utaratibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu utaratibu wa Leseni ya Biashara

    Wakuu msaada kidogo hapa. Mimi nafanya biashara ya duka la vinywaji. Mwaka wa tatu huu. Leseni huwa Kila ikiisha naenda TRA na Halmashauri ku-renew. Sasa last time nimerenew itaisha mwezi wa 8 tareh 30 mwaka huu 2024. Cha ajabu amekuja Afisa biashara amechukua leseni anasema leseni niliyonayo...
  2. funaku

    JamiiForums Tanzania Zoezi la Huduma za Afya aliloanzisha Makonda liwekewe utaratibu kwa kila mkoa

    Nipongeze ubunifu huu wa kipekee ambao umefanywa na R.C Makonda. sasa ni muhimu ukawekwa utaratibu kwa kila Mkoa kufanya jambo hili ikibidi kwa mwaka mara moja. zoezi hili lipewe jina la "wiki ya Afya kitaifa" ambapo madaktari bingwa nchini watatoa huduma zao bure kwa wananchi . KWA HISANI YA...
  3. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kwa utaratibu wa jumuia ya Afrika Mashariki, bajeti zote hupitishwa siku moja, nini athari ya Kenya kuondoa Finance Bill?

    Hili ni suala muhimu kwa sababu lazima katika baadhi ya mambo nchi zote zifanane katika sheria za kikodi
  4. TEAM 666

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kulipia Kodi bidhaa za sukari na mafuta upoje

    Habari wakuu Naomba kujua utaratibu wa kulipia Kodi bidhaa tajwa hapo juu Hadi mzigo kufika katika godow Tanzania bara upo vipii
  5. dr namugari

    JamiiForums Tanzania Nataka kununua simu kwa mtu je nifate utaratibu gani? Mtu huyo simfahamu

    Kuna jamaa ngu alipelekwa jela kirahis sana. Lisa alinunua simu kwa rafiki yake bila kujua kuwa hiyo simu iliibwa
  6. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania "Amevunja kanuni na utaratibu wa chama,hatufai!kamati kuu imeridhia hatoteuliwa kuwa mtia Nia wa urais"!

    Wakuu Nilipata wasaa wa kumtembelea kada mkongwe sana wa chama chetu Cha mapinduzi juzi huko isimani mkoani Iringa,tukapata wasaa wa kujadili mawili matatu juu ya mwenendo wa chama chetu kuelekea uchaguzi mkuu 2025! "Kanuni tulizotumia mwaka 2015 wakati wa uteuzi wa hayati jpm ndizo...
  7. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Jerry Silaa kuwe na utaratibu wa kusikilliza Wananchi kila mwezi mara 2 Mpaka 3 kuna mikasa ya aibu ya dhuluma za ardhi wanakimbilia mahakamani

    Kwako ndugu yangu, namshukuru mungu kwa aliekuchagua anajua makusudi yake Hakika wananchi wameumia wanateseka sana na wahuni wapiga dili viwanja vya watu Hawa wahuni wana channel ndefu sana naamini mungu amekuleta kuwasaidia wananchi. Naomba kama inawezekana uonnane na wananchi hata mara...
  8. Paspii0

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo yenye huduma bora za mikopo ya Elimu ya juu, na kuweka utaratibu mzuri wa marejesho Kwa wote hata kwa ambao hawapo sekta rasmi

    UTANGULIZI. 👉Lengo kuu la HESLB ni kutoa msaada wa kifedha kwa wanafunzi wa elimu ya juu ili kuhakikisha kuwa wanaweza kukamilisha masomo yao bila kikwazo cha kifedha. Dhamira yake ni kuongeza upatikanaji wa elimu ya juu na kusaidia kuboresha ubora wa elimu nchini Tanzania. 👉Baada ya kumaliza...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania OSHA yazuia ubomoaji wa Jengo la Zamani la DDC Kariakoo kwa kutofuata utaratibu

    Saa chache tangu Mwanachama wa JamiiForums.com alipolalamikia juu ya mchakato wa ubomoaji wa jengo la zamani la DDC Kariakoo, akidai unafanyika kiholela bila kuzingantia hatua za kiusalama, hatua zimechukuliwa na Wakala wa Usalama na Afya Mahali Pa Kazi (OSHA). Kuhusu hoja ya memba, soma hapa ~...
  10. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Kuna viashiria vya ufisadi katika mikataba ya Ujenzi wa miradi 7 ya barabara (2035km) kwa utaratibu wa EPC+F

    Huu ni mchango wa mbunge wa jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka wa fedha 2024/2025 tarehe 30 Mei 2024 bungeni Dodoma. “....Serikali tarehe 16 Juni 2023 kupitia Wizara ya Ujenzi ikiongozwa na Prof. Makame Mbarawa by then, ilisaini mikataba saba...
  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kufagia ardhi ya udongo, mchanga au vumbi ni usafi gani?

