Habari za mids hii
Siku Kama nne hivi zilizopita nimenunua vifaranga 7 aina ya saso , sijawahi kufuga kuku ndo nimeamua jaribu , baada ya kuwachukua nilinunua starter 1Kg ndo wanaila ila hapa
Sasa naomba kuuliza utaratibu ukoje kuhusu chanjo Ni ipi na Kila baada ya muda gani , je wakiwa...
Ili kuepuka aibu ya kufungwa goli nyingi katika mchezo wa marudiano AFL kesho (pamoja na ahadi ya bilioni moja kutoka kwa Mo endapo akishinda mchezo wa kesho) kiufundi naona mambo yafuatayo yanapaswa kufanyiwa kazi.
Simba wanapaswa wajiuekuwa wanatimu mbovu. Hawana Golikipa hata mmoja ukitoa...
Habari za wakati huu wadau wa elimu
Kama picha inavojieleza hicho ndicho kiasi ambacho nimepangiwa na HESLB kwa mwaka wa masomo 2023/2024....
Nahitaji ushauri, maoni, faida na hasara za kukata rufaa pamoja na utaratibu wake unavyokuwa
Sababu kuu ya kuomba kukata rufaa ni kutokana na mfumo wa...
Mimi kama diaspora nimeona fursa kubwa sana kwa nchi yetu na bank kuu yetu.
Kwasasa hakuna utaratibu wowote wa kumwezesha;
1. Diaspora kurudi nyumbani miaka ya baadae kwa kuwekeza nyumbani.
2. Utaratibu wa serikali kupata pesa za uhakika kutoka kwa diaspora.
Sasa nini kifanyike;
1...
HABARI WAPENDWA: NAOMBA USHAURI JUU YA SUALA LIFUATALO:
Taaluma yangu imeniwezesha kukutana na wanafunzi wa ngazi mbalimbali wenye ndoto na nafasi za kusoma/kuendelea na elimu ila kutokana na changamoto za kifamilia na kipato cha wazazi wanalazimika kutafuta misaada.
Binafsi nimefanikiwa...
Ukipata bahati ya nafasi ya kufanya kazi au biashara katika umri mdogo (kuaznia 18 hadi 27)usidharau kazania sana kujua io kazi zaidi katika umri huo.
Kuna utofauti wa mtu aliyeanza kazi kwenye age io na yule aliyeanza above io age. ndo mana baadhi ya wenye mali huanza kuwalithisha mipango na...
Habari! Wakuu,
Ipo hivi, imetimia miaka 8 tangu ndugu yangu aolewe kama mnavyojua ndoa ni baraka lakini hii mmmh hapana...
Mwaka flani hio familia ilikuja nyumbani kuomba kijana wao amuoe ndugu yangu, hakuepo mama wala baba wa huyo kijana sababu wamefariki. Kipindi hicho ndugu yangu alikua...
Naombeni mnaojua mnipe ushauri kwa sisi masikini kipi bora nikafungue akaunti saccoss au niende benki?
Faida ni zipi kwa kila kimojawapo na hasara ni zipi!
Njooni mnielimishe!!
Nimepata mahal;i pa kununua mbwa wazuri wa kisasa. Wote ni wazuri na ninaomba ushauri nichukue breed ipi.
Kuna pure German shepherd, pure Belgian Malinois, na cross ya Pure German shepherd (jike) na Pure Belgian Malinios (dume)!!
Ukiwatazama kwa macho ni vigumu kutofautisha yupi ni yupi! Ila...
Kumekuwa na mazoea ya kutumia majina ya mamlaka muhimu kama TMA, GST, polisi nk katika mazoezi ya utayari kama ndiyo vyanzo vya taarifa za kufanya mazoezi hayo. Kwa ujumla habari hizi huleta taharuki kwa wananchi na kuwasababisha waache kufanya shughuli zao.
Athari ya habari hizi kwa wananchi...
Bukoba mugumile watani zangu.
Kwa hayo tunayoyasikia na kuyaona huko kwenu watani zangu ni yaleyale ya miaka ya nyuma sjui nani kawaloga ninyi watani zangu,watalaamu wa mambo ya kiroho wanaita laana/tatizo la kujirudia rudia.
Mwendazake aliwaasa watani zangu kuwa muache kukwamishaana ninyi kwa...
Uchawi na akili ni vitu viwili tofauti. Uchawi ni imani katika nguvu za kiroho au za kichawi, wakati akili ni uwezo wa kufikiri na kuelewa.
Uchawi
Ni imani katika nguvu za kiroho au za kichawi.
Huweza kutumika kwa madhumuni mbalimbali, kama vile kusababisha madhara, kushawishi matukio, au...
Ukihitaji salamu rudi kijijini kwenu, kwangu utaambulia chuya ukalishie kuku!
Wakuu nimekuja kwenu nahitaji ushauri wa kitaalamu na kitaaluma kutoka kwenu,natambua ya ksmaba humu jukwaani wapo wadau ambao sekta ya ujenzi wamesomea na wanaifahamu kinagaubaga.
Mimi kama mbangaizaji na mganganjaa...
Wakuu poleni na majukumu.
Nimeweka akiba yangu ambayo baada ya miezi miwili inaweza fikia milioni 20. Nifanye biashara gani kwa kipato hicho
Ushauri wenu ni muhimu sana
Katika mahojiano yaliyofanyika kwenye Channel ya YouTube ya Simulizi Na Sauti (SNS) kati ya Sky Walker, DJ Smaa na Yericko Nyerere. Nguli wa uchambuzi wa mambo ya Siasa na uchumi wa kivita na ujasusi, Yericko Nyerere amesikika akiishauri Serikali ya Tanzania na Idara ya Usalama wa Taifa (TISS)...
Itifaki ikiwa imezingatiwa, rejea kichwa cha habari.
Ndg zangu ktk jitihada za kupambana huku shambani nakwamishwa na ukosefu wa maji.
Nimejaribu kueasiliana na wachimbaji wa visima virefu, bei zao zinaweza kuzidi urefu wa mlima Kilimanjaro.
Katika kuzuru huku na huku nikakuta sana za kazi...
Nchi nyingine vitengo vya intelligence vinajaza watu wenye akili kubwa, na maono mapana. Idara yetu inajaza makada tu wa CCM ambao hawana tija wala uwezo wa kuishauri serikali ifanye nini ili ijikwamue na huu umasikini unaolimaliza taifa, ndio maana utaona machawa wa mama wanazunguka ndani na...
Kupitia kipindi cha ITV ya saa 3.10 jana nilishuhudia promotion ya Morocco Square. Kwanzza hongereni sana kwa Mradi ulivyo mzuri na karibu una kila kitu anachohitaji mwanadamu kwa maisha yake ya kila siku.
Pamoja na uzuri wa mradi huo kuna kitu mnatakiwa mnapobuni miradi kama ulivyo wa...
Nina mpenzi wangu ambaye natarajia kabisa kufunga naye ndoa, lakini kuna mambo ambayo naona yanakwenda kinyume na matarajio yangu. Kibinafsi, sipendi kufanya sherehe za harusi zenye gharama kubwa ambazo mara nyingine huwa ni israfu. Hata hivyo, mpenzi wangu ni mtu ambaye anathamini na kupenda...
Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Pindi Chana amesema Serikali inaendelea kufanyia kazi maoni ya baadhi ya Wadau kuhusu kuondoa adhabu ya kifo.
Akizungumza Oktoba 10, 2023 kwenye Kongamano la kujali adhabu ya kifo lililoandaliwa na Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kwa kushirikiana na wadau...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.