ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Naombeni ushauri kuhusu kubadili dhehebu ili kufunga ndoa

    Habari zenu wapendwa. Mimi ni binti wa miaka 24. Niko kwenye mahusiano na mchumba wangu ni miaka 6 Sasa tunaenda na ninampenda Sana mwanaume wangu. Shida ya kuja hapa naombeni ushauri anataka kunioa ila changamoto inakuja upande wa dhehebu kwenye kubadili mimi napata ukakasi sana sijui...
  2. Nipeni ushauri kuhusu huyu mwanamke maana sielewi

    Nanukuu kama ilivyosimuliwa na muhusika, " Niliingia katika mahusiano na binti mmoja alikuwa akiishi na wazazi wake. Tulikuwa vizuri mpaka ikafikia nikawa namhudumia kama mke vile, kuanzia kula yake, kuvaa na hata akiumwa nahusika na kila kitu. Ikafikia wakati akahama kwao, akaenda kupanga na...
  3. Mdau anaomba ushauri: Nimetembea na Mfanyakazi wangu ana sifa zote za kuwa mke ila ameshazalishwa, nifanyeje?

    Huu ni ujumbe wa Mdau kutoka Instagram huko. "Nina miaka 25 nataman sana kuoa lakin naumiza kichwa sana kuangalia mwanamke wakunifaa kulingana na wanawake wa siku hizi. Sasa kuna Dada nafanya nae kazi mimi ni kama boss wake nimemuajiri ananiuzia Mitumba, yeye anamiaka 26 ana mtoto mmoja...
  4. Mnaotumia windows 11, tupeni ushauri watumiaji wa windows 10, tuhamie huko au tubaki ?

    Ni mwaka wa sita huu natumia windows 10, najikuta kwenye mazingira ya kushawishika kuweka windows 11 maana ndio windows toleo jipya zaidi, ila nimeona kwanza nipate ushauri wenu mnaotumia ama mliowahi kutumia windows 11. Kuna mambo gani tunayakosa watumiaji wa windows 10 ? mipangilio...
  5. Ushauri wa Askofu Gwajima kwa Taifa

  6. Ushauri kwa Mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile na Kikosi Kazi cha Injili

    Ninajua kuwa upo gerezani kwa sasa, lakini naamini hutaliruhusu gereza kuingia moyoni mwako. Ni kwa sababu hiyo basi, nimechukua hatua hii nikiamini kuwa hata kama hutakuwa na simu gerezani, wapendwa wako wataweza kukufukishia huu ujumbe kwa wakati sahihi. Awali ya yote, ninakupa pole kwa...
  7. Naomba ushauri Namna ya kuingia katika Taasisi za Kiserikali na Binafsi

    Habali nduguzo. Naombeni ushauri namna ya kuomba kibali cha kuonana na mkurugenzi au HR wa Taasisi tofauti tofauti. Nia na dhumuni, nina biashara yangu nataka ianzisha mda si mrefu ntakuwa nimesha sajiliwa kama kampuni na brela. Nahitaji kujua taratibu za kuomba kibali cha kuonana na...
  8. Kwa mtaji wa mil 5-10 nifanye biashara gani mkoa wa TABORA

    Habari Za majukumu wanajamvu, Katika pitapita zangu, nimekuja tembea mkoa wa tabora, na nimeupenda, naweza weka kambi kwa mda . Naombeni ushauri wajuzi wa huu mkoa ,Biashara gani naweza fanya hapa mkoani kwa mtaji wa mil 5 hadi 10? Nitashukuru kwa ushauri. Asanteni
  9. K

    Ushauri: Kuwe na kikosi maalumu kuhakikisha mifumo ya Tehama haizimwi kifisadi!

    Kumekuwa na malalamiko mengi ya mifumo ya tehama serikalini kuzimwa makusudi ili wafanyakazi wezi na viongozi wezi waweze kuiba. Ushauri wangu ni kuweka kikosi maalumu kuhakikisha mifumo yote inafanya kazi na kama ikizimwa bila sababu au kutoa taarifa kuwekwe sheria maalumu ya uhujumu uchumi...
  10. K

    Ushauri: Somo la Historia ya Tanzania na Maadili liwekewe sura maalumu kwenye katiba ili kulipa msisitizo wa kisheria

