FaizaFoxy: Nasaha na Ushauri wa kijamii usio wa kawaida. Nakaribisha maswali

FaizaFoxy

Platinum Member
Apr 13, 2011
92,883
109,212
Kichwa cha habari kinajieleza.

Kuna uzi mmoja leo kuna mdau kanishauri nianzishe uzi wa nasaha na ushauri kuhusu jamii hususan ya mahusiano.

Nimelipenda wazo lake na nimefungua huu uzi ambao utajumuisha nasaha zote za kijamii kadri itavowezekana, uwe kwa vijana, watoto au watu wazima.

Tafadhali tuwe wastahamilivu tusiziwache mada akaanza kushambuliwa mtu yeyote yule. Tunawaomba Moderator s watulinde kwenye hilo.

Nisiwachoshe, tuingie kwenye mada. Nakaribisha maswali. Yatapokosekana maswali ntachochea mada kwa kuwaletea visa vya mahusiano ambavyo kidogo visivyo vya kawaida "twisted".
 
Je nitafute mwanamke wa hadhi gani ili niwe na Imani kwamba hajanikubalia kwa sababu kiuchumi familia yangu tuna Uwezo mzuri Vipato vya wastani na uhakika wa maisha.nawaza labda nichaguapo mchumba ama mke basi na yeye atokee familia bora awe na kazi kama Mimi ili niwe Naimani kwamba hajanikubali ili anitegemee/watutegemee....

Nisingependa majibu yako yawe kwamba Mpende mwenye mapenz ya dhati hilo silihitaji kwa sasa lengo kubwa la kuanzisha ndoa nataka liwe la Kuzaa kuwa na familia ..maana najua hata mwenye mapenz ya dhati bado mtararuana tu kelele ni nature ya mwanamke so nataka kdg wa kunisaidia kulea na kutoa huduma kama nikiyumba kidogo je niko sawa
 
Kisa cha ukweli Kariakoo na Ilala.

Kuna binti Ma Shaa Allah alikuwa anakaa mitaa ya Ilala ni mtoto wa sngo Mother, inaonesha mama alimzaa huyu Binti akiwa na yeye ni mdogo kaboisa, kwani kama hujaambiwa kuwa ni binti yake utafikiri ni mru na dadake.

Binti alivyomaliza form lv akapatiwa kazi "town" huko ambapo wakuja mnapaita "posta". Kwenye duka la Muhindi la kuuza nguo, mtoto Ma shaa Allah haukupita muda mtoto wa mzee mwenye duka, duka maarufu sana kwa wenyeji wa Dar, aka fall kwa binti. Huyo mtotowa mwenye duka akawa anamtembelea kwao ilala, tunaziita nyumba za nyumba za sita, zile za national housing, wenyeji wa dar watanielewa.

Kijana wa kihindi kwa kuwa kwao pesa zipo na mahaba motomoto na binti kashika ujauzito haraka haraka, akaamuwa amkodishie flat kariakoo, ili kijana anapomtembelea mpenzi wake iwe kwenye mazingira aliyoyazowea zowea, siyo yale ya Ilala nyumba yenye wapangaji kila sampuli, mmoja akiwachia shuzi chumba cha pili, sauti mpaka vyumba vingine, kama siyo na harufu pia.++Basi ikawa faraja kubwa, mama na mwanawe wakahamia kwenye flat Kariakoo, wakaambiwa wabebe nguo zao tu, fanicha zote kaweka mtoto wa kitajiri, ili mradi, hakuna kilichopunguwa ndani ya nyumba...

Itaendelea, coffee break.
 
Kisa cha ukweli Kariakoo na Ilala.

Kuna bonti Ma Shaa Allah alikuwa anakaa mitaa ya Ilala ni mtoto wa sngo Mother, inaonesha mama alimzaa huyu Binti akiwa na yeye ni mdogo kaboisa, kwani kama hujaambiwa kuwa ni binti yake utafikiri ni mru na dadake.

Good story, nasuburi muendelezo......
 
Je nitafute mwanamke wa hadhi gani ili niwe na Imani kwamba hajanikubalia kwa sababu kiuchumi familia yangu tuna Uwezo mzuri Vipato vya wastani na uhakika wa maisha.nawaza labda nichaguapo mchumba ama mke basi na yeye atokee familia bora awe na kazi kama Mimi ili niwe Naimani kwamba hajanikubali ili anitegemee/watutegemee....nisingependa majibu yako yawe kwamba Mpende mwenye mapenz ya dhati hilo silihitaji kwa sasa lengo kubwa la kuanzisha ndoa nataka liwe la Kuzaa kuwa na familia ..maana najua hata mwenye mapenz ya dhati bado mtararuana tu kelele ni nature ya mwanamke so nataka kdg wa kunisaidia kulea na kutoa huduma kama nikiyumba kidogo je niko sawa
Kwanza kabisa hakikisha unapoowa uwe katika hali ya uchumi wako wa kawaida kabisa, usingoje mpaka ukusanye pesa au ujioneshe kuwa una pesa. Mwanamke inatakiwa muowane ukiwa katika hali duni siyo katika hali nono ya "kula bata".

