ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Ushauri: Jinsi ya Kufika Sikonge (Tabora) From Dar

    Wadau naomba ushauri njia rahisi ya kusafiri kwa basi kutoka Dar mpaka Sikonge Tabora na mabasi mazuri/kampuni ya kupanda. Shukrani
  2. MK254

    Iran yawageuka HAMAS, wapambane na hali yao maana walilianzisha bila kuiomba ushauri kwanza

    Kiaongozi wa Iran Ayatollah awasuta wanaoshangaa kwanini Iran imeishindwa kufanya chochote kwenye huu ugomvi, asema jinsi vile vile haikuombwa ushauri kabla kulianzisha basi wapambane tu huko na kwamba Iran haitoingilia....hii ni habari mbaya sana kwa majihad ya humu JF maana wamekua wanasubiri...
  3. Analogia Malenga

    Ushauri wa Gerald Hando kuhusu tiktok ni mwiba kwa uhuru

    Asubuhi nilikuwa nasikiliza redio ambapo hawa ndugu zetu walikuwa wanajadili suala la dawa za kulevya ambapo waathirika na wanaotuhumiwa watapimwa. Katika kuelezea hilo mmoja wa watangazaji, Gerald Hando akasema jambo liende kwa wizara na TCRA. Jambo lake ni kuwa Tiktok inaharibu vijana na...
  4. KJ07

    Ushauri kwa vijana

    Nimeikuta mahala na nina inukuu kama ifuatavyo NAMNA WAZAZI WANAVYOONGEA NA MABINTI ZAO KATIKA UMRI TOFAUTI. Miaka 13: Usipende wavulana ni wabaya sana. Miaka 16. Sitaki kukuona na yule kijana. Miaka 23. Lini utatuletea mchumba wako. Miaka 26. Wenzako wanaolewa umebaki wewe. Miaka 30...
  5. Forrest Gump

    Niulize kuhusu biashara ya hardware, nitajibu kwa uwezo wangu

    Personally nimefaidika na madini mengi humu JF kwa ajili ya maswala mbali mbali, sio vibaya na mimi kushare info na wana jamii wafaidike pia. Nimekulia katika familia yenye b'ness ya hardware, then na mimi nikajikita katika b"ness hio hio. Nitashare kutokana na uzoefu, uwezo na kiwango cha...
  6. Webabu

    Hamas yarusha kombora zito mpaka Tel Aviv. Mtaa mzima kizaazaa

    Ikiwa ni zaidi ya mwezi sasa tangu vita vianze na huku jeshi la Israel likisema limeizingira Gaza yote kwa vifaru na kubomoa mahandaki yanayotumiwa na Hamas,ghafla leo kombora zito la masafa marefu limeonekana likipaa kutoka Gaza. Kwa mujibu muandishi wa Aljazeera aliyeko Palestina ya ukiongo...
  7. codes

    BMW5: Naombeni Ushauri

    Poleni na hongereni na majukumu ya kila siku. Naomba ushauri kwa wadau wenye experiences na ununuzi wa "Used Cars". Inawezekana kununua gari tajwa kutokea Hongkong/China?,Turkey....(if yes, kampuni ipi?). Ni Kampuni ipi ya uhakika kwa Japanese Used Cars naweza kuagiza gari tajwa?. Wenye...
  8. Jessy2

    Naombeni ushauri kuhusu kubadili dhehebu ili kufunga ndoa

    Habari zenu wapendwa. Mimi ni binti wa miaka 24. Niko kwenye mahusiano na mchumba wangu ni miaka 6 Sasa tunaenda na ninampenda Sana mwanaume wangu. Shida ya kuja hapa naombeni ushauri anataka kunioa ila changamoto inakuja upande wa dhehebu kwenye kubadili mimi napata ukakasi sana sijui...
  9. Candela

    Nipeni ushauri kuhusu huyu mwanamke maana sielewi

    Nanukuu kama ilivyosimuliwa na muhusika, " Niliingia katika mahusiano na binti mmoja alikuwa akiishi na wazazi wake. Tulikuwa vizuri mpaka ikafikia nikawa namhudumia kama mke vile, kuanzia kula yake, kuvaa na hata akiumwa nahusika na kila kitu. Ikafikia wakati akahama kwao, akaenda kupanga na...
  10. Black Butterfly

    Mdau anaomba ushauri: Nimetembea na Mfanyakazi wangu ana sifa zote za kuwa mke ila ameshazalishwa, nifanyeje?

    Huu ni ujumbe wa Mdau kutoka Instagram huko. "Nina miaka 25 nataman sana kuoa lakin naumiza kichwa sana kuangalia mwanamke wakunifaa kulingana na wanawake wa siku hizi. Sasa kuna Dada nafanya nae kazi mimi ni kama boss wake nimemuajiri ananiuzia Mitumba, yeye anamiaka 26 ana mtoto mmoja...
  11. sky soldier

    Mnaotumia windows 11, tupeni ushauri watumiaji wa windows 10, tuhamie huko au tubaki ?

    Ni mwaka wa sita huu natumia windows 10, najikuta kwenye mazingira ya kushawishika kuweka windows 11 maana ndio windows toleo jipya zaidi, ila nimeona kwanza nipate ushauri wenu mnaotumia ama mliowahi kutumia windows 11. Kuna mambo gani tunayakosa watumiaji wa windows 10 ? mipangilio...
  12. Kitchener

    Ushauri wa Askofu Gwajima kwa Taifa

  13. GoldDhahabu

    Ushauri kwa Mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile na Kikosi Kazi cha Injili

    Ninajua kuwa upo gerezani kwa sasa, lakini naamini hutaliruhusu gereza kuingia moyoni mwako. Ni kwa sababu hiyo basi, nimechukua hatua hii nikiamini kuwa hata kama hutakuwa na simu gerezani, wapendwa wako wataweza kukufukishia huu ujumbe kwa wakati sahihi. Awali ya yote, ninakupa pole kwa...
  14. Reachpoint

    Naomba ushauri Namna ya kuingia katika Taasisi za Kiserikali na Binafsi

    Habali nduguzo. Naombeni ushauri namna ya kuomba kibali cha kuonana na mkurugenzi au HR wa Taasisi tofauti tofauti. Nia na dhumuni, nina biashara yangu nataka ianzisha mda si mrefu ntakuwa nimesha sajiliwa kama kampuni na brela. Nahitaji kujua taratibu za kuomba kibali cha kuonana na...
  15. AfricaUnited

    Kwa mtaji wa mil 5-10 nifanye biashara gani mkoa wa TABORA

    Habari Za majukumu wanajamvu, Katika pitapita zangu, nimekuja tembea mkoa wa tabora, na nimeupenda, naweza weka kambi kwa mda . Naombeni ushauri wajuzi wa huu mkoa ,Biashara gani naweza fanya hapa mkoani kwa mtaji wa mil 5 hadi 10? Nitashukuru kwa ushauri. Asanteni
  16. K

    Ushauri: Kuwe na kikosi maalumu kuhakikisha mifumo ya Tehama haizimwi kifisadi!

    Kumekuwa na malalamiko mengi ya mifumo ya tehama serikalini kuzimwa makusudi ili wafanyakazi wezi na viongozi wezi waweze kuiba. Ushauri wangu ni kuweka kikosi maalumu kuhakikisha mifumo yote inafanya kazi na kama ikizimwa bila sababu au kutoa taarifa kuwekwe sheria maalumu ya uhujumu uchumi...
  17. K

    Ushauri: Somo la Historia ya Tanzania na Maadili liwekewe sura maalumu kwenye katiba ili kulipa msisitizo wa kisheria

    Wasalaam, Taifa likiwa katika mchakato wa kuandaa sera ya mtaala mpya ya Elimu na mtaala huo kupendekeza kuwepo kwa Somo la Historia ya Tanzania na Maadili ni jambo jema kwa kizazi Cha Sasa na kijacho kulilinda Taifa dhidi ya mmomonyoko wa maadili. Huu ni mtazamo wangu juu ya uwepo wa Somo...
  18. M

    Ushauri: CCM isimptishe Luhaga Mpina kugombea ubunge 2025 maana anawachachafya mpaka wanachachafika

    Jamaa yupo serious na maisha ya Watanzania. Sakata la mafuta alipambania maisha ya Watanzania. Sakata la Tril 280 ndio amekomaa kinyama. Huyu jamaa ni mwamba wa kuwachachafya ma-CCM.
  19. FRANCIS DA DON

    Ushauri: Alipe kiasi gani kwa huu mkangafu wa Murano?

    Gari ni Nissan Murano, ipo Garage, ina miss wanasema. Interior imechakaa sana. Engine V6. Alipe kiasi gani kuinunua?
  20. Uwesutanzania

    Ushauri wangu kwa Uongozi wa Klabu yangu pendwa ya Simba SC

    Awali ya yote niwape salamu mbiu Tabuleleeee (itikia Laaaaaa). Hii ni baada ya matokeo ya jana tarehe 5-11-2023, 1-5. Mashabiki wenzangu wa Simba naomba tuwe wavumilivu katika kipindi hiki kigumu cha maombolezo. Hili ni pito ambalo hata Yanga alipitia kwa miaka mi4 mfululizo. Turudi kwenye...
Back
Top Bottom