Wataalam wa afya naomba mnisaidie kujajili vipimo hivyo hapo na ushauri pia

polokwane

JF-Expert Member
Dec 16, 2018
1,440
2,000
Hiki kipimo ni cha 2017 full blood picture
20191215_132235.jpg

Na hiki cha chini ni cha 2019
20191215_131947.jpg

Sasa naomba wataalam wa kufanya analysis ya vipimo hivi vya damu watoe ushauri kipi kiko kwenye hatar na nini kifanyike pale penye mapungufu
Nawasilisha.
 
gasgas

JF-Expert Member
Jan 25, 2015
1,379
2,000
Hiki kipimo ni cha 2017 full blood picture
View attachment 1293153

Na hiki cha chini ni cha 2019 View attachment 1293159

Sasa naomba wataalam wa kufanya analysis ya vipimo hivi vya damu watoe ushauri kipi kiko kwenye hatar na nini kifanyike pale penye mapungufu
Nawasilisha.
Kwani mgonjwa alienda hospitali akiwa anaumwa nini na nini?

Daktari hatibu majibu ya full blood picture, anamtibu mgonjwa
 
polokwane

JF-Expert Member
Dec 16, 2018
1,440
2,000
Kwani mgonjwa alienda hospitali akiwa anaumwa nini na nini?

Daktari hatibu majibu ya full blood picture, anamtibu mgonjwa
Kama hujui ni vema ukapita kimya kimya si lazima ujibu mkuu waache wataalam wenye wanajua wakitizama vipimo hapo watasema chochote .
 
  • Thanks
Reactions: THT

gasgas

JF-Expert Member
Jan 25, 2015
1,379
2,000
Kama hujui ni vema ukapita kimya kimya si lazima ujibu mkuu waache wataalam wenye wanajua wakitizama vipimo hapo watasema chochote .
Najua vizuri tu ndio maana nikauliza hilo swali.

Usifanye assumptions.

Kila kipimo kina sababu yake kufanyika depending on signs and symptoms alizo nazo mgonjwa na kama daktari lengo ni ku-correlate clinical presentation na majibu ya vipimo ili kufikia diagnosis na kutoa matibabu sahihi

Ndio maana nikasema hatutibu majibu, tunatibu mgonjwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
polokwane

JF-Expert Member
Dec 16, 2018
1,440
2,000
Najua vizuri tu ndio maana nikauliza hilo swali.

Usifanye assumptions.

Kila kipimo kina sababu yake kufanyika depending on signs and symptoms alizo nazo mgonjwa na kama daktari lengo ni ku-correlate clinical presentation na majibu ya vipimo ili kufikia diagnosis na kutoa matibabu sahihi

Ndio maana nikasema hatutibu majibu, tunatibu mgonjwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan kupitia majibu ya hivyo vipimo huwezi kupata tatizo la mgonjwa ? Coz hicho ni kipimo alicho ambiwa akapime na baada ya kujieleza na Dr. Akamwambia majibu ktk vipimo hivyo yuko sawa hakuna shida so kupata na majibu mbadala pia sio vibaya maana ma Dr wa sikuhizi bana anakuhudumia huku kaweka headphones masikion na simu yupo facebook
 
Ndugu yangu nimekuelezea vizuri daktari hatibu majibu ya kipimo anamtibu mgonjwa.

Hivyo ndivyo nilivyofundishwa.

Unaposikiliza mgonjwa history yake na kumfanyia examination ndipo unapata 75% ya tatizo linalomsumbua then unampeleka kufanya kipimo, ikiwa kuna kitu fulani unakitafuta kithibitishe tatizo ambalo unahisi mgonjwa analo.

Order of events ipo hivyo na sio reverse.

Na nikuambie tu Full Blood Picture ni kipimo basic sana. Almost routine, unless kuna kitu specific unakitafuta/unamonitor

Kwenye FBP ya kwanza mgonjwa ana leukopenia, with predominant lymphocyte proportion, moderate anemia, na Thrombocytosis.

Kwenye FBP ya pili vime-normalize

Hainisaidii mimi haikusaidii wewe kama hamna taarifa za ziada kuweza kuunganisha anachoumwa mgonjwa na majibu hayo.

