Ushauri wenu ni muhimu kwangu tafadhali

chibe dayo

Member
Jun 25, 2022
9
14
Mimi ni mgeni humu JF naomba ushauri kama kijana wa kiume mwenye kuifikiria kesho yake iliyo bora

Nilimalza kidato cha sita mwaka 2021 sikufanikiwa kwenda chuo kwa sababu za kiuchumi hazikua nzuri hivyo niliomba kazi katika supermarket x na kupata.

Sasa ni mwaka wa 2 nafanya kazi lakini suala la mimi kurudi chuo lipo akilini na wakati huo pia natamani kufanya maisha nisiendelee kusoma.

Kwenu wanandugu msaada tafadhali
 
Mimi ni mgeni humu JF naomba ushauri kama kijana wa kiume mwenye kuifikiria kesho yake iliyo bora

Nilimalza kidato cha sita mwaka 2021 sikufanikiwa kwenda chuo kwa sababu za kiuchumi hazikua nzuri hivyo niliomba kazi katika supermarket x na kupata. Sasa ni mwaka wa 2 nafanya kazi lakini suala la mimi kurudi chuo lipo akilini na wakati huo pia natamani kufanya maisha nisiendelee kusoma.

Kwenu wanandugu msaada tafadhali
Komaa hapo, pata mtaji fanya biashara yako. Ukifika hapo, Rudi chuo
 
Hiyo six inatosha kwanza kwa sasa,Tafuta pesa uinvest.ukishapata uhakika wa fedha mambo mengine ndo yatafata,wenye bachela wamejaa kitaa wanagombania vibarua vya zege.
 
Noma sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom