ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kifurukutu

    JamiiForums Tanzania Ushauri tafadhali: Nimchague yupo kati ya single mother na Bar maid?

    Wakuu Mimi ni kijana miaka 30 sasa, nimekuwa nikijihusisha na mahusiano ya kimapenzi na wanawake wa aina tofauti tofauti, lakini mwisho wa siku najiona kabisa nahitaji kuoa mapema hapo mwakani Changamoto yangu kubwa nashindwa kuamua kati ya kumuona baa maid ambaye hajawahi kuzaa I mean yupo...
  2. chibe dayo

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu ni muhimu kwangu tafadhali

    Mimi ni mgeni humu JF naomba ushauri kama kijana wa kiume mwenye kuifikiria kesho yake iliyo bora Nilimalza kidato cha sita mwaka 2021 sikufanikiwa kwenda chuo kwa sababu za kiuchumi hazikua nzuri hivyo niliomba kazi katika supermarket x na kupata. Sasa ni mwaka wa 2 nafanya kazi lakini suala...
  3. Dra Maxie

    JamiiForums Tanzania Kutengeneza nyumba kama hii inagharimu kiasi gani?

    Nauliza kutengeneza kma haka ni inagharimu kiasi gani?
  4. A

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Rafiki yangu ana tabia ya kutongoza kila binti ninayekuwa naye kwenye mahusiano

    Habari mwanaJF, Naomba ushauri rafiki yangu huwa na tabia ya kutongoza kila binti niliye naye kwenye mahusiano. Ni rafiki ninayefanya naye kazi kituo kimoja pia tulikutana kazi japo pia tunakaa jirani kwenye nyumba za kampuni. Kipindi cha nyuma nilikuwa na demu ambaye alimjua pia baadhi ya...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri Unahitajika, ununuzi wa kiwanja

    Wakuu habari Nataka kununua kiwanja Cha kijana ambaye amefariki, yaani hakuwa na mke, Wala mtoto. Wazazi wake wameshafariki. Ana ndugu zake wawili waliozaliwa pamoja Ni taratibu gani zitumike ili mtu anunue kiwanja
  6. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Ninaombeni ushauri, ni vigezo gani vilitumika mbeya kuwa jiji?

    Mji wa mbeya hauna miundombinu ya barabara hata kidogo! Ni vigezo gani vilitumika mbeya kuwa jiji?
  7. Fundi mahiri wa Ujenzi

    JamiiForums Tanzania MREJESHO: Niliomba ushauri juu ya sehemu sahihi ya kutoa fungu la kumi

    Baada ya kuomba ushauri hapa jukwaani, watu walichangia kwa hekima, kuna waliosisitiza nikatoe mahala ninapoabudu pia kuna walionishauri nikatoe kwa watu wenye uhitaji. Pia kunawaliosema nikatoe ninapoabudu halafu pia nikatoe kwa wahitaji. WOTE MLIOCHANGIA, NAWASHUKURU SANA. Mm na mke wangu...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ananiweka njia panda

    Aisee kama ndoa zenyewe ndizo hizi aisee sio poa kabisa nitajiengua kabisa muda si mrefu maana nahisi maluwe luwe kila siku na mbaya zaidi nimetoa mahari si haba lakini naona uzalendo unanishinda kabisa aisee Hivi inakuaje mke wako anamtumia picha zake mwanaume mwingine? Hata akiwa kaka yake...
  9. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Pandisha HISIA, Shusha MZIGO Tembea. Ni kama ushauri tu

    Ushauri wangu wa leo ni kwa wanamume tu. Ndugu yangu mwanamke wa kileo Ukifika au akija getoni kwako chakufanya ni KUPANDISHA HISIA, Shusha MZIGO tembea Hio ndio iwe kauli mbiu yako. Sio unaanza kuzuia hisia huku ukiisi kuna kunasehemu utamfikisha huko ni kujichelewesha tu, Mara sijui...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Manyara UPDATE: Waliofariki kwa Mafuriko Wilayani Hanang wafikia 80 na Majeruhii 133

    Serikali imetoa taarifa kuhusu maendeleo ya hali baada ya maafa ya maporomoko ya tope, mawe, magogo na mawe kutoka mlima Hanang Wilayani Hanang Mkoa wa Manyara, ambapo imesema hadi kufikiasaa 6:00 mchana leo December 08,2023 idadi ya vifo imefikia 80 (Watu wazima ni 48 wakiwemo Wanaume 19 na...
  11. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Waziri wa Mambo ya Ndani, IGP, Mameya, ma-OCD na ma-RPC: Kwa kuwa ukahaba sio kosa la jinai, basi misako ya makahaba ikomeshwe mara moja

    Hamad Masauni, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Tanzania I. Utangulizi Mheshimiwa Hamad Masauni, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Tanzania, Msako wa makahaba jijini Dar-es-Salamaa uliosababisha Mauaji ya Razak Azan, Mlinzi wa Baa ya Boardroom huko Sinza, Wilayani Kinondoni, sio sawa na tukio la mgonjwa...
  12. AlphaMale_

    JamiiForums Tanzania Kati ya Mombasa na Nairobi wapi panamfaa mtafutaji?