Pili, muowe kwa vigezo vyake hivi; Kwa uzuri wake, kwa mali zake, kwa nasaba yake na kwa dini yake.

Tatu, hakikisha mnaowana, siyo umemuowa.

Jiepushe kabisa kuzaa nje ya ndoa, uasherati na uzinzi ni uchafu.
 
Nilihisi mtoto wangu wa kwanza si wangu, ila nilivumilia tu nikiwa na lengo la kumsomesha mpaka amalize chuo kikuu ndo niangalie DNA

Kamaliza Chuo kikuu Mwaka jana, bado moyo unaita nikaangalie DNA, je kwa sasa ni sahihi maana mtoto keshamaliza utegemezi?
 
Kisa cha ukweli Kariakoo na Ilala.

Kuna bonti Ma Shaa Allah alikuwa anakaa mitaa ya Ilala ni mtoto wa sngo Mother, inaonesha mama alimzaa huyu Binti akiwa na yeye ni mdogo kaboisa, kwani kama hujaambiwa kuwa ni binti yake utafikiri ni mru na dadake.

Binti alivyomaliza form lv akapatiwa kazi "town" huko ambapo wakuja mnapaita "posta". Kwenye duka la Muhindi la kuuza nguo, mtoto Ma shaa Allah haukupita muda mtoto wa mzee mwenye duka, duka maarufu sana kwa wenyeji wa Dar, aka fall kwa binti. Huyo mtoto wa mwenye duka akawa anamtembelea kwao ilala, tunaziita nyumba za nyumba za sita, zile za national housing, wenyeji wa dar watanielewa.

Kijana wa kihindi kwa kuwa kwao pesa zipo na mahaba motomoto na binti kashika ujauzito haraka haraka, akaamuwa amkodishie flat kariakoo, ili kijana anapomtembelea mpenzi wake iwe kwenye mazingira aliyoyazowea zowea, siyo yale ya Ilala nyumba yenye wapangaji kila sampuli, mmoja akiwachia shuzi chumba cha pili, sauti mpaka vyumba vingine, kama siyo na harufu pia.++Basi ikawa faraja kubwa, mama na mwanawe wakahamia kwenye flat Kariakoo, wakaambiwa wabebe nguo zao tu, fanicha zote kaweka mtoto wa kitajiri, ili mradi, hakuna kilichopunguwa ndani ya nyumba...

Itaendelea, coffee break.
... Inaendelea:

Basi mama na binti yake wakahamia, maisha yakawa mazuri kabisa, kutoka "kajamba nani" mpaka flat ya Kariakoo ni hatua kubwa sana.

Mimba ikawa inakuwa tena, mtoto ikabidi asimame kazi, ana shida gani ya kazi, na buzi la kidosi lipo pembeni? Maisha yakaendelea mpaka binti akajifunguwa.

Alipojifunguwa binti kukaanza kuwa na mabadiliko kidogo mule ndani, ikawa mama akitoka anachelewa kurudi na kijana wa kihindi ikawa time zake za kuja ni kama zamani lakini ikawa akija haoneshi shauku kubwa sana kwa "girlfriend" wake, sivyo kama ilivyokuwa zamani.

Siku moja mwanawe akamuliiza, "mama mbona siku hizi ukitoka asubuhi hurudi mpaka jioni sana, siyo kawaida yako", mama anamwambia nipo bize mwanangu kuna mambo nayashughulikia, utayajuwa tu ikifika muda wake.

Mambo yakaenda hivyo mpaka kuna siku kama mwaka umeshapita tokjamwahamie, mama akamwambia mwanawe "binti yangu mimi nahama, nimepata kwangu". Mtoto akasangaa, hajawahi kukaa mbali na mama'ke toka azaliwe. Mama akamwambia usiw na wasiwasi nipo hapa hapa Kariakoo mitaa mitatu kutoka hapa, mtoto akamwambia, mama kwanini umekwenda kukodi nyumba na nyumba hii inatutosha? Mama akamwambia sikukodi mwanangu, nimepata nyumba yangu mwenyewe ntakupeleka ukapaone. Ngoja nikapaweke sawa kwanza, wewe kaa na mtoto hapa mimi ntamudu, usijali.