    Wasalaam, Taifa likiwa katika mchakato wa kuandaa sera ya mtaala mpya ya Elimu na mtaala huo kupendekeza kuwepo kwa Somo la Historia ya Tanzania na Maadili ni jambo jema kwa kizazi Cha Sasa na kijacho kulilinda Taifa dhidi ya mmomonyoko wa maadili. Huu ni mtazamo wangu juu ya uwepo wa Somo...
  11. M

    Ushauri: CCM isimptishe Luhaga Mpina kugombea ubunge 2025 maana anawachachafya mpaka wanachachafika

    Jamaa yupo serious na maisha ya Watanzania. Sakata la mafuta alipambania maisha ya Watanzania. Sakata la Tril 280 ndio amekomaa kinyama. Huyu jamaa ni mwamba wa kuwachachafya ma-CCM.
  12. Ushauri: Alipe kiasi gani kwa huu mkangafu wa Murano?

    Gari ni Nissan Murano, ipo Garage, ina miss wanasema. Interior imechakaa sana. Engine V6. Alipe kiasi gani kuinunua?
  13. Ushauri wangu kwa Uongozi wa Klabu yangu pendwa ya Simba SC

    Awali ya yote niwape salamu mbiu Tabuleleeee (itikia Laaaaaa). Hii ni baada ya matokeo ya jana tarehe 5-11-2023, 1-5. Mashabiki wenzangu wa Simba naomba tuwe wavumilivu katika kipindi hiki kigumu cha maombolezo. Hili ni pito ambalo hata Yanga alipitia kwa miaka mi4 mfululizo. Turudi kwenye...
  14. Ushauri kwa Rais Samia: Kwenye mabadiliko ya Cabinet kufuatia Ripoti ya CAG, tumia wazoefu; Fedha mpe Dkt. Kimei, Biashara Uwekezaji mpe Deo Mwanyika

    Huu ni Ushauri wa Bure kwa Rais Samia kwenye mabadiliko tarajiwa ya cabinet kufuatia Ripoti ya CAG, namshauri Rais Samia, asibabaike sana na kuangalia ma vyeti ya usomi kwenye uteuzi wa cabinet yake, atumie watu wenye uzoefu, mfano Waziri wa Fedha wa sasa Dr. Mwigulu Mnchemba ni msomi mzuri wa...
  15. Ushauri kwa Simba: Kipigo Cha Leo kitutoe usingizini.

    Naomba kuwapa pole mashabiki wa Simba kwa kipigo Cha Leo. Sio lelemama. Kutokana na kipigo hicho Simba inatakiwa ikitumie kipigo hicho Kama changamoto ya mabadiliko. Ila Simba Kama Klabu ikichukulia kipigo hiki Kama kawaida, basi yatakuja makubwa zaidi. Naomba nishauri yafuatayao: 1. Kwanza...
  16. J

    Bashungwa aipa meno bodi ya ushauri ya TANROADS

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameitaka Bodi ya Ushauri ya Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS), kutokafanya kazi za maofisi na badala yake kutembelea na kukagua na kufuatilia utekelezaji wa miradi kuanzia ngazi za awali za manunuzi, mikataba, utekelezaji, ufanisi wa miradi kulingana na...
  17. Naomba ushauri wa kusoma "Masters"

    poleni na hongera kwa majukumu ya kila siku, naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Kimsingi nahitaji kusoma "masters" ila sijuwi ni kozi gani itanifaa na kuleta tija kwangu. Ndugu wadau, naomba nianze kwa kujitambulisha binafsi kielimu nina shahada ya elimu ya watu wazima na maendeleo ya...
  18. Naombeni Mbinu kwenye hili la Ndoa

    Habari zenu wana jamii. Naombeni mbinu na ushauri kwenye suala hili la ndoa. Nahitaji kufanya maamuzi ya kujitoa kwenye ndoa ( kuachana na mke wangu ) sababu hanivutii tena. Hatujazaa wala hana ujauzito na ndoa yetu haijatimiza hata mwaka. Yaani naona kama naulazimisha mwili wangu kwenye...
  19. Naombeni ushauri wenye busara juu ya hili

    🤗
  20. Nataka kuwa Vegetarian. Wenye uzoefu na hii kitu naombeni ushauri na maoni

    Nimepanga kuwa vegetarian kutokana na sababu za kiafya na nataka kuona kama nina nidhamu ya kuweza kuwa vegetarian. Naombeni maoni, elimu, ushauri na uzoefu wenu kwenye eneo hili maana sijui chochote kulihusu. Vyakula mbadala, misosi ya kivegan, kanuni za uvegan nk nk. Natanguliza shukrani.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…