utaratibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Utaratibu za zamani uliruhusu timu ambayo sio Bingwa wa Ligi kushiriki Kombe la Club Bingwa?

    Naombeni majibu kwani kama sikosei, zamani kama sio Bingwa hushiriki hili kombe. Mwenye majibu ya uhakika atusaidie.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Bomoa bomoa Kimara Mwisho-Bonyokwa zimeanza tena

    Barabara ya Kimara mwisho bonyokwa kwenda segerea ilkua chini ya TARURA ghafla tumeskia imechukuliwa na TANROADS ambao wanajenga barabara bila kulipa fidia kwenye maeneo ya watu ambapo barabara imewakuta na kutoa notisi ya siku 30 tu watu wabomoe barabara. Barabara tunaipenda ila ni walipe...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Naomba utaratibu wa kuonana na Kuhani Musa Uso kwa Uso

    Wadau, Yamenikuta makubwa (vifungo vya kufa mtu)sasa nadhani ni muda muafaka wa kumuona Kuhani Musa sababu ya sifa ninazozisikia kuhusu yeye. Na je huwa kuna gharama gani pale ili kupata huduma zake NB: Najua kanisa lake lipo Temboni , sasa sababu mimi nipo mkoani nataka uhakika wa kumuona...
  4. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Chuo cha UDOM kuna utaratibu mbovu wa kutoa vitambulisho, wanatuumiza Wanafunzi

    Chuo Kikuu cha Dodoma kuna tatizo, Wanachuo tumelipa ada na kujisajili mapema lakini mpaka tunafika mwisho wa mhula hatuna Vitambulisho. Kibaya zaidi Sheria au utaratibu wa hapa ulivyo haturuhusiwi kuingia kwenye mtihani bila kitambulisho hai (active), yaani unatakiwa kuwa na ID ambayo...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Joseph Kakunda: Lini Serikali Itaweka Utaratibu wa Mbolea Kuwekwa Kwenye Vifungashio vya Kilo 5, 10, 15, 25 na 50.

    Mbunge Joseph Kakunda: Lini Serikali Itaweka Utaratibu wa Mbolea Kuwekwa Kwenye Vifungashio vya Kilo 5, 10, 15, 25 na 50. Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema kwa sasa mbolea imeanza kufungashwa kwa ujazo tofauti na inapatikana madukani. Akijibu swali Bungeni jijini Dodoma Bashe amesema...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Shule ya Academic Mikocheni Njia ya Clouds inasababisha Foleni, Utaratibu mbovu wa kupokea magari

    Hii shule ipo njia ya Cocacola -Clouds, karibu kabisa na Bushoke Chips, hapa bhana asubuhi wazazi wanaleta watoto wao shule, basi hakuna parking, magari yanajaa barabarani na inasababisha foleni na usumbufu sana kwa watumiaji wa barabara hiyo. Tunaomba uongozi wa shule uwajibike kuwa na mpango...
  7. Joseph Chiwango

    JamiiForums Tanzania Msaada wa utaratibu wa kusajiliwa kama Insurance Broker

    Mimi sina ujuzi wowote wa bima na ninakampuni ya shughuli nyingine tofauti na bima, isipokuwa nimeona nafasi kwenye shughuli zangu hizi nawezakupata ma kazi nyingine za kukatia bima. Tafadhari naomba msaada nawezakufanya nini au nawezapata usaidizi gani kukamilisha hili kwa haraka. Asante
  8. R

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Muungano igeni Utaratibu mzuri wa Kujiuzulu kama Zanzibar

    Salaam, Shalom! Ziku chache zilizopita, palitokea taarifa njema za uwajibikaji Kwa waziri wa Serikali ya MAPINDUZI Zanzibar Kwa kile kilichoelezwa kuwa ni kuadimika Kwa Pombe visiwani humo akituhumu kubadilishwa waagizaji. Waziri aliyejiuzulu ni Waziri wa Utalii na mambo ya kale ndugu Siami...
  9. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Ni utaratibu/ vigezo gani napaswa kuwa navyo ili kugombea nafasi ya uongozi Serikali za mtaa?

    Salaam ndugu zangu, Mwaka huu miezi ijayo tunatarajia kuwa na Uchaguzi wa Serikali za Mtaa Nimekuwa siridhishwi na uongozi wa Serikali ya mtaa wetu kwa mambo mengi sana. Nataka nijaribu kugombea ili nami nitoe mchango wangu kusaidia changamoto za watu mtaa wetu kwa namna mbalimbaki lakini...
  10. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania Makonda anafanya kazi za Kinana na Dkt. Nchimbi. Je, ndiyo utaratibu wa chama?