    Ni aina fulani ya kukosa maarifa, upotezaji muda au ujuha kuamka kila siku asubuhi kufagia uani kwako, mbele ya nyumba yako au katika biashara yako kama hakuna pavement blocks, sakafu ya zege,/cement, tiles au lami. Unakuta mtu anatimua vumbi mtaa mzima kwa minajili kwamba anafagia kufanya...
  12. Mcheza Piano

    JamiiForums Tanzania Wazo: Serikali iruhusu kilimo cha bangi chini ya utaratibu maalumu (Bangi ni Pesa)

    Bangi ni zao lenye thamani kubwa kutokana na faida zake lukuki ukilinganisha na mimea mingine. Watu wengi wamekaririshwa upande wapili tu wa zao hili (madhara ya matumizi haramu ya bangi) Naomba tuelewane kuwa hata petrol ni bidhaa muhimu sana katika uchumi wetu lakini wapo watu ambao huitumia...
  13. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi latoa ufafanuzi juu ya tuhuma za baadhi ya Trafiki kuhusika na uchepushaji wa fedha

    Jeshi la Polisi lingependa kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa zilizoandikwa na kusambazwa kupitia vyombo vya habari zikisema "Wachepusha mfumo wa malipo". Taarifa hiyo imeenda mbali zaidi ikidai na kutaka kuaminisha umma kuwa askari wa Usalama barabarani wameingilia mfumo wa malipo ya fedha za...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri Wilaya ya Moshi wanachelewa kutoa barua za kuthibitishwa kazini bila sababu za msingi na kinyume na utaratibu

    Halmashauri ya Wilaya Moshi kuna changamoto ya watumishi kucheleweshwa kupewa barua za kuthibitishwa kazini bila sababu yoyote ile angali utaratibu ni mtumishi akitimiza mwaka mmoja anapaswa kupewa barua. Lakini huku inaweza chukua hata miaka kuanzia miwili na muda mwingine watumishi hulazimika...
  15. Mcheza Viduku

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuandaa jambo hili naomba mwenye uelewa nalo anisaidie dondoo zake

    Umofia kwenu bandugu wote kwenye hiki kilinge chetu cha kujidai. Nina ombi kwenu wadau. Nina mpango wa kuandaa tamasha la stand up comedy huku mkoa ninaoishi, nimeiona hiyo fursa naamini nitapiga hela. Sasa ombi langu kwenu ni mwenye uzoefu wa uandaaji wa event za namna hii naomba anisaidie...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kumkaririsha kidato cha pili mtoto aliyefaulu? Utaratibu ukoje?

    Habarini wanajamvi; wema na wabaya wa mada hii! Nauliza kama mzazi nina uhuru wa kumkaririsha kidato cha pili mtoto wangu aliyefaulu mtihani wake wa kidato cha pili (FTNA) kwa vile hakufaulu kwa viwango nivitakavyo mimi na vya kumsaidia maisha yake? Yaani, kwa mfano, mtoto kapiga A na B masomo...
  17. Replica

    JamiiForums Tanzania Wananchi 34 wabomolewa nyumba zao kabla ya fidia KIA, utaratibu gani huu?

    Huko KIA wananchi 34 wamebomolewa nyumba zao huku fidia ikiwa haijalipwa kwa madai taratibu za kibenki hazijakamilika. Mkuu wa mkoa anadai pia ni 'huruma ya mama' wao kulipwa fidia kwasababu ni wavamizi eneo hio! Kama waliamua kuwalipa kupitia kodi zetu, kwanini wasingewalipa ndio wabomoe?
  18. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kukata bima NHIF kwa wasio waajiriwa ukoje? Gharama zake za kila mwezi ni zipi?

    Wakuu, Nataka nikatie Bima familia lakini sijaajiliwa. Gharama zikoje? Shilingi ngap kuchangia kila mwezi?
  19. J

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuomba uraia Zanzibar

    Kuna namna hainipendezi kwenye huu muungano. Yaani ukiwa mzanzibar una haki zote katika huu muungano ila ukiwa mtanganyika huwezi hata kuajiriwa na Serikali ya Zanzibar wala kwenda kujenga Zenji, ila ukiwa mzenji unaweza fanya lolote huku bara sasa si ni heri uwe Mzanzibari tuu.... Naomben...
  20. Kirchhoff

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa Kutaja Itifaki ya Viongozi Tanzania uangaliwe upya

    Nimekuwa nikifuatilia matukio mbalimbali ya Kiserikali na kijamii mara nyingi. Niseme tuu Sipendwezwi na Utaratibu Wa Kutaja na kutambuana Viongozi kabla ya kuanzia hotuba au salamu zao. Mfano Leo Hapa Arusha, Jukwaa kuu Lina Viongozi Zaidi ya Ishirini na Kila kiongozi anayetaka kuongea...
Back
Top Bottom