Ushauri kwa East Africa Radio: Ajirini wachambuzi wa michezo wanaolewa michezo, hasa soka

kasenene

JF-Expert Member
Jun 6, 2008
1,632
2,413
Sio kwa hawa mlio nao aisee. Nimewafuatilia mara nyingi hawana viwango pia wamekuwa wanatabia ya "kucopy na kupaste".

Kwa mfano leo walikuwa na mada ya kwanini ligi yetu inakuwa na magoli machache kuliko ligi nyingine wakaenda mbali kwa kulinganisha ligi yetu na uingereza yaani majibu ya wachambuzi yao ulikuwa ni utumbo mtupu aisee.
 
Mkuu nadhani ulisikiliza kile kipindi cha mchana kinachoongozwa na GOZA CHUMA hicho kipindi hakiwezi kata kiu yako kipindi kizur cha michezo kinaanza SAA mbili usiku had saatatu usiku kila siku za wiki hapo utamkuta mchambuzi mzuri ticha TIGANA LUKINJA na mtangazaji DAVID KAMPISTA

Hautajuta mkuu
 
Back
Top Bottom