Hakuna mahali watu wanaishi kwa kuigiza na kutolea stress zao kama JamiiForums

Artifact Collector

JF-Expert Member
Mar 7, 2019
6,539
10,006
Ukifungua nyuzi nyingi huku jamiiforums utashangaa sana kwenye section ya comment kila mtu ana-vimba mfano kama mtu amekuja kuomba msaada utastaajabu watu wanavyotoa majibu ya hovyo sana na yasiyojali utu.

Jamiiforums ni sehemu ya watu kutolea stress zao, ni kawaida sana jamiiforums mtu kuanza kukuvamia na maneno yasiyofaa na maneno ya kashfa.

Mimi kipindi fulani nilishafanya biashara hapa jamiiforums kupitia jukwaa la matangazo nilikutana na watu wengu pasipo kunijua ukweli ni kwamba watu wengi wanaishi maisha ya kawaida tofauti na wanavyo-comment huku jamiiforums, ni mbingu na ardhi ila kwa sababu ni wateja wako inabidi uwasitiri tu.

Ila kijana kuwa makini na watu wa huku wengi wao wana-fake maisha. Jamiiforums ni kama huku mitaani tunapoishi wenye kipato kikubwa ni wachache sana huku wengi wakiisha maisha ya kawaida.
 
Ukifungua nyuzi nyingi huku jamiiforum utashangaa sana kwenye section ya comment kila mtu ana-vimba mfano kama mtu amekuja kuomba msaada utastaajabu watu wanavyotoa majibu ya hovyo sana na yasiyojali utu

Jamiiforum ni sehemu ya watu kutolea stress zao ni kawaida sana jamiiforum mtu kuanza kukuvamia na matusi na maneno ya kashfa

Mimi kipindi flani nilishafanyaga biashara hapa jamiiforum kupitia jukwaa la matangazo nilikutana na watu wengu pasipo kunijua ukweli ni kwamba watu wengi wanaishi maisha ya kawaida tofauti na wanavyo-comment huku jamiiforum ni mbingu na ardhi ila kwa sababu ni wateja wako inabidi uwasitiri tu

Ila kijana kuwa makini na watu wa huku wengi wao wana-fake maisha
Jamiiforum ni kama huku mitaani tunapoishi wenye kipato kikubwa ni wachache sana huku wengi wakiisha maisha ya kawaida

Jamiiforum , hakuna MTU anafake maisha isipokuwa unapoanza Ku-trace maisha ya MTU lazima uwe too disappointed .

Maana kila MTU uishi maisha kutokana na MTU kuna watu humu they act like a poor ila wapo well financial stable . so don't take anything personal.

Kuna WATU mtaani wanajua wewe huna hela Ila pia kuna WATU wanajua wewe Una hela Sana. mfano MTU ambaye akienda bar hafanyi fujo amnunulili MTU pombe na yeye anaishia kunywa bia moja tu kila baada ya wiki , basi watu wanaweza kudhani huyo MTU Hana hela. Kumbe sio kweli.
 
Nadhani sio mjadala au kitu cha kuzingatia kwa mtu ambaye anapenda positivity,
Wewe ulitegemea ukifanya biashara jf ukutane na watu wenye hela na magari na hao (sisi) wenye hivo vitu hivyo umekua disappointed ila nikupe hints
1. Hatununui vitu online market za wabongo tunatumia amazon
2. Hatuvai mitumba shopping zetu ni kwenye maduka ya woolworths na splash
3. Hatuombi punguzo la bei

N.B Badili biashara uone kitachotokea
 
Minaongelea reply za watu wengi hasa mtu anatokea anahitaji msaada wengi wana-act kama wanauwezo mkubwa sana na wengi wanamdharau sana mleta uzi

Nimeona kwa watu wengi jamiforum sio sehemu ya kuomba msaada utakua dissapoint sana
 
Nadhani sio mjadala au kitu cha kuzingatia kwa mtu ambaye anapenda positivity,
Wewe ulitegemea ukifanya biashara jf ukutane na watu wenye hela na magari na hao (sisi) wenye hivo vitu hivyo umekua disappointed ila nikupe hints
1. Hatununui vitu online market za wabongo tunatumia amazon
2. Hatuvai mitumba shopping zetu ni kwenye maduka ya woolworths na splash
3. Hatuombi punguzo la bei

N.B Badili biashara uone kitachotokea
We ndo mfano wa watu naowaongelea kwenye uzi wangu
Uzi wangu haujajikita kwenye kutangaza biashara ndo maana hakuna bidhaa yeyote niliyoitangaza ule ni mfano tu na kwa sasahivi hiyo biashara siifanyi tena

Point yangu ni reaction za watu kwenye mambo tofauti tofauti yanayoyokea huku hasa mtu anapokua anaomba anagalau ushauri au ameshare changamoto inayomkabili
 
Ukifungua nyuzi nyingi huku jamiiforums utashangaa sana kwenye section ya comment kila mtu ana-vimba mfano kama mtu amekuja kuomba msaada utastaajabu watu wanavyotoa majibu ya hovyo sana na yasiyojali utu.

Jamiiforums ni sehemu ya watu kutolea stress zao, ni kawaida sana jamiiforums mtu kuanza kukuvamia na maneno yasiyofaa na maneno ya kashfa.

