Ushauri kuhusu uchaguzi wa godoro bora

clinician

JF-Expert Member
Mar 5, 2014
1,629
3,488
Wakubwa,nipo kwenye mchakato wa kununua godoro zuri. Baada ya kufuatilia kwa kina nikagundua godoro la Spring la Tanfoam ndio the best. Sasa baada ya kufika kwa wakala kununua,nimekuta kuna godoro lingine premium,halina spring lakini linanesa sana na bei yake ni juu kidogo kuliko la Spring. Nimegundua nahitaji kupata uzoefu kwa watumiaji kabla sijajunua. Karibuni kushare experience.
 
TUMIA TAMFOAM LENYE SPRING HUTOJUTIA MM SIWEZI KULALIA GODORO LINGINE HATA KAMA IKITOKEA NIKAHAMIA ULAYA NITAAGIZA TANFOAM WANILETEE NA NDEGE YA KODI ZETU AIR TANZANIA OVA
 
Asante mkuu na mimi ndio ilikuwa option yangu,lakini baada ya kufika kwa wakala nimekutana na hiyo option nyingine ambayo wanasema ndio inatumika mpaka kwenye hotels kubwa,bei yake ni kubwa kuliko la spring.Zote zina warranty ya maisha.
 
TUMIA TAMFOAM LENYE SPRING HUTOJUTIA MM SIWEZI KULALIA GODORO LINGINE HATA KAMA IKITOKEA NIKAHAMIA ULAYA NITAAGIZA TANFOAM WANILETEE NA NDEGE YA KODI ZETU AIR TANZANIA OVA
Mkuu hilo la spring experience yake ipoje ukilalia?
 
Wakubwa,nipo kwenye mchakato wa kununua godoro zuri. Baada ya kufuatilia kwa kina nikagundua godoro la Spring la Tanfoam ndio the best. Sasa baada ya kufika kwa wakala kununua,nimekuta kuna godoro lingine premium,halina spring lakini linanesa sana na bei yake ni juu kidogo kuliko la Spring. Nimegundua nahitaji kupata uzoefu kwa watumiaji kabla sijajunua. Karibuni kushare experience.
kweli una muda wa kuuchezea, na hilo ni la kuleta humu? Mbona mmekuwa mazuzu hivyo?
 
Inawezekana wewe ndio ukawa zuzu namba moja.
Kama nimepoteza muda kulileta humu hili,wewe unafanya nini kwenye huu uzi?
Kama kuna unalolijua mbona hujatoa jibu?
Soko la magodoro ni soko huru,bidhaa ni nyingi kulingana na uhitaji wa mteja,kupata uzoefu wa bidhaa husika kabla kufanya maamuzi sio uzuzu ni kutafuta maarifa. Uzuzu ni kuingia kwenye uzi wa mtu aliyeomba msaada bila kuwa na msaada wowote.
 
Mkuu chukua godoro Dodoma hutajuta, nafikiri ina lifetime guarantee maana mimi nimetumia zaidi ya miaka 15 na hayaonyeshi dalili ya kuchakaa.
 
Back
Top Bottom