ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ephen_

    JamiiForums Tanzania Changamoto za Ndoa: Kufungua Mlango Mpya au Kuendelea na Safari ya Majaribu?

    Habari! Wakuu, Ipo hivi, imetimia miaka 8 tangu ndugu yangu aolewe kama mnavyojua ndoa ni baraka lakini hii mmmh hapana... Mwaka flani hio familia ilikuja nyumbani kuomba kijana wao amuoe ndugu yangu, hakuepo mama wala baba wa huyo kijana sababu wamefariki. Kipindi hicho ndugu yangu alikua...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Ushauri SACCOSS na benki kipi bora?

    Naombeni mnaojua mnipe ushauri kwa sisi masikini kipi bora nikafungue akaunti saccoss au niende benki? Faida ni zipi kwa kila kimojawapo na hasara ni zipi! Njooni mnielimishe!!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu mbwa anayefaa kwa ulinzi

    Nimepata mahal;i pa kununua mbwa wazuri wa kisasa. Wote ni wazuri na ninaomba ushauri nichukue breed ipi. Kuna pure German shepherd, pure Belgian Malinois, na cross ya Pure German shepherd (jike) na Pure Belgian Malinios (dume)!! Ukiwatazama kwa macho ni vigumu kutofautisha yupi ni yupi! Ila...
  4. Ileje

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa vikosi vya uokoaji: Majina ya mamlaka muhimu kama TMA yasitumike

    Kumekuwa na mazoea ya kutumia majina ya mamlaka muhimu kama TMA, GST, polisi nk katika mazoezi ya utayari kama ndiyo vyanzo vya taarifa za kufanya mazoezi hayo. Kwa ujumla habari hizi huleta taharuki kwa wananchi na kuwasababisha waache kufanya shughuli zao. Athari ya habari hizi kwa wananchi...
  5. MEXICANA

    JamiiForums Tanzania Bukoba msipofuata ushauri wa Hayati Magufuli bado mtakuwa na safari ndefu sana ya kuwa na maendeleo kwenye hako kamji kenu

    Bukoba mugumile watani zangu. Kwa hayo tunayoyasikia na kuyaona huko kwenu watani zangu ni yaleyale ya miaka ya nyuma sjui nani kawaloga ninyi watani zangu,watalaamu wa mambo ya kiroho wanaita laana/tatizo la kujirudia rudia. Mwendazake aliwaasa watani zangu kuwa muache kukwamishaana ninyi kwa...
  6. Blender

    JamiiForums Tanzania Uchawi vs akili

    Uchawi na akili ni vitu viwili tofauti. Uchawi ni imani katika nguvu za kiroho au za kichawi, wakati akili ni uwezo wa kufikiri na kuelewa. Uchawi Ni imani katika nguvu za kiroho au za kichawi. Huweza kutumika kwa madhumuni mbalimbali, kama vile kusababisha madhara, kushawishi matukio, au...
  7. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Nataka kuwekeza kwenye Ujenzi, naomba ushauri

    Ukihitaji salamu rudi kijijini kwenu, kwangu utaambulia chuya ukalishie kuku! Wakuu nimekuja kwenu nahitaji ushauri wa kitaalamu na kitaaluma kutoka kwenu,natambua ya ksmaba humu jukwaani wapo wadau ambao sekta ya ujenzi wamesomea na wanaifahamu kinagaubaga. Mimi kama mbangaizaji na mganganjaa...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Nifanye biashara gani. Ushauri wenu unahitajika

    Wakuu poleni na majukumu. Nimeweka akiba yangu ambayo baada ya miezi miwili inaweza fikia milioni 20. Nifanye biashara gani kwa kipato hicho Ushauri wenu ni muhimu sana
  9. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere atoa ushauri kwa serikali na TISS zianze kufanya biashara ya taarifa za kijasusi

    Katika mahojiano yaliyofanyika kwenye Channel ya YouTube ya Simulizi Na Sauti (SNS) kati ya Sky Walker, DJ Smaa na Yericko Nyerere. Nguli wa uchambuzi wa mambo ya Siasa na uchumi wa kivita na ujasusi, Yericko Nyerere amesikika akiishauri Serikali ya Tanzania na Idara ya Usalama wa Taifa (TISS)...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya ufanisi wa drilling rig zinazouzwa Alibaba

    Itifaki ikiwa imezingatiwa, rejea kichwa cha habari. Ndg zangu ktk jitihada za kupambana huku shambani nakwamishwa na ukosefu wa maji. Nimejaribu kueasiliana na wachimbaji wa visima virefu, bei zao zinaweza kuzidi urefu wa mlima Kilimanjaro. Katika kuzuru huku na huku nikakuta sana za kazi...
  11. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Utajiri uko hapa. Serikali chukueni ushauri wangu mzuri na muufanyie kazi, mtanishukuru baadaye

    Nchi nyingine vitengo vya intelligence vinajaza watu wenye akili kubwa, na maono mapana. Idara yetu inajaza makada tu wa CCM ambao hawana tija wala uwezo wa kuishauri serikali ifanye nini ili ijikwamue na huu umasikini unaolimaliza taifa, ndio maana utaona machawa wa mama wanazunguka ndani na...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa uongozi wa Morocco Square

    Kupitia kipindi cha ITV ya saa 3.10 jana nilishuhudia promotion ya Morocco Square. Kwanzza hongereni sana kwa Mradi ulivyo mzuri na karibu una kila kitu anachohitaji mwanadamu kwa maisha yake ya kila siku. Pamoja na uzuri wa mradi huo kuna kitu mnatakiwa mnapobuni miradi kama ulivyo wa...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Maandalizi ya shughuli au sherehe ya Engagement: Nahitaji Ushauri Wenu

    Nina mpenzi wangu ambaye natarajia kabisa kufunga naye ndoa, lakini kuna mambo ambayo naona yanakwenda kinyume na matarajio yangu. Kibinafsi, sipendi kufanya sherehe za harusi zenye gharama kubwa ambazo mara nyingine huwa ni israfu. Hata hivyo, mpenzi wangu ni mtu ambaye anathamini na kupenda...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Pindi Chana: Tunafanyia kazi ushauri wa Wadau kuhusu mabadiliko ya Adhabu ya Kifo

    Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Pindi Chana amesema Serikali inaendelea kufanyia kazi maoni ya baadhi ya Wadau kuhusu kuondoa adhabu ya kifo. Akizungumza Oktoba 10, 2023 kwenye Kongamano la kujali adhabu ya kifo lililoandaliwa na Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kwa kushirikiana na wadau...
  15. CAPO DELGADO

    JamiiForums Tanzania Nimetabasamu kuona Manura na Inonga wamerejea ila ushauri wangu VIONGOZI na MAKOCHA msiupuuze.....

    WAKATI mashabiki wa Simba baadhi wakiwa hawana imani na kipa Ayoub Lakred kutokana na kuruhusu mabao katika mechi mbili za kimataifa, tabasamu limeanza kuonekana baada ya Aishi Manula kuanza mazoezi ya uwanjani. Manula ambaye ni kipa namba moja wa Simba, amerejea kwenye uwanja cha mazoezi mara...
  16. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Hamis Mwinjuma (Mwana FA) hapo zamani aliwahi kutoa ushauri wake kuhusu hali ya Umeme

    Hizi ni tweet za Naibu Waziri wa Michezo, Hamis Mwinjuma enzi hizo kabla ya kuingia kwenye siasa. Aliwahi kutoa mawazo yake kuhusu umeme.
  17. Logikos

    JamiiForums Tanzania SAUTI ya Watanzania na Maandamano ya Bila Kikomo - There is more Than one Way to Skin a Cat....

    Ushauri tu; Gandhi alivaa shuka sio sababu alikuwa hana pesa za Mavazi mengine na ingawa ilimfanya a-connect na masses (kuwa mmoja wao) bali huenda hii ilikuwa ishara ya Mgomo.... (Mgomo dhidi ya Viwanda vya Nguo vya Mkoloni); na impact yake ilikuwa ni kubwa na mpaka leo lile shuka limekuwa kama...
  18. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni ushauri kuna kitu sijaelewa

    Huwa inamaanisha nini ukiona mpenzi wako kapost picha yako watsapp status halafu caption kaandika UNCLE?
  19. Moronight walker

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Nini cha kufanya kama mwenza wako alikuficha kuwa ana mtoto, Ukaja kujua baada ya miaka zaidi ya 10 baadaye?

    Habari wana JF. Kuna Ndoa imevunjika hapa ndoa ya miaka 15. Mke alizaa kabla ya ndoa, sasa mama huyu alimficha mtoto, Huyu mtoto alikuwa anaishi na Baba yake. Mume alijua kwa mawasiliano ya simu Mama alipokuwa anaongea na mwanae. Na mtoto ana umri wa miaka 20. Mume wa ndoa kazaa naye...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri kuhusu mbegu bora ya mahindi

    NI mbegu ipi ya mahindi nikiitumia naweza kupata matunda Bora? Ushauri wenu ni muhimu Sana, #Elimu ya kilimo
Back
Top Bottom