Ushauri wa bure kwa benchi la ufundi Simba viongozi mkiipata mpelekeeni Robertinho kuepuka aibu ya goli 5

CAPO DELGADO

JF-Expert Member
Aug 31, 2020
7,621
16,700
Ili kuepuka aibu ya kufungwa goli nyingi katika mchezo wa marudiano AFL kesho (pamoja na ahadi ya bilioni moja kutoka kwa Mo endapo akishinda mchezo wa kesho) kiufundi naona mambo yafuatayo yanapaswa kufanyiwa kazi.

Simba wanapaswa wajiuekuwa wanatimu mbovu. Hawana Golikipa hata mmoja ukitoa Manula. Cha kufanya Ili kupunguza aibu ni kwenda na mifumo mitatu tu ifuatavyo;

  • 3: 5:1: 1
  • 4: 3 :3
  • 5: 3: 2
1. Wampange Aishi Manula au Ayoub Mdaka Mapanzi.

2. Shomary Kapombe.

3. Mohamed Hussein.

4. Che amalone Fondoh.

5. Enock Inonga.

6. Muzamiru Yassin.

7 Kibu Denis.

8. Sadio Kanute Putin

9. Jean Baleke.

10. Fabrice Ngoma

11. Clotus Chama.

Nina uhakika Simba wakianza hivi ugenini kwa Al Ahly watapunguza magoli mengi mno.

Ayoub au Manula.

Shomary, Inonga na chemalone Shabalala.

Kiungo;

Kanute, Ngoma, Mzamiru, Kibu.

Ushambuliaji;

Chama na Baleke

...................................................................................

Wakikwama hapo wanaweza wakaenda kama ifuatavyo;

3 : 5 : 2

Ayoub mdaka panzi

Mabeki 3;

Kenedy Inonga, Chemalone,

Kiungo;

Kapombe, Mzamiru , Ngoma, kanute na shabalala.

Ushambuliaji;

Kibu na Baleke

Simba akienda na hiyo mifumo ninauhakika atapata sare, au kupunguza magoli ya kufungwa.
 
Wapi Fabrice amewekwa namba mbili????

Hii ni kwa Wataalam wa mpira tu Coachers nk

Labda Ungejaribu Kuuliza kiufundi umeandikaje ningekufafanulia.

Mimi ni Expert
Angalia Na.8 & 10 its the same Player.
Nyie Yanga jadilini mechi ya Azam, hizi habari za kujifanya mnaijadili sana Simba mtapotea na kufa kwa Vihoro. Ya Mnyama tuachie wenyewe fanya yako kwanza umalizane na Dabbo na utafute mbinu za kumfunga IHEFU ndio utushauri sie.
 
Ili kuepuka aibu ya kufungwa goli nyingi katika mchezo wa marudiano AFL kesho (pamoja na ahadi ya bilioni moja kutoka kwa Mo endapo akishindwa mchezo wa kesho) kiufundi naona mambo yafuatayo yanapaswa kufanyiwa kazi.

Simba wanapaswa wajiuekuwa wanatimu mbovu. Hawana Golikipa hata mmoja ukitoa Manula. Cha kufanya Ili kupunguza aibu ni kwenda na mifumo mitatu tu ifuatavyo;

  • 3: 5:1: 1
  • 4: 3 :3
  • 5: 3: 2
1. Wampange Aishi Manula au Ayoub Mdaka Mapanzi.

2. Shomary Kapombe.

3. Mohamed Hussein.

4. Che amalone Fondoh.

5. Enock Inonga.

6. Muzamiru Yassin.

7 Kibu Denis.

8. Sadio Kanute Putin

9. Jean Baleke.

10. Fabrice Ngoma

11. Clotus Chama.

Nina uhakika Simba wakianza hivi ugenini kwa Al Ahly watapunguza magoli mengi mno.

Ayoub au Manula.

Shomary, Inonga na chemalone Shabalala.

Kiungo;

Kanute, Ngoma, Mzamiru, Kibu.

Ushambuliaji;

Chama na Baleke

...................................................................................

Wakikwama hapo wanaweza wakaenda kama ifuatavyo;

3 : 5 : 2

Ayoub mdaka panzi

Mabeki 3;

Kenedy Inonga, Chemalone,

Kiungo;

Kapombe, Mzamiru , Ngoma, kanute na shabalala.

Ushambuliaji;

Kibu na Baleke

Simba akienda na hiyo mifumo ninauhakika atapata sare, au kupunguza magoli ya kufungwa.
TULIA HIVYO HIVYO KAMA UNANYOLEWA ILI DAWA IKUINGIE VIZURI.
 
TULIA HIVYO HIVYO KAMA UNANYOLEWA ILI DAWA IKUINGIE VIZURI.

Hapana Mkuu Dawa Gani iniingie???

NImewasilisha kwa Uongozi na Coach namna ya Kuweza kuwakabili Alahly kesho (KUEPUKA Yale mambo ya Patric Ausems (uchebe Kufungwa Goli Tano Tano)

Nimetoa mbinu MBADALA za kuweza kukabiliana na Mpinzani na kupunguza idadi ya Magoli.

Karibu kwa Mjadala WA kiufundi.
 
Ushauri wako hauna maana tuache hata tukifungwa kumi Simba ni ya kwetu na tunaip enda...kawashauri utopolo huko.Lakini kaa ukijua hiyo unayo iita timu mbovu ndo ime droo na hao waarabu.Pia mpira hauchezwi mdomoni ni uwanjani jiandae kuukimbia uzi wako huu
 
Back
Top Bottom