Ushauri: Kama Mzee Philip Mpango unaona afya inakusumbua sumbua, 2025 Samia amchague Majaliwa kuwa mgombea mwenza

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
12,011
20,685
Najua sitamkwaza Mzee wangu Filipo, ila namshauri tu, kama ataona bado ka afya kanaleta leta shida, amfate mama amwambie kwamba atafute mtu mwingine wa kupiga naye jaramba 2025. Afya ni muhimu kuliko chochote.

Yeye abaki na kazi ya kushauri, na pia apate muda wa kutosha kuangalia afya yake. Ametendea makubwa taifa hili, na tutamuemzi sana, japo waha wanamshambulia kwamba hakuna alichofanya kwao. Basi kaangaliwe ka mradi kakubwa hapo Kigoma, kajengwe, kapewe jina lake, hata kama ni baranara za kuiunganisha kigoma na mikoa jirani au ka airport kajengwe vizuuri kaitwe "Philip Mpango International Airport-Kigoma"

Kombinesheni ya Majaliwa na SSH itayavuta makundi yote, na kulidhoofisha kundi la waombolezaji ambao kuna mtu walimtegemea kwamba anaweza kuwaibua.

Pia Majaliwa anajua kupiga maneno jukwaani. Pia mikiki ya kutembea nchi nzima inahitaji uwe timamu kiafya, hasa kwa kiongozi wa pili wa kitaifa ili yasijetokea mambo ya YUASA.

Katikati (Waziri Mkuu) anasimama Dotto Mashaka Biteko.

Kwa hiyo, kama ni supu, itakuwa imekolezwa na pilipili kidoogo.

SSH2025/2030.
 
Aiseee

Askofu Gwajima: Miaka 3 Ijayo Degree zitakosa Kazi
Tutakuwa hatuna hata haja ya kuwa na wachungaji,roboti zitatuhubiria na hazitaomba sadaka. Wake zetu na mabinti zetu watakuwa salama, na pia tutahubiriwa injili tu kama ilivyoandikwa.
 
Najua sitamkwaza Mzee wangu Filipo, ila namshauri tu, kama ataona bado ka afya kanaleta leta shida, amfate mama amwambie kwamba atafute mtu mwingine wa kupiga naye jaramba 2025. Afya ni muhimu kuliko chochote.

Yeye abaki na kazi ya kushauri, na pia apate muda wa kutosha kuangalia afya yake. Ametendea makubwa taifa hili, na tutamuemzi sana, japo waha wanamshambulia kwamba hakuna alichofanya kwao. Basi kaangaliwe ka mradi kakubwa hapo Kigoma, kajengwe, kapewe jina lake, hata kama ni ka airport kajengwe vizuuri kaitwe "Philip Mpango International Airport-Kigoma"

Kombinesheni ya Majaliwa na SSH itayavuta makundi yote, na kulidhoofisha kundi la waombolezaji ambao kuna mtu walimtegemea kwamba anaweza kuwaibua.

Pia Majaliwa anajua kupiga maneno jukwaani. Pia mikiki ya kutembea nchi nzima inahitaji uwe timamu kiafya, hasa kwa kiongozi wa pili wa kitaifa ili yasijetokea mambo ya YUASA.

Katikati (Waziri Mkuu) anasimama Dotto Mashaka Biteko.

Kwa hiyo, kama ni supu, itakuwa imekolezwa na pilipili kidoogo.

SSH2025/2030.
Majaliwa hafai ,usilete utoto hapa japo inawezekana maana tarumbeta anazopiga bwana Kassim Kwa Mama sio za Bure bure
 
Najua sitamkwaza Mzee wangu Filipo, ila namshauri tu, kama ataona bado ka afya kanaleta leta shida, amfate mama amwambie kwamba atafute mtu mwingine wa kupiga naye jaramba 2025. Afya ni muhimu kuliko chochote.

Yeye abaki na kazi ya kushauri, na pia apate muda wa kutosha kuangalia afya yake. Ametendea makubwa taifa hili, na tutamuemzi sana, japo waha wanamshambulia kwamba hakuna alichofanya kwao. Basi kaangaliwe ka mradi kakubwa hapo Kigoma, kajengwe, kapewe jina lake, hata kama ni baranara za kuiunganisha kigoma na mikoa jirani au ka airport kajengwe vizuuri kaitwe "Philip Mpango International Airport-Kigoma"

Kombinesheni ya Majaliwa na SSH itayavuta makundi yote, na kulidhoofisha kundi la waombolezaji ambao kuna mtu walimtegemea kwamba anaweza kuwaibua.

Pia Majaliwa anajua kupiga maneno jukwaani. Pia mikiki ya kutembea nchi nzima inahitaji uwe timamu kiafya, hasa kwa kiongozi wa pili wa kitaifa ili yasijetokea mambo ya YUASA.

Katikati (Waziri Mkuu) anasimama Dotto Mashaka Biteko.

Kwa hiyo, kama ni supu, itakuwa imekolezwa na pilipili kidoogo.

SSH2025/2030.
Tanzania will be the Islamic State, very soon
 
Hana ushawishi wowote huyo na pia sio utamaduni wa ccm Kwa mtu ambae amekuwa PM miaka 10 au Makamu wa Rais Kwa miaka 10 Kugombea Urais haipo hiyo.
Anakuwa Makamu, na pia itasaidia kum-contain, kuliko kumuacha azurure barabani kama Lowassa, si unajua Umakamu kazi yake ni kuzindua na kukata utepe tu.
 
Hapana,VP anatakiwa mtu fresh ,huyo PM wako hana jipya Kwa Sasa.
 
Najua sitamkwaza Mzee wangu Filipo, ila namshauri tu, kama ataona bado ka afya kanaleta leta shida, amfate mama amwambie kwamba atafute mtu mwingine wa kupiga naye jaramba 2025. Afya ni muhimu kuliko chochote.

Yeye abaki na kazi ya kushauri, na pia apate muda wa kutosha kuangalia afya yake. Ametendea makubwa taifa hili, na tutamuemzi sana, japo waha wanamshambulia kwamba hakuna alichofanya kwao. Basi kaangaliwe ka mradi kakubwa hapo Kigoma, kajengwe, kapewe jina lake, hata kama ni baranara za kuiunganisha kigoma na mikoa jirani au ka airport kajengwe vizuuri kaitwe "Philip Mpango International Airport-Kigoma"

Kombinesheni ya Majaliwa na SSH itayavuta makundi yote, na kulidhoofisha kundi la waombolezaji ambao kuna mtu walimtegemea kwamba anaweza kuwaibua.

Pia Majaliwa anajua kupiga maneno jukwaani. Pia mikiki ya kutembea nchi nzima inahitaji uwe timamu kiafya, hasa kwa kiongozi wa pili wa kitaifa ili yasijetokea mambo ya YUASA.

Katikati (Waziri Mkuu) anasimama Dotto Mashaka Biteko.

Kwa hiyo, kama ni supu, itakuwa imekolezwa na pilipili kidoogo.

SSH2025/2030.
Siyo vizuri kubeza hali ya kiafya ya mtu!
 
Back
Top Bottom