Habari!
Nilikuwa naulizia utaratibu wa kumhamisha kijana kutoka Private schools kwenda Governament. Kijana alikuwa anasoma Pwani Shule ya Waamuzi Sec sasa kutokana na changamoto za aliyekuwa anamsomesha mambo hayako vizuri ameona amhamishie Saranga Sec (govt school).
Kijana analelewa na Bibi...
Wakuu heshima kwenu
Nahitaji msaada kuhusu utaratibu wa Manispaa pale ambapo mhusika amegundulika kuwa ameanza ujenzi wa nyumba ya makazi ya kawaida isiyo ghorofa kwenye kiwanja chake halali kisicho na mgogoro wowote lakini bila ya kuwa na kibali cha ujenzi kuoka manispaa.
Jee, ni sawa kama...
Nashauri taasisi hii iwe na kitabu, au tuite journal ambayo itatoka kila mwaka ikiwa na makala(articles) za wanasiasa mbalimbali, wataalamu, wa ndani na nje ya nchi wakijadili mambo ya Tanzania na Afrika kwa ujumla. Imagine umwambie Ziito, Jk, Samia, Museveni, Kagame(japo mtu wa hovyo, ila hata...
“Kuna suala la mikataba,kuna amri kwamba mikoa, wilaya isimalize kuingia kwenye mikataba mpaka ofisi ya Mwanasheria Mkuu waone mikataba hiyo, lakini kuna wengine wanajifanya mafundi na kusaidi mikataba hiyo. Lakini pia kuna mikataba imefungwa kwa njia inayokubalika, lakini wakati wa kuvunja...
Hizi namba za 3D imekuwa Ghafla sana kung'olewa, na Jeshi la polisi limesimama imara katika Hili, Ombi langu kwa Jeshi la Polisi ni hili:-
Namba za Ajabu
Mtaani huku kuna namba nyingi ambazo sio rasmi, Nyeusi, Nyeupe na Njano hapo nyuma mlitoaga tamko lakini hizi namba bado zipo na hatujui...
Wakuu habari za jioni.
Ni mimi kijana mzalendo wa taifa langu, pia mwanafunzi hapa mlimani , ndugu Wana jf nahitaji kuonana na MH: Daktari Samia Suluhu Hassan nipo na project proposal ya muhimu Sana ambayo itakwenda kuliokoa taifa hili na watu wote kwa ujumla.
Najua wengi mtanidhihaki Lakini...
Barabara ya Kimara mwisho bonyokwa kwenda segerea ilkua chini ya TARURA ghafla tumeskia imechukuliwa na TANROADS ambao wanajenga barabara bila kulipa fidia kwenye maeneo ya watu ambapo barabara imewakuta na kutoa notisi ya siku 30 tu watu wabomoe barabara.
Barabara tunaipenda ila ni walipe...
Wadau,
Yamenikuta makubwa (vifungo vya kufa mtu)sasa nadhani ni muda muafaka wa kumuona Kuhani Musa sababu ya sifa ninazozisikia kuhusu yeye.
Na je huwa kuna gharama gani pale ili kupata huduma zake
NB: Najua kanisa lake lipo Temboni , sasa sababu mimi nipo mkoani nataka uhakika wa kumuona...
Chuo Kikuu cha Dodoma kuna tatizo, Wanachuo tumelipa ada na kujisajili mapema lakini mpaka tunafika mwisho wa mhula hatuna Vitambulisho.
Kibaya zaidi Sheria au utaratibu wa hapa ulivyo haturuhusiwi kuingia kwenye mtihani bila kitambulisho hai (active), yaani unatakiwa kuwa na ID ambayo...
Mbunge Joseph Kakunda: Lini Serikali Itaweka Utaratibu wa Mbolea Kuwekwa Kwenye Vifungashio vya Kilo 5, 10, 15, 25 na 50.
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema kwa sasa mbolea imeanza kufungashwa kwa ujazo tofauti na inapatikana madukani.
Akijibu swali Bungeni jijini Dodoma Bashe amesema...
Hii shule ipo njia ya Cocacola -Clouds, karibu kabisa na Bushoke Chips, hapa bhana asubuhi wazazi wanaleta watoto wao shule, basi hakuna parking, magari yanajaa barabarani na inasababisha foleni na usumbufu sana kwa watumiaji wa barabara hiyo.
Tunaomba uongozi wa shule uwajibike kuwa na mpango...
Anonymous
Thread
clouds
foleni
kupokea
magari
mbovu
mikocheni
njia
shule
utaratibu
Mimi sina ujuzi wowote wa bima na ninakampuni ya shughuli nyingine tofauti na bima, isipokuwa nimeona nafasi kwenye shughuli zangu hizi nawezakupata ma kazi nyingine za kukatia bima. Tafadhari naomba msaada nawezakufanya nini au nawezapata usaidizi gani kukamilisha hili kwa haraka. Asante
Salaam, Shalom!
Ziku chache zilizopita, palitokea taarifa njema za uwajibikaji Kwa waziri wa Serikali ya MAPINDUZI Zanzibar Kwa kile kilichoelezwa kuwa ni kuadimika Kwa Pombe visiwani humo akituhumu kubadilishwa waagizaji. Waziri aliyejiuzulu ni Waziri wa Utalii na mambo ya kale ndugu Siami...
Salaam ndugu zangu,
Mwaka huu miezi ijayo tunatarajia kuwa na Uchaguzi wa Serikali za Mtaa
Nimekuwa siridhishwi na uongozi wa Serikali ya mtaa wetu kwa mambo mengi sana. Nataka nijaribu kugombea ili nami nitoe mchango wangu kusaidia changamoto za watu mtaa wetu kwa namna mbalimbaki lakini...
Kwa mujibu wa Katiba ya CCM kazi ya Katibu wa Itikadi,uenezi na Mafunzo ni kukisemea na kukitolea taarifa chama kinapokua kwenye utekelezaji wake. Sasa Kaka Bashite aneacha wajibu wake anafahya kazi za Makamu mwenyekiti wa CCM Bara Mzee Kinana, anafanya kazi za Dr Nchimbi, katibu mkuu wa Chama...
Mimi similiki biashara ya kiwanja au sehemu ya starehe lakini professionally mm ni Asset manager, business and financial advisor. Na kwa bahati mbaya sana sina mteja ambae anamiliki biashara aina hio.
Lakini hebu nyie wamiliki tumieni akili, mnapoteza sana muda kwa kudhan kuajiri wadada wenye...
Ulimwegu wa sasa umekuwa na Ndoa zinazovunjika kila uchwao na ukiangalia sababu kubwa ni kutofahamiana na kuchunguzana kabla ya Ndoa.
Wazee wa zamani walikuwa wanatafutiwa wake na wazazi na ndoa zilidumu kwasababu kulikuwa na uchunguzi wa tabia kabla ya ndoa.
Swali : Swala la kijana kutafutiwa...
Mganga Mkuu wa Serikali, Profesa Tumaini Joseph amesema Serikali ina mkakati wa kutumia TEHAMA ili PF3 ziwepo kwenye mifumo ya utoaji huduma za hospitali ili kusaidia wagonjwa kupata huduma kwa wakati.
Mdau wa JamiiForums.com kupitia shindano la Stories of Change (2023) aliwahi kushauri mambo...