Mimi napenda kutoa mawazo baada ya utafiti na huu hapa ni utafiti wangu wa usafiri.
Kwanza nianze kueleza hali ya sasa ya pato la basi mmoja kama mfano kutoka Dodoma kwenda Dar. Hili halijazingatia gharama za gari kama mikopo, registration , bima..... na mengineyo
Haya ndiyo makadirio ya ukweli kwa sasa wamiliki badala ya kulipa 18% wanapewa makadirio ambayo ni 1% na pesa zinaishia kwa madalali na hongo mbali mbali

- Namba ya safari kwa mwaka 260 (Kwenda na kuridi tumehesabu kama safari moja)
- Mapato kwa mwaka: 40,000,000
- Hongo kwa Polisi 10,000 kwa siku: 520,000
- Makadirio ya kodi kwa mwaka mkadiriaji wa TRA anakula 100,000 kwenye hii: 500,000
- Matengenezo ya gari :6,000,000
- Dalali 5%: 2,000,000
- Pato baada ya matumizi: Tsh 30,980,000
- Kwanza punguzeni kodi za nauli kutoka 18% mpaka 10%
- Ticket zote ziwe za electronic hivyo kodi mtapata moja kwa moja.
- Madalali hawana sababu ya kuwepo
- Toeni mtindo wa makadirio maana kwa mfumo haina sababu
- Namba ya safari kwa mwaka 260 (Kwenda na kuridi tumehesabu kama safari moja)
- Mapato kwa mwaka: 40,000,000
- Makadirio ya kodi kwa mwaka: 4,000,000
- Matengenezo ya gari :6,000,000
- Pato baada ya matumizi: Tsh 30,000,000