"Njia ya kwenda Ikulu ni nyeupe, pee!"
Hayo si maneno yangu bali ya kachero mbobezi katika ubora wake. Alikwenda mbele zaidi kachero yule kwa kusema:
"Lakini itabidi kukaa chini na wenzetu, kujipanga na kusimika kisiki haswaa," akamalizia, "cha mpingo"
Mmpende, mmchukie: Kachero mbobezi yuko...