Ushauri wa bure kwa utumishi na TAESA

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
2,553
2,992
Natumai mpo vyema leo katika namna kujenga na kutoa ushauri ningependa kuona UTUMISHI-TAESA wakijoin force kupunguza mlundikano wa interview na kupunguza cost kwa hizi taasisi mfano mdogo uandaaji wa mitihani, safari, pesa za chai n,k lakini pia itasaidia utumish kupeleka watu sahihi kwa kuwa tayari kazi data za utendaji utakuwa upo mikononi mwa TAESA ni maoni yangu tu.
 
TAESA ni taasisi iliyo sina ya wazari mkuu inayo husu vijana, kazi na watu wenye ulemavu, na waziri mwenye dhamana kwenye taasisi iyo ni ndalichako.

UTUMISHI hii nayo inahusu kutangazo ajira za serikalini au sekta binafsi, na kuwawezesha watu wenye sifa stahiki kushindania fursa hizo

Hivyo basi taesa na utumishi haviwezi kuungana kwa sababu taesa inahusisha vitu vingi ukiacha kazi, hivyo wanachofanya ni kama tu msaada kwa vijana kuwatafutia internship ndani na nje ya nchi

Ikitokea wakiungani basi utendaji wao wa kazi utapungua, ivyo itapelekea vijana kuumia zaidi.

HAYO NI MAONI TU.
 
TAESA ni taasisi iliyo sina ya wazari mkuu inayo husu vijana, kazi na watu wenye ulemavu, na waziri mwenye dhamana kwenye taasisi iyo ni ndalichako
true, lakini nilimaanisha uwepo wa muunganiko katika terms ya ajira tu,sio wholly institution mfano ajira za mkataba wanaweza kufanya joining force au hata permanent ili kuleta tija kwa taifa,
 
Itakuwa ni jambo zuri sana kwa upande wa kuajir watu wazoefu kupitia TAESA pia itajenga uaminifu mkubwa.
 
Natumai mpo vyema leo katika namna kujenga na kutoa ushauri ningependa kuona UTUMISHI-TAESA wakijoin force kupunguza mlundikano wa interview na kupunguza cost kwa hizi taasisi mfano mdogo uandaaji wa mitihani,safari,pesa za chai n,k lakini pia itasaidia utumish kupeleka watu sahihi kwa kuwa tayar kazi data za utendaji utakuwa upo mikononi mwa TAESA.ni maoni yangu tu.
Vitengo vya watu kula.
 
true,lakini nilimaanisha uwepo wa muunganiko katika terms ya ajira tu,sio wholly institution mfano ajira za mkataba wanaweza kufanya joining force au hata permanent ili kuleta tija kwa taifa,
Bado ndugu, hauna point ya kushawishi unacho kitaka. Mfano ukiona kazi zimetangazwa sehemu si lazima kutakuwa na interview kwa nini wafanyishe interview na wasichukue kwenye data base ya utumishi watu wenye sifa kama wanaye mtaka.

So interview hazikwepeki, lengo la nchi ni kuondoa au kupunguza hili janga la ukosefu la ajira kwa wananchi wake.

Ni ningependa ma ajenti wa ajira kama taesa na utumishi wazidi kuwa wengi hili kuongeza wigo wa kutafuta kazi kwa vijana.
 
Bado ndugu, hauna point ya kushawishi unacho kitaka. Mfano ukiona kazi zimetangazwa sehemu si lazima kutakuwa na interview kwa nini wafanyishe interview na wasichukue kwenye data base ya utumishi watu wenye sifa kama wanaye mtaka...
kaka,kwani taesa hawafanyi usaili!jambo ni kwamba mtihani ni jambo lengine na uzoefu ni jambo lengine vijana weng wa taesa wanasifa zaid kwenye ajira,uzoefu na ujuzi ila utumishi ni usaili tu,pia sisemi kuwa utumishi wabase kwenye taesa no!ila wajaribu kuangalia upand huu itawasaidia kama idara ya serikali.
 
kaka,kwani taesa hawafanyi usaili!jambo ni kwamba mtihani ni jambo lengine na uzoefu ni jambo lengine vijana weng wa taesa wanasifa zaid kwenye ajira,uzoefu na ujuzi ila utumishi ni usaili tu,pia sisemi kuwa utumishi wabase kwenye taesa no!ila wajaribu kuangalia upand huu itawasaidia kama idara ya serikali.
Oky sawa kaka.
 
Back
Top Bottom