Kama Waziri wa Mipango na Uwekezaji anafuata mashirika yasiyokuwa na tija, kwanini haifuti TANESCO?

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,415
Hivi hili shirika lina tija kwa Tanzania na watanzania? Miaka nenda rudi sarakasi za TANESCO haziishi.

Ahadi za watendaji na wanasiasa kuhusu TANESCO zinatolewa kila mwaka. Lkn hakuna jipya.

Swali la msingi ni kwann halifutwi shirika hili?
 
Hivi hili shirika lina tija kwa Tanzania na watanzania? Miaka nenda rudi sarakasi za TANESCO haziishi. Ahadi za watendaji na wanasiasa kuhusu TANESCO zinatolewa kila mwaka. Lkn hakuna jipya.

Swali la msingi ni kwann halifutwi shirika hili??
Zaidi ya Magufuli waliyemuua, Tanzania hatuna viongozi wa maana....they're all incompetent., wao wanawaza kuiba tu na kujitajirisha wenyewe.
 
Zaidi ya Magufuli waliyemuua, Tanzania hatuna viongozi wa maana....they're all incompetent., wao wanawaza kuiba tu na kujitajirisha wenyewe.
Competency ya jiwe mnaiona ktk lipi? Labda ktk kuua, kuteka, kufilisi, kupora na kupiga watu risasi!

Vinginevyo that man was the greatest evil in this country characterized by impulsive attitude, poor decision making and fear for criticism. He did not even deserve to be a president.

Once I get to the topmost seat of this nation will erase his name from all the government documents recorded him as a former head of state (president).
 
Nashauri hili shirika lifutwe kabisa halina faida hata kidogo. Kama ambavyo shirika la elimu kibaha lilivyofutwa basi na Tanesco nalo lifutwe.
 
Tanesco ni janga kwa Taifa.

NAUNGANA NAWEWE MKUU (LIFUTWE).

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Back
Top Bottom