Itaendelea...
 
Kwanza kabisa hakikisha unapoowa uwe katika hali ya uchumi wako wa kawaida kabisa, usingoje mpaka ukusanye pesa au ujioneshe kuwa una pesa. Mwanamke inatakiwa muowane ukiwa katika hali duni siyo katika hali nono ya "kula bata".

Pili, muowe kwa vigezo vyake hivi; Kwa uzuri wake, kwa mali zake, kwa nasaba yake na kwa dini yake.

Tatu, hakikisha mnaowana, siyo umemuowa.

Jiepushe kabisa na kuzaa nje ndoa, uasherati na uzinzi ni uchafu.
Mwanaume anaoa,, haya mambo ya kuoana ni umagharibi na femininity ya 50/50.
Mwanaume ana haki na amri ya kuoa hata bila ridhaa ya Binti Bali kama wazazi wake wakiridhia.
 
Nilihisi mtoto wangu wa kwanza si wangu, ila nilivumilia tu nikiwa na lengo la kumsomesha mpaka amalize chuo kikuu ndo niangalie DNA

Kamaliza Chuo kikuu Mwaka jana, bado moyo unaita nikaangalie DNA, je kwa sasa ni sahihi maana mtoto keshamaliza utegemezi?
kama mliowana kwa ndoa nenda ukapime ili uwe kwenye amani, lakini kama mlichukuwana tu mkaishi pamoja na kuzaa, kubali matokeo, ishi kwa amani kama hujuwi kitu na Omba sana toba.
 
Mwanaume anaoa,, haya mambo ya kuoana ni umagharibi na femininity ya 50/50.
Mwanaume ana haki na amri ya kuoa hata bila ridhaa ya Binti Bali kama wazazi wake wakiridhia.
Hapana, sivyo hivyo.

Lichukulie neno "kuowana" kwa maana yake ya Kiswahili. Huwezi kuoanisha raba na kandambili. Ili iwe jozi ya viatu ni lazima viowane. (compatibility).

Ndoa zimeanza na zimetiliwa mkazo sana na Uislam, ukitaka kuwa kwenye furaha fata vigezo vya ndoa vya Kiislam, no jokes.
 
Kichwa cha habari kinajieleza.

Kuna uzi mmoja leo kuna mdau kanishauri nianzishe uzi wa nasaha na ushauri kuhusu jamii hususan ya mahusiano.

Nimelipenda wazo lake na nimefungua huu uzi ambao utajumuisha nasaha zote za kijamii kari itavowezekana,uwe kwa vina, watoto au watu wazima.

Tafadhali tuwe wastahamilivu tusiziwache mada akaanza kushambuliwa mtu yeyote yule. Tunawaomba Moderator s watulinde kwenye hilo.

Nisiwachoshe, tuingie kwenye mada. Nakaribisha maswali. Yatapokosekana maswali ntachochea mada kwa kuwaletea visa vya mahusiano ambavyo kidogo visivyo vya kawaida "twisted".
Mke wa mtu saa 9 usiku huu yupo social media amefungua na uzi.
Hivi huko kwenye mafunzo ya dini namna ya kuishi na mume mlienda kusomea ujinga.
 
kadiri
 
Nilifahamu watu kama wewe hamkosekani, nikaandika hivi post namba moja. Unaonesha hujasoma au unachokisoma huelewi:

Tafadhali tuwe wastahamilivu tusiziwache mada akaanza kushambuliwa mtu yeyote yule. Tunawaomba Moderator s watulinde kwenye hilo.
 
Unakichaa wewe ina asili gan dini yenyewe imetengenezwa na Roma empire
Utakuwa unaongelea ukristo, maana ndo dini iliyotengenezwa na papa wa kwanza Emperòr Nero ili kutawala vizuri watu wa Dola lake.
Hao kina Paulo Mathayo na Marko ni fake characters tu waliotengenezwa ili kufit narrative yake ya kiutawala.
Ukifuatilia historically hakuna ushahidi hao watu waliwahi kuwepo.
Hata agano jipya waandishi wote hawajulikani ni kina nani kuanzia kina Mathayo,Marko Luka na Yohana.
Hata hayo majina sio halisia sio majina ya watu waliofahamika. Bali ni majina tu yalipachikwa kwenye vitabu from unknown authors.
Hakuna ajuaye viliandikwa na nani isipokuwa kanisa katoliki ambalo limeficha hizo Siri.

Bottom line, Wakristo wanaabudu wásichokijua Kwasababu wamefichwa ukweli wa Kila kitu kuhusu imani Yao.
 
Back
Top Bottom