Ushauri: Kijana kama huijui kamari usiisogelee kabisa, kamari ni hatari zaidi ya hatari ya kuchezea nyoka

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,705
36,154
Kamari
Kamari
Kamari
Kamari nakuita mara 3, kamari iwe ya kubashiri mpira, kucheza madubwi ya mchina, au online casino maadamu tu inaitwa kamari hiyo ni sumu kali.

Uswahili vijana wanazeeka hawaoi kisa kamari. Kamari inakupa tamaa ya mabilioni na magari ya kifahari halafu unaishia kuvisikia tu au kuviona kwenye matangazo yao pekee.

Kamari imevunja ndoa, baba anapata mshahara au posho pesa yote inaishia kwenye kamari. Kamari ni zaidi ya zinaa na ulevi wa pombe.

Nina shuhuda nyingi sana za watu tofauti walivyolizwa na kamari. Binafsi nimewahi kupigwa milioni 2 kwa siku 1.
Kamari kamari kamari.

Baba mmoja alikwenda na sh. Elfu 20 posta Las Vegas akashinda 100 milioni. Ndani ya miezi 2 kamari ikampiga sasa hana hata buku kapagawa sasa.

Dada mmoja na heshima zake kule Tandika akiliwa kwenye madubwi ya mchina unaweza kumzini kwa elfu 2 au elfu moja tu.

Jamaa mmoja kijijini kwetu zamani kidogo pesa ya kulipia sanda aliichezea kamari (karata ule mchezo unaitwa pande au chafu moja).

Walioua biashara zao kisa kamari nawafahamu, ni wengi.
 
Nina shuhuda nyingi sana za watu tofauti walivyolizwa na kamari.
Binafsi nimewahi kupigwa milioni 2 kwa siku 1.
Kamari kamari kamari.
Baba mmoja alikwenda na sh. Elfu 20 posta Las Vegas akashinda 100 milioni.
Ndani ya miezi 2 kamari ikampiga sasa hana hata buku kapagawa sasa.

KAMARI ndio chanzo cha misongo ya mawazo, sasa hivi kila ofisi moja ya Serikali au binafsi yenye watu Mia moja bhasi nusu yao wanabeti haijalishi kijana au Mzee.
 
Kamari
Kamari
Kamari
Kamari nakuita mara 3, kamari iwe ya kubashiri mpira, kucheza madubwi ya mchina, au online casino maadamu tu inaitwa kamari hiyo ni sumu kali.
Uswahili vijana wanazeeka hawaoi kisa kamari. Kamari inakupa tamaa ya mabilioni na magari ya kifahari halafu unaishia kuvisikia tu au kuviona kwenye matangazo yao pekee.
Kamari imevunja ndoa, baba anapata mshahara au posho pesa yote inaishia kwenye kamari. Kamari ni zaidi ya zinaa na ulevi wa pombe.
Nina shuhuda nyingi sana za watu tofauti walivyolizwa na kamari.
Binafsi nimewahi kupigwa milioni 2 kwa siku 1.
Kamari kamari kamari.
Baba mmoja alikwenda na sh. Elfu 20 posta Las Vegas akashinda 100 milioni.
Ndani ya miezi 2 kamari ikampiga sasa hana hata buku kapagawa sasa.
Dada mmoja na heshima zake kule Tandika akiliwa kwenye madubwi ya mchina unaweza kumzini kwa elfu 2 au elfu moja tu.
Jamaa mmoja kijijini kwetu zamani kidogo pesa ya kulipia sanda aliichezea kamari (karata ule mchezo unaitwa pande au chafu moja).
Walioua biashara zao kisa kamari nawafahamu, ni wengi.
Ule mchezo zamani ulikuwa WA matajiri lakini Kwa sasa umeshuka mpaka chini Kwa walala hoi, zamani ilikuwa inamilikiwa na wageni lakini sasa waswahili zamani kulikuwa na KAMPUNI mbili au tatu Kwa sasa ziko Zaidi ya miamija.
 
Kamari
Kamari
Kamari
Kamari nakuita mara 3, kamari iwe ya kubashiri mpira, kucheza madubwi ya mchina, au online casino maadamu tu inaitwa kamari hiyo ni sumu kali.

Uswahili vijana wanazeeka hawaoi kisa kamari. Kamari inakupa tamaa ya mabilioni na magari ya kifahari halafu unaishia kuvisikia tu au kuviona kwenye matangazo yao pekee.

Kamari imevunja ndoa, baba anapata mshahara au posho pesa yote inaishia kwenye kamari. Kamari ni zaidi ya zinaa na ulevi wa pombe.

Nina shuhuda nyingi sana za watu tofauti walivyolizwa na kamari. Binafsi nimewahi kupigwa milioni 2 kwa siku 1.
Kamari kamari kamari.

Baba mmoja alikwenda na sh. Elfu 20 posta Las Vegas akashinda 100 milioni. Ndani ya miezi 2 kamari ikampiga sasa hana hata buku kapagawa sasa.

Dada mmoja na heshima zake kule Tandika akiliwa kwenye madubwi ya mchina unaweza kumzini kwa elfu 2 au elfu moja tu.

Jamaa mmoja kijijini kwetu zamani kidogo pesa ya kulipia sanda aliichezea kamari (karata ule mchezo unaitwa pande au chafu moja).

Walioua biashara zao kisa kamari nawafahamu, ni wengi.
Mkuu Mshana Jr please tupiako ile linki ya uzi wako mzuri wa kdmari jinsi wanavyoset mashine.
 
Kamati mbaya sana na tuihepuke. Vijana nendeni mkabeti na achaneni kamari kabisaaaaaa!
 
Kamari, sheria mkononi, ulevi wa pombe & Ke, sigara nimeepuka kwa 90%.

Tuendelee kuomba ulinzi wa Mungu maana bado safari ni ndefu kimaisha.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Hivi na kwenye kubet mpira watu wanapigwa pesa nyingi?
Sina experience nao
Anayebeti anaona hapigwi pesa nyingi ila kiuhalisia anagaragazwa mno kwa kumpatia Kanjibai mahela.

Eg;

500 kwa vichwa M 2 = B 1.

1,000 kwa vichwa M 2 = B 2.

Mikeka mitatu > 3000 × M 2 = B 6.

Unadhani nani anayemtegemea mwenziye kifaida kati ya mwenye kampuni ya kubeti na anayebeti

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Kamari ni burudani ya matajiri.
Malofa wanacheza kwa tamaa ya kubahatisha angalau wabadirike kimaisha lakini wanajikuta wanaongeza umasikini wao.
Bahati mbaya kamari imekuwa biashara kubwa Duniani kote.
Matangazo mengi sasa ni michezo ya kamari.
Mpaka vituo vya redio vinaendesha kamari kwenye kila kipindi.
Ni msiba.
 
Kamari imekuwa njia ya wenye makampuni ya kubeti kutengeneza pesa rahisi rahisi, na serikali haijali kuweka na kusimamia kanuni zenye usawa na uwazi katika kuendesha hiyo biashara ya kamari jambo ambalo linalopelekea wanyonge kugemwa vijisenti vyao na kushindwa kuweka akiba.​
 
Kamari ukitaka unaipiga inategemea aina za machine zilizopo. Madaktari walioko theatre baadhi ya vifaa vyao vina unlock zile mashine hasa za kichina yani itashusha hela zote.
 
Back
Top Bottom