Naombeni ushauri: Nilichezea mshahara wa milioni 10

She Quoted you

JF-Expert Member
Oct 19, 2020
687
1,163
Habari wanaJf,

Mwezi wa 6 mwaka Jana nilipata kazi NGO moja huko Kigoma as a purchasing officer, nikilipwa mshahara+ Bonus + madili nilikuwa naingiza average ya million 10 kwa mwezi.

Pale walinipa short contract ya miezi 6 maana mradi wao upo kwenye closing phase.

Mkataba wangu umeisha mwanzoni mwezi huu.

Kinachoniuma ni katika kipindi hiki sijafanya cha maana zaidi ya kununua gari na kununua eneo heka 5 huko Morogoro.

Nilibadilisha lifestyle nikawa naishi kama bilionea huku mjini, Yaani Kila wikendi napanda ndege naenda kusalimia ndugu Dar.

Mimi nilijua tu lazima wataextend contract ila nimekuja kuhamaki hawaongezi. Just like that umasikini nilioutoroka umerudi kwa kasi.

Ninawalaumu wanaJf maana hamkunishauri vizuri na Sasa mdogo wenu narudi kwenye umasikini.

Nimepata kazi ya millioni 10, nifanyeje kuutoroka umasikini?

Anyways, kwa sasa Nina saving ya mil 5 niifanyie biashara gani hapa Dar?
 
Habari wanaJf,
Mwezi wa 6 mwaka Jana nilipata kazi NGO moja huko Kigoma as a purchasing officer, nikilipwa mshahara+ Bonus + madili nilikuwa naingiza average ya million 10 kwa mwezi.
Pale walinipa short contract ya miezi 6 maana mradi wao upo kwenye closing phase.
Mkataba wangu umeisha mwanzoni mwezi huu.

Kinachoniuma ni katika kipindi hiki sijafanya Cha maana zaidi ya kununua gari na kununua eneo heka 5 huko morogoro.
Nilibadilisha lifestyle nikawa naishi kama bilionea huku mjini, Yani Kila wikendi napanda ndege naenda kusalimia ndugu dar. Mi nilijua tu lazima wataextend contract ila nimekuja kuhamaki hawaongezi. Just like that umasikini nilioutoroka umerudi kwa kasi

Ninawalaumu wanaJf maana hamkunishauri vizuri na Sasa mdogo wenu narudi kwenye umasikini. Nimepata kazi ya millioni 10, nifanyeje kuutoroka umasikini?
Anyways, kwa sasa Nina saving ya mil5 niifanyie biashara gani hapa dar?
images (8).jpeg
 
Pitia Pitia Hapa Unaweza Kuokota Kitu.

 
Back
Top Bottom