Nimekuelewa shida kubwa ni maumivu ya mgongo eneo la katikati hadi juu kwenye shingo some times kama vinachoma choma na eneo la kifuani na mabega

walipiga exray hawakuona kitu bt tatizo hilo relief yake ni kuoga maji yamoto kiasi yaliyo zid kidogo kwenye uvuguvugu yaani kama maunivu yakiwa makali ndio maji hayo hupunguza, ndio shida hiyo iliyopo iliyo pelekea kupata kipimo hicho kwa mara ya pili tena

Lakin pia kingine ilikuwa kutizama maendeleo kwani mwanzo WBC ilikuwa chini sana lakin kipimo cha pili ikapanda na sasa lengo ni kuipandisha zaid ya hapo hivyo ushauri wa nini kifanyike umri ni miaka 38 seems upo vizuri kwenye maswala hayo sorry kama nilikukwaza mwanzo.
 
Muwe na staha kidogo. Umekuja hapa unahitaji msaaada wa kitaalamu, na kama unavyoona nimekuja peke yangu kukusaidia, unanijibu unavyoona wewe. Kujimwambafy bila sababu.

Anyways. Hicho kipimo cha X-ray hakitoshi kujua tatizo la mgongo ni lipi. Huwa tunaanza na hicho kwa sababu ni affordable, lakini sensitivity yake ni ndogo na huweza kumiss tatizo.

Hivyo itafaa afanye MRI. At least muweze kuona uti wa mgongo, pingili za mgongo, kama kuna pathology yoyote hususani kwenye uti wa mgongo.

Kipimo cha full blood picture kilikuwa na abnormalities hapo mwanzoni.

Lakini sio kipimo specific. Kinaonyesha chembe chembe mbali mbali za damu, idadi yake na kiwango cha Hemoglobin.

Abnormalities zilizoonekana zinaweza kuwa na uhusiano na shida ya mgongo ikiwa kuna inflammation inaendelea kwenye uti wa mgongo (myelitis) or else where.

Walau kipimo cha ESR kingetupa picha.

Lakini aliyofanya mara ya pili iko kawaida kwa hiyo may be sio issue kubwa.

Issue kubwa afanye kipimo cha mgongo preferably MRI kuweza kujua chanzo.

Chembe chembe zake ziko normal sijaelewa kwa nini mnataka kupandisha chembe nyeupe wakati zipo vizuri.

Chembechembe nyeupe hupanda naturally mwili ukiwa na maambukizi yoyote, kansa ya damu, kuumia n.k.

Shughulika na huo mgongo na MRI kama mtaweza kupataSent using Jamii Forums mobile app
 
Shukran sana na kuna kitu kikubwa nimejifunza leo kupitia mtiririko wa uzi huu
 
Robidinyo

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
2,550
2,000
Ndugu yangu nimekuelezea vizuri daktari hatibu majibu ya kipimo anamtibu mgonjwa.

Hivyo ndivyo nilivyofundishwa.

Unaposikiliza mgonjwa history yake na kumfanyia examination ndipo unapata 75% ya tatizo linalomsumbua then unampeleka kufanya kipimo, ikiwa kuna kitu fulani unakitafuta kithibitishe tatizo ambalo unahisi mgonjwa analo.

Order of events ipo hivyo na sio reverse.

Na nikuambie tu Full Blood Picture ni kipimo basic sana. Almost routine, unless kuna kitu specific unakitafuta/unamonitor

Kwenye FBP ya kwanza mgonjwa ana leukopenia, with predominant lymphocyte proportion, moderate anemia, na Thrombocytosis.

Kwenye FBP ya pili vime-normalize

Hainisaidii mimi haikusaidii wewe kama hamna taarifa za ziada kuweza kuunganisha anachoumwa mgonjwa na majibu hayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwaiyo Daktari anatibu mgonjwa bila Vipimo?
 
gasgas

JF-Expert Member
Jan 25, 2015
1,379
2,000
Kwaiyo Daktari anatibu mgonjwa bila Vipimo?
Wewe nawe maelezo yote haya hujaelewa tu?

Kuna mtiririko sawa

Unaanza kumsikiliza mgonjwa hapo unakuwa una 75% ya kujua tatizo linalomsumbua, then unamfanyia examination.

Asilimia ya kujua tatizo inapanda zaidi 80-90%

Baada ya hapo ndipo unachukua vipimo hili kuhakikisha kile unachokihisi, kujua ukubwa wa tatizo n.k

Hapo ndio unakuwa umekamilisha asilimia 100%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom