Ushauri kwa Yanga: Siku ya Simba tuvae kitambaa cha captain begani, kutambua mchango wa Mwamunyeto

TEMBO WANGU

JF-Expert Member
Feb 21, 2014
929
1,277
Wakuu heshima kwenu, naomba kutoa wazo kwa uongozi wa YANGA, kuwa Jumapili mechi ya Simba na YANGA wanayanga wote wavae KITAMBAA begani wakiaanisha KUTAMBUA MCHANGO WA kapten wetu Bakari Nondo Mwamunyeto. Yaani iwe Mwamunyeto day walio karibu na uongozi tufikishieni hilo
 
Wakuu heshima kwenu, naomba kutoa wazo kwa uongozi wa YANGA,kuwa jumapili mechi ya Simba na YANGA wanayanga wote wavae KITAMBAA begani wakiaanisha KUTAMBUA MCHANGO WA kapten wetu bakar nondo mwamunyeto. yaani iwe mwamunyeto day.waliokaribu na uongozi tufikishieni hilo
Ingekuwa sawa kama yanga ndo angekuwa mwenyeji ila yanga ni mgeni kwenye hiyo mechi
 
Wakuu heshima kwenu, naomba kutoa wazo kwa uongozi wa YANGA,kuwa jumapili mechi ya Simba na YANGA wanayanga wote wavae KITAMBAA begani wakiaanisha KUTAMBUA MCHANGO WA kapten wetu bakar nondo mwamunyeto. yaani iwe mwamunyeto day.waliokaribu na uongozi tufikishieni hilo
Mimi napendekeza muingie uwanjani huku mnakata viuno mwanzo mwisho na kuvaa kata k kumuenzi Mama J itapendeza sana
 
Huyu hata kuanza hataanza... Mark my words... Ukuta utakua Yao,job,bacca na lomalisa

Umeongea kiufundi sana Mkuu.

Binafsi kitaalam naona aanze na Back 3 kuiweka yanga salama
Job, mwamnyeto na Baka.

Inonga hana mayele wa kumkaba hivyo atapandisha sana timu na kufunga pia.....

Madhara.
Akianza na Hao watatu inabidi pakome au yao mmoja awe benchi
Kitu ambacho ni kigumu pia.
 
Mechi ya Derby iliyopita, Inonga hakuwa na Mayele wa kumkaba vipi alipandisha sana timu na kufunga?

Yanga kipindi cha Nabi, Mayele ndiye aliyekuwa tegemeo wa kufunga ila kwasasa
Aziz Ki anaweza kufunga
Yao anaweza kufunga
Pacome anaweza kufunga
Maxi anaweza kufunga
 
We hujui Mpira
 
16 April Inonga alifunga goli la kichwa Dakika ya pili 2 tu ya mchezo.
Inonga 1.
Kibu 2.

Mchezo wa ngao ya hisani Tanga Inonga hakucheza alikuwa ameumia mkono. Aliumia mechi ya nusu fainali na singida.
Walisukumana na kagere.

Hivyo akakosekana mchezo wa fainali nafasi alicheza kenedy Juma.

Bahati mbaya sana mchezo ujao kocha wa yanga anaweza akaanza na mabeki 3.

Hivyo kuna uwezekano kati ya Yao au zoa mmoja asiwepo
 
Back
Top Bottom