Nyafwili
JF-Expert Member
- Nov 27, 2023
- 2,774
- 6,885
Kusema "Africa ni bara lenye giza" ninaweza kueleweka vibaya na kuonekana kama siyo sahihi. Lakini ukweli uliopo naona Africa ni bara lenye giza totoro, lililokosa watu welevu, ingawa natambua uwepo wa utajiri katika bara la Afrika, tamaduni zake pamoja na mandhari mbalimbali.
• Ndio, kuna watu wenye asili ya Kiafrika walio matajiri kwa sasa. Kuna wajasiriamali, wawekezaji, na watu wenye mafanikio katika nyanja mbalimbali duniani wanaochangia katika uchumi na jamii lakini ni kwa kiwango kidogo sana tofauti na mabara mengine.
Mifano ni pamoja na watu kama:-
(a) Aliko Dangote kutoka Nigeria,
(b) Patrice Motsepe kutoka Afrika Kusini,
(c) isabel dos Santos: Mjasiriamali na mwekezaji kutoka Angola, hii ndo orodha ya mifano ya watu matajiri kutoka Afrika waliopata mafanikio katika sekta mbalimbali duniani.
• Ila Tukija kwa upande wetu hapa Tanzania,
(a) Biashara ya kuuza Chips mayai, chips kavu, kuuza kuku wakisasa kwa mfumo wa vipande vipande maeneo ya mbagala na sehemu nyingine.
(b) Biashara ya duka la vyakula, akijitahidi sana atamiliki duka la Jumla.
(c) Biashara ya Kuuza maji stend, akijitahidi sana anakuwa machinga,
(d) Biashara ya Kilimo, akijitahidi sana atalima heka 10,
(e) Biashara ya duka la dawa, akijitahidi sana atafungua pharmacy ya kimtindo,
(e) Biashara kupangisha nyumba au guest, akijitahidi sana atamiliki nyumba zisizozidi kumi,
(d) kuwa mwanasiasa, akijitahidi sana anakuwa mwinzi wa mali za umma,
• Tukiachana na masuala ya mipango ya Mungu, Ongeza biashara nyingine za mtu. Mweusi.