Nitumie mbinu gani kurudisha penzi?

moj6

JF-Expert Member
Nov 2, 2017
3,366
4,970
Wakuu habari za asubuhi?

Amaan naombeni ushauri,wiki iliyopita nilifanya kosa nikaachwa na mpenzi wangu,nimemuomba msahama amegoma katakata kwamba hatuwezi kuendelea kuwa wapenzi tena, juzi tulikutana sehemu nikaomba mechi nikapewa,

Jana pia nilimuomba akanipa lakini bado kasimamia msimamo wake kwamba ashaniacha,nitumie mbinu gani kurudisha penzi? hivi unaweza kuachwa huku ukiendelea kupewa pa...chi?
 
Kama bado una nafasi ya kukojoa ongeza ufundi atarudi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu habari za asubuhi?

Amaan naombeni ushauri,wiki iliyopita nilifanya kosa nikaachwa na mpenzi wangu,nimemuomba msahama amegoma katakata kwamba hatuwezi kuendelea kuwa wapenzi tena, juzi tulikutana sehemu nikaomba mechi nikapewa,

Jana pia nilimuomba akanipa lakini bado kasimamia msimamo wake kwamba ashaniacha,nitumie mbinu gani kurudisha penzi? hivi unaweza kuachwa huku ukiendelea kupewa pa...chi?
Saaana tu mwanamke anaweza kukuacha katika mwili wa akili na bado ukawa upo katika mwili wa hisia na Kama akifikia maamuzi ya mwili wa akili na akawa na msimamo amin ipo ck mwili wake wa hisia utapata hisia nyingine ndo hapo utaachwa mazima

Kwa hiyo fanya kila liwezekanalo ili abadiri akili yake

Wanaume wengi huwa wanadhani ukipewa mechi Basi kuna bondi halisi
Hakika hili siyo kweli. Mwanamke anaweza kukupa lakini wakati wa tendo akiwa anavuta hisia za mtu mwingine

Akili sijui mnaziwekaga wapi?
 
Fanya diversification ya akili na muda wako, sio nguvu zote unaelekeza kwenye mapenzi tu.
 
Kumbe? Nawezaje kurudisha imani ?
 
Kumbuka kuvaa ndomu brother kwa huyo mwanamke.

Una mpango wa kuoa?

Kama huna huo mpango we chapa tu hapo usisahau ndomu ndugu.

UKIMWI UNAUA
Ndio kaka nilikuwa na mpango ,ila kana kiburi Sana sijui kwa sababu ya ufupi halafu mim mrefu? Nimejitahid kuvumilia
 
Fanya diversification ya akili na muda wako, sio nguvu zote unaelekeza kwenye mapenzi tu.
Kaka kwa hilo tu sina tatizo coz muda mwingi nashinda job nikiingia asubuhi kutoka ni saa 4 usiku,sometime naunganisha night shift,binafisi ni mim ni mgumu kupenda ila hapa nikiri kwamba nimependa,katoto kenyewe kana miaka 21 tu lakini kananivuruga balaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom