Ushauri kwako Diamond

yuzazifu

JF-Expert Member
Oct 6, 2018
5,109
9,407
Wengi tunakusaport bt hatupendezwi na ulivyomtenga mzee abdul ambae mbegu yake ndo sabab ya wewe kua.

Mama mlea mbegu anaishi kifahari bt baba mpanda mbegu anaishi kwa dhiki ajil ya makosa yakibinadam.

Tunajua mama anamchango mkubwa kufika ulipo bt tambua mbegu ya mzee abdul ndo chanzo cha yote.

Ikiwa unawapa marafiki vitu vya thamani kama magari na kutoa misaada mbali mbali why ushindwe kumpa thamani ya pekee ambae mungu alijalia mbegu yake ukapatikana wewe.

Je mbegu yako ingepigwa nyeto leo ungekua wapi diamond? samehe na mpe thaman mzee abdul kabla hajafa na manung'uniko juu yako then yakageuka laana na kukitesa kizazi chako.

Najua mpaka sasa hujajua misuko suko unayopitia ni ajili ya manung'niko yake juu yako japo hawezi dhihirisha, hebu mweke karibu na umpe thamani ya yeye kupanda mbegu bora kwa mama abdul uone kama misuko suko haitapungua.
 
sasa dulla alienda katika shamba la bwana kheri akapnda mazao yake, yamekomaa wacha bwana kheri afurahie
swadakta.
ila si kuna tetesi bwana kheri kaacha shamba kapata kiji bustani kidogodogo cha kulima mboga mboga?

kama ni kweli sasa kwa nini mzee nassib asirudie shamba lake kupanda mazao tena kama awali?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom