI KATIKA MCHAKATO. KUNA WAKATI MAUMIVU UNAYOYAPATA KAMA UTAYATAFAKARI IPASAVYO BASI KUNA UWEZEKANO WA KUPIGA HATU, MIAKA MITANO NYUMA YOUNG AFRICANS ILIKUWA MUHANGA MNO WA HAYA MASHIDANO YA CAF CL, LAKINI WALIKAA CHINI NA KUJIULIZA WAPI PANAPOTUKWAMISHA NA WAKAPATA DAWA YA CHANGAMOTO ILIYOKUWA INA WAKABILI LEO HII WANAKARIBIA KUFIKA PALE WANAPOPATAKA, VIVA YANGA LA AFRICA, UELEKEO NI NUSU FAINALI, PAMOJA TUNAWEZA.
 
Wewe kolo maumivu ni makali pita hivi, unaingia knockout stage ukiwa kwenye group dume Hawa sio wakina jwaneng Wala whydad, Hawa ni mabingwa wa nchi zao usifikiri ni washindi wa pili Hawa kuwa na heshima!
Wakati simba anamfunga al ahly na anaongoza kundi ulikuwa unatoa kamasi itakuwa.
 
Wakati simba anamfunga al ahly na anaongoza kundi ulikuwa unatoa kamasi itakuwa.
Wakati anamfunga aly ahly kipindi Cha korona lock down ikiwa imetawala Kila sehemu ndio unatuletea hapa, Kama una timu kweli ongoza kundi Sasa hivi tuone, umewekwa kundi dhaifu na bado unasuasua unatoa droo ata na jwaneng🤔🤔🤔
 
Twende mbele turning nyuma kwa sasa yanga wapo vizuri mtu anayekaza shingo kwa ubishi huyo ana maumivu moyoni na chuki binafsi...huwezi amini mpaka sisi mashabiki wa yanga tunaogopa kwa mpira anaoupiga.
 
Sijasoma vizuri ulichoandika but nimeona tu mstari mmoja wa kuisifia Yanga.

Niseme tu UPO SAHIHI SANA.
 
Back
Top Bottom