    Kwa mujibu wa Katiba ya CCM kazi ya Katibu wa Itikadi,uenezi na Mafunzo ni kukisemea na kukitolea taarifa chama kinapokua kwenye utekelezaji wake. Sasa Kaka Bashite aneacha wajibu wake anafahya kazi za Makamu mwenyekiti wa CCM Bara Mzee Kinana, anafanya kazi za Dr Nchimbi, katibu mkuu wa Chama...
  11. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa viwanja na sehemu za starehe mnashindwa nini kuwa na utaratibu wa kuandaa 'BLIND DATES'

    Mimi similiki biashara ya kiwanja au sehemu ya starehe lakini professionally mm ni Asset manager, business and financial advisor. Na kwa bahati mbaya sana sina mteja ambae anamiliki biashara aina hio. Lakini hebu nyie wamiliki tumieni akili, mnapoteza sana muda kwa kudhan kuajiri wadada wenye...
  12. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kutafutiwa Mke urudi kwenye jamii?

    Ulimwegu wa sasa umekuwa na Ndoa zinazovunjika kila uchwao na ukiangalia sababu kubwa ni kutofahamiana na kuchunguzana kabla ya Ndoa. Wazee wa zamani walikuwa wanatafutiwa wake na wazazi na ndoa zilidumu kwasababu kulikuwa na uchunguzi wa tabia kabla ya ndoa. Swali : Swala la kijana kutafutiwa...
  13. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa Maandamano hapa ukitangazwa

    Huu utaratibu wachukue Chadema.
  14. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Responded Serikali kuja na utaratibu mpya wa utoaji wa PF3 kwa kutumia TEHAMA

    Mganga Mkuu wa Serikali, Profesa Tumaini Joseph amesema Serikali ina mkakati wa kutumia TEHAMA ili PF3 ziwepo kwenye mifumo ya utoaji huduma za hospitali ili kusaidia wagonjwa kupata huduma kwa wakati. Mdau wa JamiiForums.com kupitia shindano la Stories of Change (2023) aliwahi kushauri mambo...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanaotaka Ujerumani walipe fidia ya Ukoloni waambiwa wafuate utaratibu

    Siku chache baada ya The United Kingdoms of Afrika (UKOA) kupitia kwa Dr. Moses Katega “Prince Katega II” Na Dr. Fadhili Emily Kabujanja “Mfalme Dr. Fadhili” kuandika barua na kuiwasilisha Ubalozi wa Ujerumani Nchini Tanzania wakidai kulipwa fidia kwa kilichotokea wakati wa Ukoloni, Esther...
  16. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mamlaka ya udhibiti wa ubora wa vyakula inatumia utaratibu upi? Kuna bidhaa nyingi zilizopita muda madukani

    Wakuu heshima mbele, niende moja kwa moja kwenye mada. Pengine inaweza kuonekana kama jambo la ajabu kwangu mimi naweza kuchukua hatua je wangapi wasiojua hili? Ipo hivi majuzi nilitinga katika supermarket moja hivi , nina utamaduni wa kila bidhaa nitakayonunua lazima nitizame expiry date...
  17. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania Madereva wa mikoani, tabia na utaratibu wa kupaki mabasi sehemu ya chakula chenye bei juu mnaumiza abiria wenye kipato kidogo

    Serikali yetu - mamlaka husika tunaomba mtusaidie sisi wanyonge na hii tabia ya madereva inayozidi kushamiri kila kukicha, hasa kwa wale ndugu zetu wanaosafiri mikoa ya mbali wanapata tabu sana kuhusu masuala ya chakula. • Dar - - Mwanza • Dar - - Mbeya • Dar - - Kigoma • Dar -- Arusha • Dar --...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Naomba utaratibu wakubadili tin number kutoka non businesses kwenda business

    Samahani nilikua naomba kazi kampuni x vigezo vikawa tin number nikampa mtu anitengenezee yeye akatengeneza ya non businesses Sasa imekataliwa nafanyaje kubadili msaada jaman
  19. Championship

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo Mbeya na Songwe utaratibu ni kupaki barabarani kupeana zamu ya kupita?

    Pale Inyala unapoteza dakika 30 wanasema mnasubiria malori yanapita muda wake tofauti na magari mengine. Pale mteremko wa Mbalizi ni hivyohivyo halafu tena ukiingia mkoa wa Songwe kuna sehemu utaratibu ni huo. Chakushangaza barabara ni nzima kabisa ila wameweka huo utaratibu kwasababu kuna...
  20. Pleasepast

    JamiiForums Tanzania Ni upi utaratibu wa kumrudisha mke asiye na nidhamu nyumbani kwa wazazi wake?

    .
Back
Top Bottom