Serikali kuja na utaratibu mpya wa utoaji wa PF3 kwa kutumia TEHAMA

Sildenafil Citrate

JF-Expert Member
Jan 29, 2021
573
2,555
Mganga Mkuu wa Serikali, Profesa Tumaini Joseph amesema Serikali ina mkakati wa kutumia TEHAMA ili PF3 ziwepo kwenye mifumo ya utoaji huduma za hospitali ili kusaidia wagonjwa kupata huduma kwa wakati.

Mdau wa JamiiForums.com kupitia shindano la Stories of Change (2023) aliwahi kushauri mambo kadhaa katika kuboresha utoaji wa PF3 ikiwemo uwepo wa njia hii ili kurahisisha upatikanaji wa huduma kwa majeruhi wa ajali pamoja na kuepusha vifo visivyo vya lazima.

Unaweza kusoma hapa andiko lake: SoC03 - Mabadiliko na uboreshaji katika utoaji wa PF3 (Police Form no 3)

 
Back
Top Bottom