Mimi kipindi fulani nilishafanya biashara hapa jamiiforums kupitia jukwaa la matangazo nilikutana na watu wengu pasipo kunijua ukweli ni kwamba watu wengi wanaishi maisha ya kawaida tofauti na wanavyo-comment huku jamiiforums, ni mbingu na ardhi ila kwa sababu ni wateja wako inabidi uwasitiri tu.

Ila kijana kuwa makini na watu wa huku wengi wao wana-fake maisha. Jamiiforums ni kama huku mitaani tunapoishi wenye kipato kikubwa ni wachache sana huku wengi wakiisha maisha ya kawaida.
Kipi kikusikitishacho Watu wakiigiza maisha JF?
 
Mimi nilichogundua humu jf wakati mwingine si kwamba watu wanaandika vitu for showoff ila ni sisi wasomaji tu ndio tunakuwa na jealous point of view, inferiority complex na mawazo ya kimasikini sasa ukishakuwa hivyo kila kinachoandikwa utaona kama mtu anajikweza, ni vizuri kuwa real ila mimi binafsi sijui kwanini hata mtu akiamua kufake maisha yake huwa hainipi taabu hata kama mimi ni masikini
 
Mimi nilichogundua humu jf wakati mwingine si kwamba watu wanaandika vitu for showoff ila ni sisi wasomaji tu ndio tunakuwa na jealous point of view, inferiority complex na mawazo ya kimasikini sasa ukishakuwa hivyo kila kinachoandikwa utaona kama mtu anajitapa, ni vizuri kuwa real ila mimi binafsi sijui kwanini hata mtu akiamua kufake maisha yake huwa hainipi taabu hata kama mimi ni masikini
Point yangu ni watu wanaoomba msaada au ushauri wakipitia changamoto wakijaribu kushare huku jf majibu wanayoyapata sio ya kistaarabu ni ya kuwavunja moya sana

Uwe na inferiority complex kwa mtu amabaye humjui na hawezi kukusaidia mbona hiki ni kituko
Unajitapa alafu wewe unamaisha ya kawaida si-ujinga huo unapata faida gani ni kama unajiibia hela wewe mwenyewe unatoa mfuko huu unahamishia mfuko mwingine
 
We ndo mfano wa watu naowaongelea kwenye uzi wangu
Uzi wangu haujajikita kwenye kutangaza biashara ndo maana hakuna bidhaa yeyote niliyoitangaza ule ni mfano tu na kwa sasahivi hiyo biashara siifanyi tena

Point yangu ni reaction za watu kwenye mambo tofauti tofauti yanayoyokea huku hasa mtu anapokua anaomba anagalau ushauri au ameshare changamoto inayomkabili
Tayari nimeshaku win confidence
 
Mimi nilichogundua humu jf wakati mwingine si kwamba watu wanaandika vitu for showoff ila ni sisi wasomaji tu ndio tunakuwa na jealous point of view, inferiority complex na mawazo ya kimasikini sasa ukishakuwa hivyo kila kinachoandikwa utaona kama mtu anajitapa, ni vizuri kuwa real ila mimi binafsi sijui kwanini hata mtu akiamua kufake maisha yake huwa hainipi taabu hata kama mimi ni masikini
Na sio kila anayeomba msaada ana shida ya hela wengine wanajiweza sana ila wanahitaji angalau watu wa kuwapa moyo
Mfano wengine wana utajiri ila magonjwa yanawasumbua hawana amani

Kuna mtu ni tajiri ila maisha yake ni ya stress sana mpaka anatamani kufa kila hali ya maisha ina changamoto yake ndo maana kuna matajiri wanajiua kwa kukosa furaha
 
Point yangu ni watu wanaoomba msaada au ushauri wakipitia changamoto wakijaribu kushare huku jf majibu wanayoyapata sio ya kistaarabu ni ya kuwavunja moya sana

Uwe na inferiority complex kwa mtu amabaye humjui na hawezi kukusaidia mbona hiki ni kituko
Unajitapa alafu wewe unamaisha ya kawaida si-ujinga huo unapata faida gani ni kama unajiibia hela wewe mwenyewe unatoa mfuko huu unahamishia mfuko mwingine
Na sio kila anayeomba msaada ana shida ya hela wengine wanajiweza sana ila wanahitaji angalau watu wa kuwapa moyo
Mfano wengine wana utajiri ila magonjwa yanawasumbua hawana amani

Kuna mtu ni tajiri ila maisha yake ni ya stress sana mpaka anatamani kufa kila hali ya maisha ina changamoto yake ndo maana kuna matajiri wanajiua kwa kukosa furaha
Kuhusu hao wanaofake maisha hatuwezi jua mkuu, labda wakifanya hivyo inawapa relief na sidhani kama inawapunguzia chochote, kwani na wewe huwa unapungukiwa nini mtu akifake maisha yake mimi binafsi wala havinisumbui

Hapo kwenye kuomba msaada nafikiri huwa inategemea mtu amekujaje, mara nyingi watu hucomment kulingana na mleta thread alivyokuja, maana wengine mtu ukisoma tu unaona kabisa huyu hayuko serious anafanya masihara

Na hiyo haipo kwenye threads za kuomba msaada tu, fuatilia hata threads za kutafuta wachumba utagundua nako kuna majibu ya hovyo je hao nao utasema wanajitapa, hiyo ni kawaida humu mitandaoni tegemea positive na negative comments kila mtu na akili na tabia zake so kama haikupunguzii kitu unapotezea tu
 
Back
Top Bottom