Ushauri tafadhali: Nimchague yupo kati ya single mother na Bar maid?

Kifurukutu

JF-Expert Member
Aug 29, 2013
4,502
6,403
Wakuu

Mimi ni kijana miaka 30 sasa, nimekuwa nikijihusisha na mahusiano ya kimapenzi na wanawake wa aina tofauti tofauti, lakini mwisho wa siku najiona kabisa nahitaji kuoa mapema hapo mwakani

Changamoto yangu kubwa nashindwa kuamua kati ya kumuona baa maid ambaye hajawahi kuzaa I mean yupo single na ana kila sifa za kuwa mke tatizo kazi yake.

Wa pili ni single mother mwenye watoto wawili kila mtoto na Baba yake lakini mbali na hii naye pia ana sifa zote ninazohitaji mke wangu awe nazo

Wanajamvi naombeni ushauri nifanye chaguo sahihi
 
Mkuu oa huyo bar maid, hiyo kazi yake isiwe kikwazo sana ikiwa anajitambua mana si utamwachisha au? Pia huyo bar maid hatakuwa na jipya la kupapalikia na pia moyo wake uko na amani sana mana ameshazoea fujo, matusi na kejeli za walevi hivyo atakuwa na busara sana.

Kumbuka mwanamke humheshimu na kutokumsahau mwanaume alie fanya aitwe mama shauri yako.
 
Asante kwa Chai Mkuu.

Siku nyengine usipunje kuweka viungo, hakikisha Tangawizi inakolea sana.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue

JamiiForums2144198311.gif
 
Mkuu oa huyo bar maid, hiyo kazi yake isiwe kikwazo sana ikiwa anajitambua mana si utamwachisha au? Pia huyo bar maid hatakuwa na jipya la kupapalikia na pia moyo wake uko na amani sana mana ameshazoea fujo, matusi na kejeli za walevi hivyo atakuwa na busara sana.
Kumbuka mwanamke humheshimu na kutokumsahau mwanaume alie fanya aitwe mama shauri yako.
Huu ushaur ni nyoko yalishanikuta sijui utaniambia nini kuhusu hawa malaya
 
Wakuu

Mimi ni kijana miaka 30 sasa, nimekuwa nikijihusisha na mahusiano ya kimapenzi na wanawake wa aina tofauti tofauti, lakini mwisho wa siku najiona kabisa nahitaji kuoa mapema hapo mwakani

Changamoto yangu kubwa nashindwa kuamua kati ya kumuona baa maid ambaye hajawahi kuzaa I mean yupo single na ana kila sifa za kuwa mke tatizo kazi yake.

Wa pili ni single mother mwenye watoto wawili kila mtoto na Baba yake lakini mbali na hii naye pia ana sifa zote ninazohitaji mke wangu awe nazo

Wanajamvi naombeni ushauri nifanye chaguo sahihi
Kha!
Bro hili gumu amua mwenyewe usije ukaja sema nilikushauri...
 
Wakuu

Mimi ni kijana miaka 30 sasa, nimekuwa nikijihusisha na mahusiano ya kimapenzi na wanawake wa aina tofauti tofauti, lakini mwisho wa siku najiona kabisa nahitaji kuoa mapema hapo mwakani

Changamoto yangu kubwa nashindwa kuamua kati ya kumuona baa maid ambaye hajawahi kuzaa I mean yupo single na ana kila sifa za kuwa mke tatizo kazi yake.

Wa pili ni single mother mwenye watoto wawili kila mtoto na Baba yake lakini mbali na hii naye pia ana sifa zote ninazohitaji mke wangu awe nazo

Wanajamvi naombeni ushauri nifanye chaguo sahihi
Achana na single mother

Achana na single mother

Achana na single mother

Kama hutosikia uradidi huu

Utakufa ukiwa na miaka 40 takriban
 
Back
Top Bottom