Wanayanga Tarehe 4 tusiende Uwanja wa Taifa tutaondoka na aibu ushauri tu, wajanja tukutane Azam

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,900
21,990
Hali si nzuri najua wengi hawatanielewa

Yanga ina hali ngumu nakwambia wachezaji wengi awachezi kwa moyo awajalipwa hela zao

Mbaya zaidi majuzi GSM wameomba kulipa malimbikizo ya wachezaji uongozi ukalazimisha hizo hela zipelwkqw kwenye acc yao wao wataamua nn cha kulipia

Ile ilikuwa na saini ya udhaifu Dir na kwa wachezaji ni kama walimwagiwa tindikali za macho

Imagine mtu anadai mpaka milion nne na anajua Yanga kapewa mil 200 wajanja wanazungushia kwemye biashara zao

Ni wazi ni aibu ya kutupa nawaambiaa mtakachokiona tarehe nne mtamkumbuka Zahera na shida zake za dunian

Ushauri
Tusikanyage uwanjan wote tukae majumbani mpaka uongozi utakapoona umuhimu wa kulipa wachezaji
 
We Basias ndio uharo gani tena huu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pdidy ni yanga dam, sasa nashangaa kwa nini anatuhamasisha wana yanga tusiende uwanjani tarehe 4 jan wakati sisi ndiyo wenyeji wa mchezo huo, sijui anatakaje??
 
Mpwaaa wanakatishaa tamaa sanaa. BAADA ya mechi NIMEKAA na WACHEZAJI BAADHI lazima biwachane tu msijeenda mkaumiza moyoo
 
Wewe ni mwanaYanga makini

Pdidy ni Yanga lialia,fuatilia post zake
Washazoaaaaa kushabikia YES KILA KITU HAO MTANI WAACHE WANYOSHWE TAT NNE WATAELEWA ELSE MTASIKIA YANGA IMELIPA.MADENI YA WACHEZAJI KABLA YA MECHI HAPO NDIOO SALAMA YETUU
 
Nchimbi ameruhusiwa kucheza, tuna Tarik Seif, tuna Muaivory Coast, tuna Tshishimbi, tuna Ngasa, Sibomana, Makame, Moro, Adeyun, Juma Abdul/Mustafa Seleman/Boxer, Fei Toto, Balama, Shikaro, Metacha, na wengineo wengi!

Kwa nini Yanga iigope Simba! Sema tu Mkwasa asijaribu kabisa kumpanga Molinga. Atatupotezea tu muda uwanjani. Mpaka itokee set pieces, lini!! Yule inambidi apunguze kubeba vyuma maana nguvu zote zimehamia kifuani. Miguu haina nguvu wala stamina kabisa.
 
Nikupongeze umejitahid sana kufikiri kwa maandishi aya..

Nikwambie tu ukweli umeandika Pumba kwa kiwango kikubwa na cha kipekee kabisa
Ni labda ujui mengi kuhusu hii daby ya Kariakoo.. weit til 90 mins

Back
Top Bottom