    Habari ndugu zang Mlio wahi kusafiri East Africa hasa Kenya Naomba kujua Mombasa na nairobi wapi pana mfaa mtafutaji?
  13. Yoda

    JamiiForums Tanzania Vita ya Chalamila dhidi ya madanguro Dar ina viashiria vya ubaguzi

    Ukahaba mkoani Dar es Salaam na nchi hii kwa ujumla unafanyika kila mahali, sio katika madanguro ya Mwananyamala tu. Ukahaba unafanyika katika Lodges, Hoteli kubwa, maofisini kwa watu, katika magari na hadi nyumbani kwa watu. Kwanini vita vya ukahaba hapa Dar vimelenga madanguro tu ya aina ya...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Naombeni mawazo na ushauri wenu juu ya huu mchoro wa nyumba kabla sijafanya uamuzi wa kuanza ujenzi

    Naombeni mawazo au ushauri kulingana na ramani ya nyumba kutoka kwa architect wangu, naamini kuna vitu vya kuzingatia mapema kulingana na huu mchoro kabla ya kufanya maamuzi ya kuanza ujenzi. Kitu gani kina upungufu na kinahitaji kuboreshwa kulingana na hii ramani hapa.
  15. BICHWA KOMWE -

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wote waache shule na vyuo: Ushauri wa tahadhari

    Hii ni tahadhari nawapa, kwa wazazi na wanafunzi kwa ujumla. Ewe mzazi, usipoteze mamilioni kusomesha mtoto wako kwa uchungu na kwa jasho halafu akarudi nyumbani kukaanga chips na kuendesha bajaji. Ewe mzazi, usiuze ng'ombe zako, usiuze ardhi yako, usifilisi biashara zako kwa ajili ya kupeleka...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Sawa Ali Kamwe katuambia tarehe 2/12/2023 tuvae Kanzu na Misuli ila tuuzingatie na huu Ushauri wa Alex Luambano

    "Niwaombe tu wana yanga sc kuwa pamoja na kuambiwa na msemaji wao Ali Kamwe kuwa jumamosi watakapocheza na al ahly wavalie kanzu na misuli ila mimi naongezea kwakuwa wanacheza na waarabu (Al Ahly sc) ambao hawana masihara basi wahakikishe wanavalia na bukta kwa ndani kwani mwarabu si mtu mzuri"...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania tususie biashara za Pauline Gekul mpaka aombe msamaha

    WanaJF, Nashauri kuanzia leo tususie biashara zote anazofanya huyu mbunge wa Babati kwa kitendo chake cha unyanyasaji. Naomba anayezifahamu aweke majina yake hapa. Tuanze na hiyo hoteli inaitwa Palii sijui nini. Hakuna kufanya biashara na muuaji au wanaomsapoti mpaka akili iwakae sawa...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu Ujenzi

    Wakuu habari za wakati huu. Niende moja kwa moja kwenye mada. Baada ya Kupambana na Mungu kuniwezesha kupata kiwanja. Natamani sana kwa mwaka ujao Mungu anisaidie nianze ujenzi. Ila ningependeza nianze na vyumba viwili kwanza (chumba na sebule) ili ni niweze kuhamia kwangu kwa kuwa bado...
  19. BARDIZBAH

    JamiiForums Tanzania Nataka kufuga mbuzi naomba ushauri wa yafuatayo

    Habari, Kwasasa nipo mkoa X nafanya kazi pahala kwenye kampuni fulani. NAfikiria mwez wa 12 nitoe kama 500k ninunue mbuzi kama 5 huko Tabora kwa bibi yangu. Namna ninayowaza ya kuwafuga ni kutafuta kijana wa hapo kijijini niwe namlipa 30k mwisho wa mwezi awe anawazingatia kwenye swala la...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya hili Jambo linanipa changamoto sana

    Kwema ndugu zangu!! Ninachangamoto imekuwa ikinipa mawazo Sana Kwani hii hali ilinitokea anzia mwaka jana ambapo nilikuwa mtu wa kuchoka mwili sana kwa kipindi kirefu kama miezi Kama 5 au 6 hivi, katika miezi Kama mi3 hivi nilipoanza kuchoka nilianza kuhisi labda Sina mazoezi mwilini ambapo...
Back
Top Bottom