Biashara na uwekezaji

Leviz

Member
Feb 18, 2024
30
34
Nina ela yangu kama laki tano ila sijui nifanye biashara gani au investment gani ili niweze kupata faida kwa mwaka ya milioni 30
 
Nina ela yangu kama laki tano ila sijui nifanye biashara gani au investment gani ili niweze kupata faida kwa mwaka ya milioni 30
Nenda liwale, sumbawanga au kigoma ndanindani ukatengenezwe.

Hiyo milioni 30 unayoitaka utaipata ndani ya miezi miwili na utapata zaidi ya hapo ukifuatisha masharti vizuri.
 
Faida kwenye biashara huwa range ya 15% hadi 30% ya mtaji ukiowekeza kwa mwezi ama mwaka.
Sasa wewe jamaa unataka faida ya zaidi ya mara 60 ya mtaji wako.

HIlo ki biashara halipo.
 
Back
Top Bottom